Wanawake na kudhibiti 'maumbile' yasibadilike!!!!!!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Wanawake siku zote wanakuja na mambo ya kushangaza sana. Wengi wao siku hizi wakibeba mimba wanataka wafanyiwe upasuaji hata bila kuwa na shida/ matatizo ya kiafya. Sababu wanazotoa ni 'kuchoshwa na ujauzito', 'wanaogopa uchungu', na 'kuharibu maumbile'. Hilo la tatu, kama mkeo anapasuliwa bila matatizo yoyote ya uzazi kwa kuogopa kuharibika kwa shape ya maumbile basi ujue kwa asilimia kubwa anatoka nje ya ndoa. Hivi yakibadilika burudani inapungua? Halafu sababu ya tiGO extreme hawajaitoa au sio sababu?

Source: Mwananchi Jumatatu Juni, 11 2012 ukurasa namba 5.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom