Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...

kusema ukwel umesema vi2 vya maana ila pia tatzo lipo kwenu hata kama nita2lia ila na wewe unakuta hau2lii yan mnaanza vzur lakn dakika ya mwsho hapo ndipo tatizo lilipo kwan 2naweza wote 2kawa ha2na na 2kaanza kutafuta 2kianza kupata mwanamke ndie wakwanza kuchoropoka au kwenda kinyume na vle mlivyotarajia. Je na hapo 2fanyeje kama tatzo kama hlo limetokea lazma ufikirie pia mm ninaona ni tamaa ndo inayosababisha haya yooote
 
Nafikiri unamaanisha kuwa ukiwa mjini kusiko na shamba then mwanaume lazima awe na hela......hakuna kuoneana huruma Marytina,issue hapa kwanza umpende mtu,na uangalie je anaweza kubadilika na kuwa na hizo fedha kama wengine,ana bidii na malengo sahihi kwenye maisha......mimi personally siwezi mpenda mtu kwa kigezo cha hela pekee,siwezi kuwa na Governor wa benki kuu mlevi,mzinzi au mgomvi...ila naweza kuwa na mtu alomaliza shule,anayejua alipo na anapotaka kwenda na ambaye nina uhakika tutasikilizana na atakuwa baba mzuri na mume.....again,siwezi kuwa na mwanaume tegemezi,labda awe anatafuta namna ya kuondokana na huo utegemezi nimsaidie kwanza.
hapo bold: mimi nafikiri kinachosumbua wadada ni kule kutaka matajiri na namna mtu anavyodifine "kuwa nahela" kwangu mimi just kuwa na starlet hata kama tutaipata uzeeni is okey.ILA hapa ARUSHA kuna wadada hawaambiliki kabisa na ndio wengi kwa hiyo lazma tujadili matendo yao (given that the idadi inaongezeka kila siku).Michelle lazima tuwe wakweli kuwa most wadada are just afta money na sio mapenzi na hawajui kutofautisha kati ya LIKE AND LOVE.
Personaly I like money but I love Mmasai
 
kusema ukwel umesema vi2 vya maana ila pia tatzo lipo kwenu hata kama nita2lia ila na wewe unakuta hau2lii yan mnaanza vzur lakn dakika ya mwsho hapo ndipo tatizo lilipo kwan 2naweza wote 2kawa ha2na na 2kaanza kutafuta 2kianza kupata mwanamke ndie wakwanza kuchoropoka au kwenda kinyume na vle mlivyotarajia. Je na hapo 2fanyeje kama tatzo kama hlo limetokea lazma ufikirie pia mm ninaona ni tamaa ndo inayosababisha haya yooote

Kweli yawezekana kwasababu ya TAMAA ila pia kuna wanaume wakipata hela hata kama mlitafuta wote wanabadilika na kuonyesh rangi tusizozijua kwao.....mwanamke anaona ya nini?? ndo hapo wanachoropoka zao.....
 
Nikiangalia dunia ya sasa,na hasa jamii inayonizunguka siioni tofauti ya kimatendo na kimaadili ya mwanaume mwenye hela na maskini......wanaume asilimia kubwa ni waongo na wanatoka nje ya ndoa na wengine wanashindwa hata kutimiza wajibu wao kama baba na kama mume.........mimi siamini kwamba ukiwa na hela kiasi au usipokuwa nazo inakufanya wewe uwe mwema sana au mwenye upendo wa kweli....

Ukiwezeshwa nawe kaza buti,jijenge,fanya kazi usiwe tegemezi.......na zaidi kuwa msaada kwa mumeo na furaha yake ili aendelee kufanikiwa zaidi na zaidi mkumbushe kuwasaidia wasio na uwezo.

Michelle, you are blessed! you really made my weekend, I'll post this on my FB wall.
 
hapo bold: mimi nafikiri kinachosumbua wadada ni kule kutaka matajiri na namna mtu anavyodifine "kuwa nahela" kwangu mimi just kuwa na starlet hata kama tutaipata uzeeni is okey.ILA hapa ARUSHA kuna wadada hawaambiliki kabisa na ndio wengi kwa hiyo lazma tujadili matendo yao (given that the idadi inaongezeka kila siku).Michelle lazima tuwe wakweli kuwa most wadada are just afta money na sio mapenzi na hawajui kutofautisha kati ya LIKE AND LOVE.
Personaly I like money but I love Mmasai

I agree most wadada are after money,i like money too,but money should not be a deciding factor of who to marry.....otherwise tutafika sehemu kuwa kama wale wadada wa mjini wanaambiwa huyo mbaba ameathirika,wanasema bora maisha mafupi yenye raha kuliko maish marefu yenye dhiki.....money should be one of the factors and not everything when in comes to choosing a life partner.....mpende sana huyo mmasai,lazima nije harusini,Mungu akipenda.....
 
Asante mamie!Uliyosema ndo hali halisi!Wapo wanaume wanaodharau wapnz wao kwasababu ni vitegemezi..hii inapelekea wadada wengine kuwaogopa!Wako wasioamini wasichana kwasababu wanajua ni pesa zao tu wananyemelea..hii inapelekea kuwapotezea hata wale wenye mapenzi ya kweli!Mzizi wa tatizo hapa ni wale wadada wachunaji na vitegemezi!Mtu hata akiwezeshwa anakaa tu..siku zikiisha anaanza kuvuta mdomo thn anakimbia!Wasipokuwepo hawa hofu ya dharau na mapenzi ya kilaghai yanayohusisha na pesa yatapotea
 
for sure ntakualika tena ile physically ila usijeonesha kuwa kuna wakati nilichanganywa na mmarangu.
My take: Wakati wa kunipongeza (most cases inahusisha kukumbatiana) usijiite Michelle manake ntajiskia vibaya.

Kweli yawezekana kwasababu ya TAMAA ila pia kuna wanaume wakipata hela hata kama mlitafuta wote wanabadilika na kuonyesh rangi tusizozijua kwao.....mwanamke anaona ya nini?? ndo hapo wanachoropoka zao.....

bac kama ni hvyo PESA au HELA ndo inaletatzo hapo na ndo mana wanasema hakunaga upendo au love kwenye pesa hapa kunatatzo.
 
hapo bold: mimi nafikiri kinachosumbua wadada ni kule kutaka matajiri na namna mtu anavyodifine "kuwa nahela" kwangu mimi just kuwa na starlet hata kama tutaipata uzeeni is okey.ILA hapa ARUSHA kuna wadada hawaambiliki kabisa na ndio wengi kwa hiyo lazma tujadili matendo yao (given that the idadi inaongezeka kila siku).Michelle lazima tuwe wakweli kuwa most wadada are just afta money na sio mapenzi na hawajui kutofautisha kati ya LIKE AND LOVE.
Personaly I like money but I love Mmasai
Love, hapa nimekukubali.!
 
Asante mamie!Uliyosema ndo hali halisi!Wapo wanaume wanaodharau wapnz wao kwasababu ni vitegemezi..hii inapelekea wadada wengine kuwaogopa!Wako wasioamini wasichana kwasababu wanajua ni pesa zao tu wananyemelea..hii inapelekea kuwapotezea hata wale wenye mapenzi ya kweli!Mzizi wa tatizo hapa ni wale wadada wachunaji na vitegemezi!Mtu hata akiwezeshwa anakaa tu..siku zikiisha anaanza kuvuta mdomo thn anakimbia!Wasipokuwepo hawa hofu ya dharau na mapenzi ya kilaghai yanayohusisha na pesa yatapotea
Nimekusoma!~ hapa problem ni wanaume wanawataka wanawake coz wana hela.....yani wanaume ndo wanweka hela mbele au wanawake wanataka hela.......wakikutana na mwanaume aliyeziweka mbele basi wanakuwa wamekutana Wadunguaji wawili.....problem ni moja, mwanaume anaweza akaweka hela mbele lakini akimpata mwanamke haijalishi ni mdunguaji au la.....anaamini amependwa, kumbe hela yake ndo imependwa.
 
hapa problem ni wanaume wanawataka wanawake coz wana hela..yani wanaume ndo wanweka hela mbele au wanawake wanataka hela..wakikutana na mwanaume aliyeziweka mbele basi wanakuwa wamekutana Wadunguaji wawili..mwanaume anaweza akaweka hela mbele lakini akimpata mwanamke haijalishi ni mdunguaji au la..anaamini amependwa, kumbe hela yake ndo imependwa.
Bigie yumin Baraka akiwa mchunaji alafu akakutana na Lizzy nae mchunaji Baraka anaweza kudanganyika kwamba simchuni?
 
Nimekusoma!~ hapa problem ni wanaume wanawataka wanawake coz wana hela.....yani wanaume ndo wanweka hela mbele au wanawake wanataka hela.......wakikutana na mwanaume aliyeziweka mbele basi wanakuwa wamekutana Wadunguaji wawili.....problem ni moja, mwanaume anaweza akaweka hela mbele lakini akimpata mwanamke haijalishi ni mdunguaji au la.....anaamini amependwa, kumbe hela yake ndo imependwa.
you have spoken my mind!!! wanaume ndio wanaanza kutrade love, with his money anaona atakupata tuu siku akigundua kuwa haiwezekani atabaki kusema yule binti mshamba wa kuja leo na hayajui maisha mara ana jini mahaba linalomkataza kumbe wewe unamtu wako anayekusisimua ile mbaya kabisa.
 
no comment for 2day...ila nahisi kuanza kuku-fuatilia kujua "UMEPATA WAPI" uwezo huu adimu sana kwa wanawake wengi hasa wa dunia ya tatu kama tanzania kuja na hoja +ve na ya-kujenga jamii kama hii... be blezd

yale yaleeeeeeeeeeee ya kuona wanawake hawaoni mbali, sasa utatafuta maisha yote hutaona copy yake. mpongeze michelle yaishe. big up dada yangu
 
" Wanaume hununua magari ya kifahari sio kwa sababu wanayapenda ila ni kwa sababu wanajua wanawake wanapenda magari ya aina hiyo " American Comedian Chris Rock.
 
Michelle,its a very useful post dearest,.i like when women are independent,.sasa,may i ask dear,could you also say this to some men..because you see,these days there is also a good number of men rising to get the biggest cash,yani bila pesa haoni wewe ni wa maana and please wanaume hii dhana ya kuwa girls go for cash,at times mnajiwekea hivyo,hizi ishu za i have this,i have that punguzeni!
Pia kuna wale wenye pesa na kufikiri they own the world,wanafikiri wanaeza pata kila msichana kwenye macho yao,waache.
all in all kila mtu awe realistic likija swala la pesa,.money is not everything..
 
Kwani hela lazima uzipate kupitia kwa mwanaume? si uzitafute mwenyewe????? kama una viungo vyote ambavyo mwanaume anavyo (kasoro baiolojia), kwa nini isitafute hela zako mwenyewe????
 
UPDATE: hii sredi ni muhim sana mnaombwa kuwa serious katika kuchangia.

asanteni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom