Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

mimi sina kazi lakini namiliki MZIGO wa maana...
au bado kujanjaruka huyu...ati eeeh?
 
Hommie, mi najiuliza tu huyu dogo Erickb52 atauweza huu mziki wa Remmy?

attachment.php
Duh hayo ndo yenyewe Asprin
 
Last edited by a moderator:
mtambuzi,

tatizo sio mwanaume kukosa kazi....
tatizo ni mwanaume kutojishughulisha.....
siku nzima anashinda kijiweni..jioni ndo akacoach watoto..anapata sh ngapi?

huo muda anaoshinda kijiweni, angekopa akaazima sh 50,000 akaenda sokoni akanunua nyanya, viazi, nazi, bilinganya, karoti, vitunguu, chumvi, viungo vya pilau, ngogwe akarudi home na kutengeneza kakibanda au kijichanja tu akauza.... ni hatua moja...the jioni angeenda kucoach...

kama anaona kuuza genge noma, basi angenunua maji ya uhai auze...

kama angekosa mtaji uswahilini kwetu huku angefunga maji ya bomba akayagandisha na kuuza barafu.....

hujaona wanaume wanachoma vitumbua Mtambuzi? angechoma vitumbua, kababu nk....

la angefungua kibanda cha chipsi hao wadada wa saluni wangenunua kwake pia....

BADILI TABIA hivi kweli hii sura hapa chini ni ya kuuza vitumbua mtaani au kuuiza genge la nyanya na vitungu....?
Acha masihara bana........................LOL
BLD079443.jpg
 
Mtambuzi,
kuna mkaka namfahamu, asubuhi anatembeza samaki wabichi jioni akishine walaaahi huwezi jua...

ila mtu akiendekeza usharobaro unamwacha tu ale usharobaro wake.....

BADILI TABIA hivi kweli hii sura hapa chini ni ya kuuza vitumbua mtaani au kuuiza genge la nyanya na vitungu....?
Acha masihara bana........................LOL
BLD079443.jpg
 
Last edited by a moderator:
huyo anaetengenezwa uso ni mwanamke kweli?

wedd9.jpg

Saloon hizi zina mambo............................!

Jana nilikwenda kunyoa hizi mvi zangu, nilikuta kuna wateja wananyolewa katika saloon hiyo, hivyo ilibidi nikae nje kusubiri huku nikisoma gazeti langu. Pembeni ya hiyo saloon kulikuwa na saloon nyingine ya kike na hapo nje walikaa kina dada wakisukana. Mara akapita kijana mmoja wa pale mtaani ambaye ninafahamiana naye, tulisalimiana kisha akapita na hamsini zake wale kina dada walianza kumjadili……………

"Shoga unamuona yule kaka alivyo mzuri, yaani ana sura nzuri utadhani mwanamke." Alisema dada mmoja kati ya wale kina dada.

"Mwenzangu hayo macho je? Mwanaume ana macho mazuri kama nini, na kifua chake mmekiona? Na huo ndio ugonjwa wangu….." Alidakia mwenzake.

Mwenzao mmoja ambaye alikaa kimya akiwasikiliza alidakia...... "Ni mzuri ndio, lakini kizuri hakikikosi kasoro?"

Wale wenzie wakamuuliza ana kasoro gani?

"Hana kazi mwenzangu..........Yuko mtaani tu na anashinda vijiweni na jioni utamkuta uwanjani anajifanya kocha anafundisha mpira timu ya watoto wa hapa mtaani........... " Alijibu yule dada.

"sasa hiyo ndio kasoro?" Mwenzake mmoja alidadisi........

"Hee, mwanaume asiye na kazi atamtaka nani? Nani atamtaka mwanaume suruale........" Yule dada alijibu kisha wote wakacheka kwa pamoja kwa kebehi................

Duh, mazungumzo yale yalinifanya nitafakari.... Hivi siku hizi mwanaume asiye na kazi huchukuliwa kwamba ana kasoro!

Nilibaki mdomo wazi.
 
Back
Top Bottom