Wanawake mngejua...

hata bikira za mchina zipo! mwambie aende! akaibiwe hela zake! just give order on net and wait at home! hehehehe! vacation yangu inaendelea!

mkuu nina hofu na hiyo vakeshen yako kama itaisha salama leo maana muda wote umeudediketi jamvini. Ila tunahitaji mawazo yako pia
 
Mwanaume huingia mapenzini kwa tamaa kwanza. Sasa wanawake msituige
mimi sikuingia mapenzini kwa kutamani! muda wangu ulipofika nilioa!

Pape, hongera kwa maisha matamu ya ndoa!

i) Una muda gani kwenye ndoa?
miaka 20

........ hata ndoa zeni si ajabu zilianza na sexual attraction....... wanaume wengi huanza na kutamani kwanza ndio mapenzi hudevelope baadaye..........
sio wote wenye tabia ya kutamani! utatamani vingapi ndugu yangu?
 
mkuu nina hofu na hiyo vakeshen yako kama itaisha salama leo maana muda wote umeudediketi jamvini. Ila tunahitaji mawazo yako pia
mkuu hapa niko na mamaa! siku hizi tekinolojia inatusaidia! nadhani unaelewa! tunapata mambo mazuri hapa!
 
mkuu nina hofu na hiyo vakeshen yako kama itaisha salama leo maana muda wote umeudediketi jamvini. Ila tunahitaji mawazo yako pia

pape mzushi tu, leo kajiunga kambi ya noname............. kaazi kwelikweli.......

mimi sikuingia mapenzini kwa kutamani! muda wangu ulipofika nilioa!

miaka 20

sio wote wenye tabia ya kutamani! utatamani vingapi ndugu yangu?

basi kama humtamani mkeo una hatari kubwa sana mbele yako............. take care........ ibilisi yuko mlangoni..........

mkuu hapa niko na mamaa! siku hizi tekinolojia inatusaidia! nadhani unaelewa! tunapata mambo mazuri hapa!

na huyo mkeo kweli mmekutana!!!!!!!!! mwanamke orijino mmetoka out na wewe unakuwa bize na JF akuangalie tu kisa umemuagizia mishikaki??????????? hahahaaa............. hiyo nayo kali................. i doubt na hiyo vekesheni yenu kama ni real...................
 
ubarikiwe ila hauko kama sisi ambao tunafall in love via the lust of flesh
hehehe, pole sana! unahitaji kufunikwa na DAMU ya Yesu!

pape mzushi tu, leo kajiunga kambi ya noname............. kaazi kwelikweli.......

basi kama humtamani mkeo una hatari kubwa sana mbele yako............. take care........ ibilisi yuko mlangoni..........

na huyo mkeo kweli mmekutana!!!!!!!!! mwanamke orijino mmetoka out na wewe unakuwa bize na JF akuangalie tu kisa umemuagizia mishikaki??????????? hahahaaa............. hiyo nayo kali................. i doubt na hiyo vekesheni yenu kama ni real...................
hehehehehehe, mkuu huo ndiyo tunaita 'wivu'
 
Majibu ya Pape ktk hii thread naona kama yako kimaigizo zaidi.

Mimi nina shida hii: No condom no sex, no sex no love.

Sijui mwenzetu Pape kaingiaje kunako ndoa, yani na spontaneous love isiyokuwa na trigger?
 
unajua dunia ya wanaume ni tofauti sana na ile ya wanawake. mapenzi kwa mwanaume huanza na kutamani na huchochewa zaidi na tamaa. ni baada ya kutamani ndio huingia naother stage ya kupenda, hivyo utaona motivation kubwa ni kutamani............. usiangalie vocabulary iliyotumika bali angalia maudhui........ anaposema "kifaa kipya" unachukulia neno kifaa kama linam-degrade mwanke! lakini tuna maneno mengine mengi, mfano "mtoto yule chuma kweli" sentensi hii haina maana kwamba anayezungumziwa ni "mtoto" ama ni "chuma" nyuma yake kuna maudhui ya mvuto kimahaba..............

kubali usikubali, we sart by thinking about pussies and finish by embracing companion and other aspects of relatonships............... kinyume chake unataka kufananisha watu na mashine zenye maarifa artificial na zisizo na hisia........ ndoa zikifikia hapo (zisihusishe hisia halisi za urijali za wanaume) zitakuwa zimeharibika zaidi .......... na matatizo ya kutazama nje for more satisfacton hayataisha...........
haya kiswahili kigumu... lakini mimi nimefahamu exactly what he meant to say... alimaanisha kama wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja... si ndio? kila akikaa na mwanamke mmjoa kwa muda mrefu anatamani awe na mwanamke mwingine...

My point is .... dont look at woman as a sex tool, just for satisfying ur sexually needs, for a marriage or relationship to be success you have to look at a woman as a companion, a selfish human being who will not like to share her man with other woman, look at her needs (respect and love). But if you will just focus on ur needs then dont get married... because from this part of the world (where i live) Divorce can be a pain... its better to be ran over by a train than going through divorce...
 
Wanaume wengi wanaoa, halafu mke anabeba mimba anazaa mwanaume anaanza kumuona mwenzake anajinenepea tu, anajiachia nk hamwambii mwenzake hadi inapofika "point of no return" ndio wanagutuka!

Halafu hii tabia ya watu kuitana "baba flani" na "mama flani" ndio inaondoa kabisa ile intimacy iliyokuwepo mwanzoni, mnaanza kuonana kwa macho hayo tu, yaani kwamba huyu ni baba/mama fulani wakati zamani mlikua mkiitana majina halisi au ya kimapenzi (for lack of a better word, I mean endearing names, like Honey, Darling etc)

Watu wengi wanadai kuwa eti kuitana majina ya zamani mbele ya watoto ni kuwafundisha watoto tabia mbaya na kuwa watoto wataanza kuwaita wazazi kwa majina hayo. Si kweli. Na kama ikitokea, huwa inapita
 
Majibu ya Pape ktk hii thread naona kama yako kimaigizo zaidi.

Mimi nina shida hii: No condom no sex, no sex no love.

Sijui mwenzetu Pape kaingiaje kunako ndoa, yani na spontaneous love isiyokuwa na trigger?
hehehehe, ndoa inayofungwa kitakatifu ni tamu sana! sasa wewe kama ulikuwa unamega mchumba wako kila siku, kwann siku ya ndoa yenu mnataka kwenda honey moon? mkafanye nini huko?

Ukimudu kutomega basi honey moon inamanufaa sana! Mtaenda kumegana kwa mara ya kwanza! Tena kila mmoja anakuwa na hamu ya mwenzake!

Mimi sihitaji condom kwani ninawangu ndani! Kazi kwako kutumia kondomu zenu!
 
Watu wengi wanadai kuwa eti kuitana majina ya zamani mbele ya watoto ni kuwafundisha watoto tabia mbaya na kuwa watoto wataanza kuwaita wazazi kwa majina hayo. Si kweli. Na kama ikitokea, huwa inapita
hehehe, mamaa ananiita honey na mimi namwita darling!

Hata watoto tunawaita 'baby'

Ndoa ndoana!
 
Miaka 20 kwenye ndoa Pape?

Umesema watoto umewapeleka kwa bibi yao.... Wana umri gani?
 
Miaka 20 kwenye ndoa Pape?

Umesema watoto umewapeleka kwa bibi yao.... Wana umri gani?
tobaaaaaaaa! naona hatuelewani! hapo sasa unaingia ndani sana katika familia yangu!

Mfano: kama nina watoto wa 2, umri wao 15, 13, siwezi kuwapeleka kwa bibi yao? Kwani unashangaa nini sasa?

Wala haina shida ni kuwaambia tu kwamba leo mnaenda kumsalimia bibi! Hakuna wa kuhoji! Nitawafuata baadae! Kesho wanatakiwa waende shule!
 
Hii Vekesheni hii nina wasi wasi maana Pape tangu asubuhi yuko hapa na anatoa update kwa muda mwafaka sasa sijui saa ngapi ameoga, amejindaa. Pape unatuzuga nadhani hayo ni Matamanio ya namna ungewish kuishi na Mkeo
 
Jibu basi maswali Pape. Ninahitaji kupata uhalisia wa furaha yako ya maisha ya ndoa. Si tunaelimishana?
 
Jamani kuoga inachukua dkk ngapi? Siku hizi kuna tekinolojia ya utandawazi! Au wewe bado unatumia desktop computer? Unaweza pata signal hata kwa GPRS supported mobile phone mkuu! Kama vp tumia iphone!
 
Jibu basi maswali Pape. Ninahitaji kupata uhalisia wa furaha yako ya maisha ya ndoa. Si tunaelimishana?
mbona nimeshakujibu! watoto wa 2, umri wao miaka 15, 13. wapo kwa bibi yao!
 
hehehehe, ndoa inayofungwa kitakatifu ni tamu sana! sasa wewe kama ulikuwa unamega mchumba wako kila siku, kwann siku ya ndoa yenu mnataka kwenda honey moon? mkafanye nini huko?

Ukimudu kutomega basi honey moon inamanufaa sana! Mtaenda kumegana kwa mara ya kwanza! Tena kila mmoja anakuwa na hamu ya mwenzake!

Mimi sihitaji condom kwani ninawangu ndani! Kazi kwako kutumia kondomu zenu!

Unaweza kujifanya hutaki kumega kabla, halafu huko kwenye honeymoon unakutana na kitu ambacho ungekijua kamwe usingethubutu kuoa mtu wa hivyo. Imagine unaoa kitakatifu hivyo, halafu ukifika ndani unakuta mwenzio ni tranny au wengine wanaita shemale?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom