Wanawake msitupime imani kiivyo....

Nampongeza jamaa kwa kufanya hivyo siku nyingine harudii tena kumtuma mtu kwani atajua sasa anawapa nafasi ya kumpata mumewe.
 
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui wapo wapi. Shost wake kanogewa anataka tena!
cooked up!
 
Mie ndo maana sikuachi, hebu pita huku nikupe ka-wine hahah LOL

hahahaha lol
mmmhh kwa kweli
asante mkuu lakini mie kama huna sauvignon Blanc
utanisamehe sichanganyi wine hahahah lol
lakini kama una nyeupe yeyote asante ...
 
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui wapo wapi. Shost wake kanogewa anataka tena!

Kati ya makosa ambalo siwezi kufanya ni hilo, yaani wacha bamsapu ajitest mwenyewe lkwa tamaa zake lakini mimi kumpelekea mzigo never, halafu ukute huyo shosti ukute toka zamani anamtamani mume wa mwenzie so kupata dili kama hilo akaona shetani ampe nini..
 
Usifanye jaribio kwa kiumbe kilichoumbwa na Mungu hapa duniani kikaitwa Mwanaume, halafu kwa bahati ajue ulikuwa unamjaribu.
Utakoma na kujutia uamuzi wako.
 
Kati ya makosa ambalo siwezi kufanya ni hilo, yaani wacha bamsapu ajitest mwenyewe lkwa tamaa zake lakini mimi kumpelekea mzigo never, halafu ukute huyo shosti ukute toka zamani anamtamani mume wa mwenzie so kupata dili kama hilo akaona shetani ampe nini..

Hapo nimekuelewa,lakini vipi kama mke wangu akikutuma kwangu, utakuja?
 
hahahaha lol
mmmhh kwa kweli
asante mkuu lakini mie kama huna sauvignon Blanc
utanisamehe sichanganyi wine hahahah lol
lakini kama una nyeupe yeyote asante ...
Hahah Sauvignon tu!? haya karibu, kuna na Martini na Baileys........
wewe tu shindwa hahah
 
mmmhhh jamani unanitamanisha nani
jumanne asubuhi jamani lol
mmmhhh
utaniingiza kwenye mabalaa mie...
hahaha lol
 
mmmhhh jamani unanitamanisha nani
jumanne asubuhi jamani lol
mmmhhh
utaniingiza kwenye mabalaa mie...
hahaha lol
Balaaa lipi tena,
u got to be confident and happy when I am around............hahah LoL
 
hhahahahhah lol

If I am not for myself, who will be for me? And if I am only for myself, what am I? And if not now -- when
 
Hhahahaaa, yaani kakosa njia nyingine kabsaaaa... angemtumia hata housegirl ambaye angeweza kumbana aseme ukweli, sasa utakuta shosti yake hana mume, na ana mahitaji hayo, leo kapata hio penati, afanyeje kama sio kufunga??

Mkulu,
nimeipenda observation yako
 
Back
Top Bottom