Wanawake mnavotunyanyapaa kimapenzi.....kwa nini? (Muziki)

Chochote usemacho utapata......!
baasi nataka zembwela ya idi+konkoko+bangili za funguo+za gold.....:caked::caked::caked:
my elephant hana mpya nw days na ninatafuta wakili nidai talaka yangu mie....simtak tena ingawa nampenda kwa mbaaaaaaaaaaaali yan kwa kutumia microscop:A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby:
 
Rose si ndio yale majina yetu yale? (Utulivu sifuri?):nono::nono::nono:

we mzee...That is (chagua mwenyewe) CALLING....You have been (chagua mwenyewe)ed

Invisible has now introduced self ban...!
 
we mzee...That is (chagua mwenyewe) CALLING....You have been (chagua mwenyewe)ed

Invisible has now introduced self ban...!

jaman we nawe kwa kunipenda...tel h,m babu mchokodh sana mwambie mi stak ivoooo....I TUKUTUKU YA BABU!!!!!
 
baasi nataka zembwela ya idi+konkoko+bangili za funguo+za gold.....:caked::caked::caked:
my elephant hana mpya nw days na ninatafuta wakili nidai talaka yangu mie....simtak tena ingawa nampenda kwa mbaaaaaaaaaaaali yan kwa kutumia microscop:A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby:

Rose njoo tushee kwa Dig dig wangu
 
mi naona watu wazamani walikua utongozaji wao ni wa kulialia sana badala ya kuweka security kwa mapenzi na mwanamke mwenyewe

napenda za siku hizi kama ile ya ngosha wetu - DUDU BAYA
nakupenda tu
vile ulivyo nakupenda tu

(pua kama ngumi) nakupenda tu

(vidole kama tangawizi) nakupenda tu
(miguu kama miti ya genge) nakupenda tu

vile ulivyo nakupena tu... hii ndo ya kisasa zaidi

or the songs like
i wanna sex you up - color me badd
i wanna make love to you - k-ci and jojo
i will make love to you - boyz to men
sex me - r kelly
nipe nikupe - Ay
let me frak you - silk'
nungayembe - ngoni

nakadhalika
 
baasi nataka zembwela ya idi+konkoko+bangili za funguo+za gold.....:caked::caked::caked:
my elephant hana mpya nw days na ninatafuta wakili nidai talaka yangu mie....simtak tena ingawa nampenda kwa mbaaaaaaaaaaaali yan kwa kutumia microscop:A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby:

Unataka kuponza watu hivihivi....
 
we nawe asi utakuwa unaniletea mlenda tu toka dodoma..sa unaogopa nin?

ahh dig dig wako macho juu juu km muhudumu wa rombo pub mi smtak...labda mfalme wak kdg...mmh uyu nae bomu BAAS STAK MTU NAENDA KWA BAAAABU MIE...!!!!1

hhahaha Rose imekuwaje tena mbona maba dig dig, mara king mara sijui nn....whats not happening?
 
hhahaha Rose imekuwaje tena mbona maba dig dig, mara king mara sijui nn....whats not happening?

ahh asi kwa sababu wew nimekuona umetishika na mkwara wa rr
km upo strong bas nina un do kooooooote then naambatana na wewe!!!!!!!!!!
 
kifo cha penzi ni kifo kibaya,usikiombee kifo cha penzii!,ni heri ufe kwa kugongwa na gari la ghorofa liendalo Ilala :music:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom