Wanawake na mambo ya kutoa mimba

Halafu hizi post za kuwaandama wanawake sijui ni vipi mimi zanishinda kabisa maana ni tabu kila kukicha wanawake wanawake jamani tumewakosea nini?????
 
Uwiiii aisee Voice of reason uko wapi? mambo yameshaharibika huku. Miss Pirate do me a favour. dada zangu ni ngumu kuwauliza ila hebu nisaidie. Wewe vipi mwenzangu hujawahi?

mhhhhh hii topic ya kutaka kina dada wakubali kama wametoa ama lah haijakaa vema nadhani hujaiweka vema ili ichangiwe we umeanza kuwatuhumu sasa wachangie nini? hebu iweke vema mada yako iwe general.(Its not fair that you want them to admitt the offence they have never or they have committed without hearing therm first).In due course JF is hereby dismissing your submission and order you to ammend it with cost and a sum of $ 10 to be paid to all the other dissapointed ladies herein)

Halafu hizi post za kuwaandama wanawake sijui ni vipi mimi zanishinda kabisa maana ni tabu kila kukicha wanawake wanawake jamani tumewakosea nini?????

wanatupenda tu hao ila wanajishebedua.
Anayekupenda atakuzungumzia maana kabla ya kukuzungumzia alikufikiria.
 
wewe nani kwanza kuuliza swali kama hili??
mambo mengine ni mambo ya privace sana...
kwa hiyo siku nyingine waza kabla hujaanza kutapika maneno na ******
kama thread yako ingesema "kutoa mimba ni jambo sahihii au sio?? naombeni maoni yenu"
hapo labda tungeweza kukusaidia... lakini hii miaharo uliyoandika hapo juu ya kugandamiza wanawake waseme kama wametoa mimba..
ni uchamfu mtupu..

hao wanawake (100+) uliopatakuwa nao
kwa kweli nawaonea huruma kuwa na mtu kama wewe..
kwa maelezi yako inaonekana huwa swali lako la kwanza
unawauliza kama wamewahi kutoa mimba..
mmmhhhh wewe kama unaishi Bongo(Dar) unajua hapo kuna wanawake zaidi ya 1.5 million
kwa hiyo hiyo statistic zako ni kama vile 0 uki compere na idadi ya wanawake Dar..
 
Uwezekano wa hata mmoja kujitokeza na kukiri ni slim to none. Ila I have a strong feeling kuwa wapo tena a handful.

No matter how you look at it, it is still wrong and indeed it is a murderous act!

Blue Balaa natumaini umejiandaa kikamilifu kupokea visago toka kwa bidadaz....
 
je ili iweje?au waungame kwako?.kwa wewe ulietembea na wanawake 100 plus kwako ni sifa,mambo mengine hata ukitaka kuyajua sio kila mtu anapenda kuyaweka wazi.hao unaowapata,ndio hao hao watakaokwambia.
 
Dada zangu wameonewa kiasi cha kutosha
Dada zangu wamedhalilishwa kiasi cha kutosha
Dada zangu wamenyanyaswa vya kutosha.

Yooote wamevumilia, wamesamehe na kusahau.
Nikadhani yameishia hapo.
Sasa wanaanza kutukanwa matusi yasiyosemekana.

Mungu na amlaani mtu atukanaye na kudhalilisha wanawake (wakisahau hata mama, dada, na watoto zao ni wanawake)

Wote wanaowapenda, kuwajali na kuwathamini wanawake kama nifanyavyo mimi waseme AMINA!
 
Busara kama hizi za Babu,
ni adimu kuzipata kwani huwa anazibania sana,
Wakina dada leo siku imeanza vizuri!!!

Babu, nadhani leo una hazina ya ugolo ya kutosha!!!!!
 
amen
 
kwa mwendo huo uwe unaingia chooni na pipi kuwagea wanao mliowatupa na hao Wanawake wake ambao mliondoa mimba cjui hiv mliishughulikiaje wewe mwanaume dhalili
 
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.

Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.
haukai chin na kujuta kwa kiasi gan umesababisha wadada WATOE MIOMBA ....na badala yake unakaa chn na kupayuka HAKUNA WADADA WASIOTOA MIMBA PASIPO ANGALIA IYO MIMBA WALIZPTA KWENYE MITI AU MCHANGAN...
unataka uambiwe ili iweje?
dhamira ninin km si kumweka mwanamke aonekanaae mbaya et katoa mimba pasi kujikusanya wewe ndo sababu IMARA ya yeye kutoa iyo mimba....
 
Busara kama hizi za Babu,
ni adimu kuzipata kwani huwa anazibania sana,
Wakina dada leo siku imeanza vizuri!!!

Babu, nadhani leo una hazina ya ugolo ya kutosha!!!!!

Unajua ndg yangu humu JF kuna mautani na masihara........ sasa watu wameona hayatoshi sasa wameamua KUTUKANA.

How can you tukana women like this as if umezaliwa na mwanaume kwa operesheni saa sita mchana wakati jua linawaka na mvua inanyesha at a go?
 
Babu, round 3 za mwanzo,
pale oceanic, zote juu yangu bana!!!!!
 
Ni wanawake wangapi umewatia Mimba ukawakataa?? Na kama wametoa ukiwa nao basi ina maanisha hufai kuzaa nao.
 
Babu, round 3 za mwanzo,
pale oceanic, zote juu yangu bana!!!!!

Au nimwombee laana kwa Mungu, baioloji yake isizi, na kitoa uchafu kitekenye mpaka atakapowaomba razi wanawake........akipata mimba babu ntamzalisha kwa operesheni!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom