Unataka kunionea tu komando wangu. Hebu jipe muda kidogo. Najua utanielewa kwa nini ningetoa kila kitu isipokuwa pumzi yangu kumnasa mtoto Natalia!!Babu, nakaribia kukupa -divorce. Hivi mjukuu anaweza kum-disown babu eeh?Nahitaji loya.
a man make a house ,but a woman make a home would u be able akama una mtazamo chanya namna hii?????????
asante kiongozi wangu uliniona nilikokuwa eeee hahahaah hata hujanimic eee imebidi nibadilishe na avater mods wasinione tenaKaribu sana mkuu
Kama issue ni nyumba na magari wewe nunua gari na nyumba halafu vikuoe... Kwa mfumo huo utamaliza wanaume mjini kwa kuhangaika na vitu vya kupita matokeo yake utabaki peke yako na hakuna mtu atakaeona thamani ya kuwa na wewe.
Hatimae utajikuta unachukua wadogo zetu wa form 2 na form 4 (Serenget boyz) unaishia kuwapa hizo hela za kununulia magari, ukishindwa hapo utatafuta midori ili utembee nayo kwenye magari na kuipamba kwenye nyumba yako
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"Unataka kunionea tu komando wangu. Hebu jipe muda kidogo. Najua utanielewa kwa nini ningetoa kila kitu isipokuwa pumzi yangu kumnasa mtoto Natalia!!
Jina la Bwana libarikiwe.
Nilianza naye akiwa kwa wazazi wake (alikuwa chuo kikuu wakati huo), akamaliza shule, akapata kazi akiwa bado kwa wazazi, baada ya mishahara 3 nikamshauri atafute chumba kimoja apange. tukanunua pamoja kitanda na godoro (ndo vilikuwa muhimu), then masufuria, jiko la mchina, sahani,..............(hiyo ni miaka 14 iliyopita)
kwa sasa tuna nyumba 3, magari, biashara, kazi nzuri............................... kubwa zaidi we are HAPPILY MARRIED!
got my point?
na ninajivunia tu.........................A good experience too
Ofcuz tutalisikia tu cuz vilaza wa mule ndani lazima watume salaam kwa kila mwanakaya wao so you'll be remembered and mentioned..period..!!
Ulelewe kama mtoto kwakipi kigeni ulichonacho?
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...dc@jamiiforums.com
:rant::rant: