wanawake mtatung'oa meno jama!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
ebu ona hii!
 
Attachments

  • IMG-20120305-WA0002.jpg
    IMG-20120305-WA0002.jpg
    59.2 KB · Views: 92
Namtaka radhi ila ukweli ndio huo...lol hata wewe nina wasiwasi

bro mm ni mdogo wako kwa miaka tu...mambo yangu makubwa!..vp wake leo wako wapi akati mm nimejaribu kuwapaisha hapo juu!
 
Ngoja bishanga aje, atalia sana
maana unamkumbushia machungu
Hahaha! Una akili sana wewe, hebu mleta mada toa huu uzi upesi kabla bishanga hajakuja, akilia hapa hakuna mtu wa kumbembeleza...

afu huyo mkaka mbona anapigwa lakini kakumbatia?..
 
Hahahahaaaa SL si mchezo....atatoa yooote hadi ya nyuma
Unantaja mara nyingi kuliko unavyomtaja amyner...lol.

Afu ukome kumfuata fuata my swetie husband nitonye manake atakung'oa na wewe hayo meno mawili amyner aliyokubakishia!
 
Ngoja bishanga aje, atalia sana
maana unamkumbushia machungu
Kongosho Bishanga kanipigia anasema akikukamata ama zako ama zake na ukiendelea kumfatafata atatoa siri yako eti kuwa wewe ni 'mwanamke'...samahani mie ni mjumbe na kama ujuavyo mjumbe huwa hauwawi.

Msg senti and delivadi....
 
nilikuwa nataka kulichuna libishanga
nikaificha moja
nikala kungumanga macho yakalegea kama mlenda

ila mindevu sikunyoa, nikamwambia mkorogo wa Italy ndo fasheni yake hiyo.

alama za ndevu hata upake maji ya betri hayatoki kongosho!labda ufikirie mbinu ingine...
 
Kongosho Bishanga kanipigia anasema akikukamata ama zako ama zake na ukiendelea kumfatafata atatoa siri yako eti kuwa wewe ni 'mwanamke'...samahani mie ni mjumbe na kama ujuavyo mjumbe huwa hauwawi.

Msg senti and delivadi....

naona umejitoa mhanga bi dada!
 
Hahaha! Una akili sana wewe, hebu mleta mada toa huu uzi upesi kabla bishanga hajakuja, akilia hapa hakuna mtu wa kumbembeleza...

afu huyo mkaka mbona anapigwa lakini kakumbatia?..

hayo ndio mapenzi ya kweli...huyo anaonekana analijua kosa lake!...bishanga anakula chabo...nimemshtukia..
 
Back
Top Bottom