Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Mi binafsi sifurahi kabisa ninapomuona mwanamke anakunywa pombe au kuvuta sigara, mwanamke wa namna hiyo nitamshusha thamani mpaka zero. Nashukuru hapa TZ sio wengi sana, kama wapo wanaovuta sigara basi wengi ni bibi zetu kule vijijini ambao mpaka leo bado sijajua sababu zilizowapeleka wakawa wanavuta sigara na wengine kunywa pombe kali hasa za kienyeji.

Mijini wanawake wavutaji kama wapo ni wachache sana au labda wanajificha. Ila kwenye kunywa Pombe kuna baadhi ya wanawake hasa wa makabila fulani ni noma.................. yani wanakunywa kuliko hata waume zao. Mi binafsi huwa siwafagilii kabisa.... nahisi kama vile ni madume wenzagu... siwezi kumtokea mwanamke wa namna hiyo hata siku moja.

Sasa kuna nchi kama South Africa kwa wanawake kuvuta au kunywa pombe kali ni ishu ya kawaida kabisa. Utakuta kasichana kadogo kanashare sigara na baba yake utadhani biscuti. Kuna wasichana wengine warembo kweli kweli utawakuta wanavuta sigara na kunywa pombe kali kama hawana akili nzuri, na ni kitu cha kawaida kabisa ni kama mtu anakunywa soda. Hawajifichi wala kuona aibu.

Vipi hapa TZ ndio tunapoelekea au tayari tupo hapo!!!. Najaribu kufikiria wazee wa zamani walikuwa wataalam kwenye zile za kienyeji hasa kule vijijini. Vipi huku mjini........................
 
kila mtu na starehe yake maadam humkeri mtu babuu eeh so wanaume mnavokunywa na kujinyea barabarani na kulala kwenye mitaro ndo heshima kisa mwanaume? unalo unalo babu? nisije nikapata ban bure ngoja nilog off
 
Mtuache tule starehe zetu bana mbona nyie mnakunywa na kuvuta mpaka mabangi na kula mirungi hatusemi?
 
Usiogope mwana kwetu huyu ana matatizo na starehe za wengine,km vp mpotezee tu,watu wanapiga mpaka msuba na hubby wake bado kakolea na maisha yanenda tu!!
 
Sina tatizo na wanawake wanaokunywa kistaarabu hasa wanaonywea nyumbani, ila wanawake tunaoenda nao ligi kwenye mabar si tukishika makalio ya wahudumu wa kike ye anashika nyeti za mhudumu wa kiume huwa naamini ni vicheche na wanafaa sana kwa matumizi ya muda mfupi'
 
Sigara ndo noma kabisa! SIjui kwanini machangu wanapenda sana kuwa na Sigara sijui ndo ishara ya biashara au?
 
kila mtu na starehe yake maadam humkeri mtu babuu eeh so wanaume mnavokunywa na kujinyea barabarani na kulala kwenye mitaro ndo heshima kisa mwanaume? unalo unalo babu? nisije nikapata ban bure ngoja nilog off

Duh!!! kwisha habari.... kumbe mupo.
 
Mtuache tule starehe zetu bana mbona nyie mnakunywa na kuvuta mpaka mabangi na kula mirungi hatusemi?

mmmh! na wewe!! kweli umdhaniae sie!!. Loh! Safari njema.
 
Ushawahi kupigwa ww????
Hujui kwetu pombe ni km maji ya kunywa tu!!!
Pole sana km tunakukwaza,kwa wanaume wa kwetu burdaniiiiiiiiiiii!

Kila la kheri......... mbona manajifichajificha sasa.
 
Hakuna cha kujificha wala nini,tena ile hatutumii glas km hao mabinti zenu wa huku mjin,nikiweka mdomon ni tarumbeta niniweka chupa chini namwambia mhudumu afungue nyingine ebo!
 
Kunywa kwa kiasi nyumbani au kwenye tafrija si mbaya. Sigara si nzuri hata kwa wanaume. It isnt cool.
Wanawake wanaokunywa bar, tena wengine kaunta kabisa hawafai. Kwenye kamasutra wanaitwa public women. If u want 2 know how to consume a public woman soma kamasutra
 
Back
Top Bottom