Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Teh hivi lile jukwaa huwa lina Mod?
Lol kama yuo muulize yeye atakusaidia kukupa list haraka
Kuna wale wanaoonekana humu JF muda wote, sio kwamba ndio hao wanaodaiwa kwamba wana kasoro............., kazi wanafanya saa ngapi?
 
Nikiwajua nitawaanika hapa kwamba wana kasoro...................................

Kwa mujibu wa dada zetu
Teh Teh hapo unataka kuibua ugomvi wa hao wenye vyasoro na wadada wenyewe na wanayyojua kuongea bila break lol
Ntakimbilia zangu Jukwaa la Utambulisho nkajifiche zangu
 
Kama huna kazi mkuu, basi wewe una kasoro..................!

hata sisi tusipokuwa na kazi huwa hamtutaki siku hizi......mnataka mtone matawi ya juu mjifanye mmekufa.....kumbe hata kuzimia hamuwezi.......nyoooooooo.....tumestuka.......
 
Kuna wale wanaoonekana humu JF muda wote, sio kwamba ndio hao wanaodaiwa kwamba wana kasoro............., kazi wanafanya saa ngapi?
Hahahaaa wanajua wao
Inawezekana ni Ma Mods huwezi jua au Umod sio kazi?
 
hata sisi tusipokuwa na kazi huwa hamtutaki siku hizi......mnataka mtone matawi ya juu mjifanye mmekufa.....kumbe hata kuzimia hamuwezi.......nyoooooooo.....tumestuka.......
Si mnataka usawa?
Lakini sie hatuwapi majina ya kebehi hata kama hamna kazi....
Mmezidi bana.
 
hata sisi tusipokuwa na kazi huwa hamtutaki siku hizi......mnataka mtone matawi ya juu mjifanye mmekufa.....kumbe hata kuzimia hamuwezi.......nyoooooooo.....tumestuka.......
Heheheee si ndio poa walau ujisaidie hela za kwenda salun kupigia umbea Preta
 
Last edited by a moderator:
Hebu ngoja nimsaidie mama Ngina kazi za hapa nyumbani nisije nikaambiwa nina kasoro bure....................LOL
 
Sasa kukosa kazi ndio iitwe kasoro!
Mimi najua mtu kuwa na kasoro ni kuwa na upungufu wa viungo...........
Mna visa nyie

Si unajua ndo factor mojawapo wanawake wa siku hizi wanazikonsida wakidhani ndo maisha yao yatakuwa ya starehe kumbe kumbe ni subsijury tu, upendo, ushirikiano na amani ndicho muhimu kuliko vyote!
 
Si unajua ndo factor mojawapo wanawake wa siku hizi wanazikonsida wakidhani ndo maisha yao yatakuwa ya starehe kumbe kumbe ni subsijury tu, upendo, ushirikiano na amani ndicho muhimu kuliko vyote!
Hapo ndio umemaliza mkuu
 
Haya musee osha vyombo kwanza heheeee
Msalimie sana Mama Ngina wetu

Hizi Tamthilia za majuu, zinawapa kibri wake zetu, maana usipomsaidia kazi, utaambiwa mbona kwenye tamthilia wanaume wenzio wanafanya hivi au vile..........
Tunaiga uzungu, tuna kazi kweli............
 
Hizi Tamthilia za majuu, zinawapa kibri wake zetu, maana usipomsaidia kazi, utaambiwa mbona kwenye tamthilia wanaume wenzio wanafanya hivi au vile..........
Tunaiga uzungu, tuna kazi kweli............
Hahahahahahahahaaaaaaa aisee lol
umenikumbusha jamaa mmoja alesema mkewe analalamika eti mbona huwa unaangalia picha za nanii halafu hujui kunanii lol
Kuiga mbaya sana aisee
 
Mkuu yanayofanyika salon ni zaidi ya hayo!
Hayo uliyoyasikia ni kiasi cha mboga tu.
 
Back
Top Bottom