Wanawake muolewe na wanaume wenye nyumba tayari

Mama yako aliamka asubuhi akajikuta ni katibu mkuu akafunga ndoa na baba yako na kukuzaa wewe?

Grow up binti, kuwa katibu mkuu sio pesa, ukiona baba yako ni katibu mkuu baba waziri na mnaishi maisha ya kifahari ujue wazazi wako ni mafisadi na wala rushwa, mishahara ya ukatibu mkuu ni ya kawaida tu........

Inasikitisha kuona wazee wako wamestruggle kukwapua huku na kule ili uwe na maisha mazuri ila wamesahau kukufunza maisha, wamesahau kukufundisha kupambana.........

Umeolewa kwa kudanganyika na mali za mwanaume, matokeo yake umekosa mahaba na mapenzi ya dhati umeishia kuwa frustrated.....

Hakuna raha kama mwanamke uisimamisha mjengo wako..... Hakuna raha kama ukinunua usafiri wako na kusema i did it.....
Na hakuna raha zaidi kama mke na mume mnapppambana na kujenga kijipalace chenu........ Whoooa mnajisikia haswa.... Too bad huwezi jua how good it feels...

Binti, wenzzio hawaolewi kwa kuwa mwanaume ana gari na nyumba, wanaolewa kwa kuwa wanapendana, hapo wanaishi maisha ya raha stressfree, na mmoja akianguka wanashika mikono na kusimama pamoja....

Pole sana Natalia, nakuhurumia sana....but wewe bado ni mdogo unaweza rekebisha hilo.........

Umenisaidia kuzungumza, Lol!
 
Nipo kwenye ndoa starehe sio uvumilivu

sure! sio upo kutafuta pesa? Gari, nyumba nk, Natalia utafunga ndoa nyingi mweh! si akichoka kustarehe na wewe anatafuta kustareh na mwingine au unasema? kama hilo ndo lengo mpendwa?
 
Awe ameshajenga anagari na pesa.a men is the head of house hold

we natalia,we ni mzuri?unalipa?kama wewe ni mzuri,umetokea well off family maana yake unakutana na watu ambao nao wako well off imekuwaje ukaolewa na mtu ambaye hana hata nyumba na kazi kafukuzwa?hujakutana na wenye pesa?au umekutana nao wakaona hauna thamani sio ya kukaa ktk nyumba zao hata kupiga deki hustahili?jiangalie kama unafanania na mahitaji unayotaka toka kwa mwanaume NAHISI HUNA MVUTO KABISA wenye pesa kama kina Bishanga wangeshakuona!
 
babu Dark City uko wapi mkuu,unamuona huyu binti?hivi binti kama huyu umeshamuoa uko naye ndani ndio analeta mambo haya si utalaani hata ndoa zenyewe kwanini zipo?kuoa binti kama huyu ni ajali kubwa aheri mara 100 ugongwe na treni!

Asikuumize kichwa mtu kama huyu.............this lassie is easy to handle than baby seating
 
we natalia,we ni mzuri?unalipa?kama wewe ni mzuri,umetokea well off family maana yake unakutana na watu ambao nao wako well off imekuwaje ukaolewa na mtu ambaye hana hata nyumba na kazi kafukuzwa?hujakutana na wenye pesa?au umekutana nao wakaona hauna thamani sio ya kukaa ktk nyumba zao hata kupiga deki hustahili?jiangalie kama unafanania na mahitaji unayotaka toka kwa mwanaume NAHISI HUNA MVUTO KABISA wenye pesa kama kina Bishanga wangeshakuona!
Kama ningekuwa mbaya mume wangu angebakia humu ndani .mimi Natalia bwana nimezaliwa wazazi wangu wana masters.wamenisesha nursery school mpaka college USA .sijazoea shida,aliponioa alikuwa anakazi na pesa hana kazi solishi
 
Wazazi wangu matajiri kabla ya kufanya kazi serikalini,

watakurisisha utajili wa mali ila utajiri wa akili hutoupata......

karne hii watu hawajisifu kwa mali za wazazi....

Mtu anajisifu kwa mali zake alizozitolea jasho....

Sio gari ya mama
nyumba ya baba...
Shamba la wazazi.... Wakifa mnaishia kuchinjana kugombea urithi
 
Kazi kwelikweli! Huyo mume ndio uliosema hana kazi unamwacha halafu huyohuyo akataka kukuonga gari usimwache halafu huyohuyo mnachuchubana mara 9 kwa siku? SMH
 
Kama ningekuwa mbaya mume wangu angebakia humu ndani .mimi Natalia bwana nimezaliwa wazazi wangu wana masters.wamenisesha nursery school mpaka college USA .sijazoea shida,aliponioa alikuwa anakazi na pesa hana kazi solishi

mi siamini kama wewe ni mzuri,naona hauna thamani unayodhani unayo ndio maana umekosa mwanaume wa kukutunza vema,unajua sisi wanaume wajanja sana tukiona huna mvuto na tuna hela hatukufuati!Natalia huna mvuto acha ubishi
 
watakurisisha utajili wa mali ila utajiri wa akili hutoupata......

karne hii watu hawajisifu kwa mali za wazazi....

Mtu anajisifu kwa mali zake alizozitolea jasho....
Nafanya kazi pesa naweka bank
Sio gari ya mama
nyumba ya baba...
Shamba la wazazi.... Wakifa mnaishia kuchinjana kugombea urithi
pesa zingu naweka bank
 
mi siamini kama wewe ni mzuri,naona hauna thamani unayodhani unayo ndio maana umekosa mwanaume wa kukutunza vema,unajua sisi wanaume wajanja sana tukiona huna mvuto na tuna hela hatukufuati!Natalia huna mvuto acha ubishi

Pesa yangu naweka bank nafanya kazi
 
Nashukuru kusikia hivyo ma dia. Nafikiri kuanzia mwenzi ujao nitakuwa free sana. Tutarudie hali yetu ya zamani. But vurugu sitakiiii

Sasahivi mie na wewe no vurungu kabisa.......atakayemchokoza mwenzie tunaenda kumsemea nyumbani!
 
pesa zingu naweka bank

then inaonyesha jinsi gani hujakua na kukomaa....
Mwanamke utakuwaje golikipa?

Hiyo hela unayoweka benki ambayo unashindwa kununua gari hadi unataka kuhongwa ni hela ya nchi gani? Zimbabwe?
Hata vits inakushinda unaishia kutafuta mwanaume kwy ajili ya gari?

Shame on you......
 
Mara nyingi watu wenye mawazo ya kimaskini huwa na fikra kama zako! Jiulize kuna ubaya gani kama mwanamke akiwa na vyote ulivyovitaja na mwanaume hana? Wise up!

Wanaitwa Gold digger...hawafikirii zaidi ya urefu wa pua zao.Poor them!!!!!
 
Back
Top Bottom