Wanawake mnavotunyanyapaa kimapenzi.....kwa nini? (Muziki)

Mama Kubwa naomba mi niwe wa kwanza kwenye hiyo RED.....lalalalalalaaalal:hippie:
Ngoja nikanywe Valuer kwa hii kitu hapa chini dah......
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

Mama Big (Today)

 
Huyu ameolewa na baamedi.........:tape::tape::tape:
hommie umeona hii thanx hapa chini......Bado ya Rose1980 naitafuta kwa udi na uvumba.....


The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

Mama Big (Today)
 
huo NEEMA dah...wimbo unanibambaaa sanaaaa.ilaa mateso wanawake ndo wamezidisha kuliko wanaume
 
Mmenikumbusha... kwa nini miziki imeondolewa humu? Naandaa maandamano kudai irudishwe haraka iwezekanavyo
 
Hii Idd imenijia Vizuri lol ngoja niifadhi hapa chini Uchelewi kubadili mawazo wewe........Lol
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

Rose1980 (Today)
hahha hahaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
muulize ataninunulia za rang gan?????
 
mwone vile...............mpana km pazia la senema......vp kesho utakwepo panapo makutanoooooooooooo????????
mich ya!!!

hahahaha dah mbona unagonga Ikulu wewe....pazia la sinema.....hahahahaha
Nipo kijijini nakutaftia mama..........
 
Haya kibao kingine murua hiki hapa, kweli jamaa anaumia kimapenzi

.................................................................................................................................................................................................
DIRISHANI...AFRO 70 (The Finest upo?)

Ninatizama dirishani eeh
Naona ni mvua inanyesha ooh
hakuna kilichobakia ooh
ila ni huzuni na uchungu
ingawa umeondoka eeh dada
kuniacha pweke na ukiwa tele
nakutafuta mpenzi unipoze moyo
naona hakuna mtu wa kunificha
mpenzi nauliza utarudi lini eeh
mateso yanitoke nifurahi nawe mpenzi!

Sheri rudi rudi mpenzi wa rohoooo
Sheri rudi naomba nakufa kwa pendo!
elewa ee dada nakufa kwa upweke
Nakupenda mimi ooh kwa uzuri wako!
nakuomba eed dada utorokee eeeh
ili tukionana tuoane ee dadax2

.................................................................................................................................................................


 
Nilipokwenda
Kwa mjombaaa,
Nilikutana na binamu yangu.
Na kwa kweli
Tulipendana
wazazi wetu walitukatalia tusioane.
Eti kwa sababu....yeye mtoto wa mjomba..
Ndivyo ilivokuwa vigumu kwetu kufunga ndoa


Wazaziiiiiii ninasema (wasemaaa)
Nasononeka... kwa vile msichana (msichana ) Nilimpenda....

Utampata wako mwingine naye utampenda,
Mtoto wa mjomba kufunga ndoa si vizuri

Gurumo mwacheni aitwe Gurumo..... Bazi lililoimbwa hapo wacha kabisa.
Hivi kumbe kumega mtoto wa mjomba ni sumu?
 
Nilipokwenda
Kwa mjombaaa,
Nilikutana na binamu yangu.
Na kwa kweli
Tulipendana
wazazi wetu walitukatalia tusioane.
Eti kwa sababu....yeye mtoto wa mjomba..
Ndivyo ilivokuwa vigumu kwetu kufunga ndoa


Wazaziiiiiii ninasema (wasemaaa)
Nasononeka... kwa vile msichana (msichana ) Nilimpenda....

Utampata wako mwingine naye utampenda,
Mtoto wa mjomba kufunga ndoa si vizuri

Gurumo mwacheni aitwe Gurumo..... Bazi lililoimbwa hapo wacha kabisa.
Hivi kumbe kumega mtoto wa mjomba ni sumu?


Hapa alikuwa na bendi gani hommie DDC ama Msondo?
 
I can't live
If living is without you
I can't live
I can't give anymore
Can't live
If living is without you
can't give,
I can't give anymore



Wizi mtupu!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom