Wanawake muolewe na wanaume wenye nyumba tayari

umetokea kwenye njaa ya akili sana.
Mama katibu mkuu my foot, olewa na nyumba yenu sasa, umefuata nini kwa mwanamme??

Mpe vipande vyake Kongosho, huyu ni sawa na wanaume wengine wanaoa alafu yupo busy na kutafuta hela mpaka wanasahau majukumu ya nyumbani ya unyumba alafu akichezewa faulo anaanza kulia huku akimwambia mwanamke NIMEKUNUNULIA GARI, NYUMBA NI NZURI TUNAYOISHI pia CHAKULA KIZURI NA CHOCHOTE UNACHOTAKA NAKUPATIA amesahau maisha ya ndoa ni zaidi ya mali kwani kama chakula, nyumba hata kwao vilikuwepo. Huyu anajua ndoa ni hela na zikikatika maana yake suala la kujipanga kutafuta upya halipo, inabidi ajiulize kwanini watoto mnaweza kuwa tumbo moja lakini mkawa kimaisha mmetofautiana hata kama wote mmefanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
teh!teh!teh mi mwenyewe nahisi huyu dada na nitonye,nitonye "bonge la mrembo"!halipi huyu dada anabakia kujidai mali za wazazi wake

mi nipo sijui wewe ulijificha wapi!

Mie pia nipo ila nashangaa kwa nini hatukutani hata kwenye korido tu lol.....huyu bidada afu usikute wala hana lolote ni masifa tu vile yuko nyuma ya keyboard!
 
Mara nyingi watu wenye mawazo ya kimaskini huwa na fikra kama zako! Jiulize kuna ubaya gani kama mwanamke akiwa na vyote ulivyovitaja na mwanaume hana? Wise up!

wangu una akili wewe!
Wapenda mteremko utawajua tu..
 
Nina za urithi hakai mwanaume asie na pesa you need money to maintain big houses.mwanamke pesa babu .zangu naweka bank amenioa na inabidi anilee kama mtoto wa Katibu mkuu aliwaPromise wazazi wangu ok

unatafuta mwanamume, if not kelele za nini sasa?
 
Nina za urithi hakai mwanaume asie na pesa you need money to maintain big houses.mwanamke pesa babu .zangu naweka bank amenioa na inabidi anilee kama mtoto wa Katibu mkuu aliwaPromise wazazi wangu ok

Ulelewe kama mtoto kwakipi kigeni ulichonacho?
 
babu Dark City uko wapi mkuu,unamuona huyu binti?hivi binti kama huyu umeshamuoa uko naye ndani ndio analeta mambo haya si utalaani hata ndoa zenyewe kwanini zipo?kuoa binti kama huyu ni ajali kubwa aheri mara 100 ugongwe na treni!

Ndugu yangu Mc Tilly Chizenga,

Mbona nilishatangaza kitambo kwamba kama ningeweza kurudisha saa nyuma, Natalia would beyond doubt be my wonderful wife; ingawa sikuwa na gari wala banda la uani!!

Kama kuna anayebisha alete hoja zake hapa nimjibu....!!

Babu DC
 
Last edited by a moderator:
Nina za urithi hakai mwanaume asie na pesa you need money to maintain big houses.mwanamke pesa babu .zangu naweka bank amenioa na inabidi anilee kama mtoto wa Katibu mkuu aliwaPromise wazazi wangu ok
mtoto wa katibu mkuu my ass!si ungeolewa na babako au na mamako!hebu tupishe hapa
 
Awe ameshajenga anagari na pesa.a men is the head of house hold

Ushauri mbaya kabisa huu dadangu. Ndoa za namna hii hazina maana kwasababu hapendwi mtu hapa ila vitu vyako. Mke wa jinsi hii ndo wanakuwa wazinzi tu maana wameolewa na wanaume wasiowapenda ila wamefuata vitu tu pale. Wada msikubali ushauri huu.

My own experience:
Nimemuoa mke wangu nikiwa nalipwa mshahara wa Tshs. 156,000 kwa mwezi tena nikiwa na MSc. na yeye akiwa hana kazi na alipata kazi baada ya mwaka mmoja. Tukajiwekea mipango (programu) ya kumbariki MUNGU kwa kidogo tulichokuwa tunapata na MUNGU ni mwaminifu akafungua milango ya baraka ambazo zilijaa na kusukwasukwa na kumwagika. Tuna kagari ketu sasa na tunamalizia a one storey modern house.
 
she cant be serious!may be mie sielewi maana ya kuoana,mtu huyu anatafsiri vipi ndoa?anachukuliaje maisha ya ndoa na maisha kwa ujumla?au anafake life ili asifiwe.anyways nadhani kuna hoja nyingine behind the scene,kwa a matured woman na alietambua na kuielewa ndoa na kuamua kuolewa hawezi kuwa narrow minded kiasi hiki,vinginevyo lipo analolitafuta kwa kuwa ktk hali ya kawaida mtu aliezaliwa kunako maisha mazuri hawezi kujisifu ama kuona yeye ni bora zaidi na kuhangaika kutapatapa juu ya maisha ya nyumbani kwa wazazi wake ama kwake zaidi atachukulia kawaida ila kwa mwenendo wa natalia possible hajakuwa kifikra,ama anaota aina hiyo ya maisha ama ndo maskini akipata anafanya sherehe ya kuaga umaskini.
 
Nina za urithi hakai mwanaume asie na pesa you need money to maintain big houses.mwanamke pesa babu .zangu naweka bank amenioa na inabidi anilee kama mtoto wa Katibu mkuu aliwaPromise wazazi wangu ok

Yaani nikona ajuza wa kike ama kiume anaongelea habari za nyumbani kwao, huwa nashindwa kushangaa.
mama yako ukatibu mkuu alipewa kwa naniliu, manake kwa akili zako hizi kama hujarithi kwa sperm donor wa maza, basi hiyo wizara yake ni issue ingine.
 
Ushauri mbaya kabisa huu dadangu. Ndoa za namna hii hazina maana kwasababu hapendwi mtu hapa ila vitu vyako. Mke wa jinsi hii ndo wanakuwa wazinzi tu maana wameolewa na wanaume wasiowapenda ila wamefuata vitu tu pale. Wada msikubali ushauri huu.

My own experience:
Nimemuoa mke wangu nikiwa nalipwa mshahara wa Tshs. 156,000 kwa mwezi tena nikiwa na MSc. na yeye akiwa hana kazi na alipata kazi baada ya mwaka mmoja. Tukajiwekea mipango (programu) ya kumbariki MUNGU kwa kidogo tulichokuwa tunapata na MUNGU ni mwaminifu akafungua milango ya baraka ambazo zilijaa na kusukwasukwa na kumwagika. Tuna kagari ketu sasa na tunamalizia a one storey modern house.

Jina la Bwana libarikiwe.
 
Back
Top Bottom