Da Dinnah
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 504
- 181
hakuna kitu kama hicho, nakumbuka mama angu mdogo kazaa watoto wamefatana na mmoja akiwa na miezi mitan akawa mjamzito tena na doc akamwambia asiache kunyonyesha sababu haina uhusiano na mimba yake, sasa huwezi amini yule mtoto alitembea na miezi kumi tu, hakuna kitu kama hcho kabisa