Wanawake na Fashion

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi nyie akina dada mimi siwaelewi na mitindo yenu ninani anawashika masikio??
Mfano naanza na pochi walikuwa navipochi vinaitwa kipima joto vidogo!sikuhizi unakuta mwanamke anapochi yakubeba hata mtoto unamwangalia unashindwa kummaliza!!
Tatizo nini??nani anawafanya wajinga hivyo??mwanamke anaweza kuja sebuleni akabeba kilakitu hata Tv ndogo maana mkoba simkoba kiloba sikiloba sijui niite nini mnisamee wanawake inabidi muwemnaangalia na fashion zinazoingia!!:lol:
 
Jaribu kukagua siku utakuta vitu vichache ambavyo vingetosha kuviweka kwa pochi dogo ie kipima joto.
Ingawa kuna mdada ukubwa wa pochi huwa unamsaidia kwenda fanya uzinzi.
Ikifika mda wa kutoka job anabadili pamba kwa ofisi zilizojaliwa kuwa na bafu na changing rooms anapiga pamba zingine then anaenda kwa mabwana.
Ukimuuliza anakuambia maisha mafupi na huu ndo mda wa kuenjoy.
So to her kwa bag kubwa kama iyo anaweka altenative clothes,khanga etc
 
Hahah haha umenikumbusha enzi za chuo iyo inaitwa kambi popote hahhahha:becky::becky::becky:
 
Hata mimi kiukweli hizi fashion za pochi zinanishangaza sana yaani unakuta dada kabeba pochi mpaka inamzidi . haya fashion hizo
 
Hivi nyie akina dada mimi siwaelewi na mitindo yenu ninani anawashika masikio??
Mfano naanza na pochi walikuwa navipochi vinaitwa kipima joto vidogo!sikuhizi unakuta mwanamke anapochi yakubeba hata mtoto unamwangalia unashindwa kummaliza!!
Tatizo nini??nani anawafanya wajinga hivyo??mwanamke anaweza kuja sebuleni akabeba kilakitu hata Tv ndogo maana mkoba simkoba kiloba sikiloba sijui niite nini mnisamee wanawake inabidi muwemnaangalia na fashion zinazoingia!!:lol:

hahaa umenichekesha sana leo,
ukitufuatilia kwa sana utapagawa bureee!
ucjali sana sbb utabiri wa hali ya fashion unaonesha kurejea kwa vipochi vidogo hata hivyo pochi kubwa zitarudi tena maana fashion zinajirudia,zamani nilikuwa sipendi jeans vichupa lkn siku hizi mm na vichupa vichupa na mim coz ndio fashion ya sasa!
wee jifunze kutukubali na fashion zetu mradi sio zile za kutembea uchi!!
 
IMG_6174.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom