Wanawake mna tatizo gani?

mwanalumango

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
232
277
Kwanini wanawake walio wengi (sio wote) wanakubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume walio na huruka ya kulala na wanawake walio tofautitofauti (play-boys) ingawa wanawake hao wakifahamu fika juu ya tabia za play-boys hao? Nataka kujua kitu gani kinawasukuma kufanya hivyo? Nasema haya baada ya tafiti nilizozifanya za kimazingira si za kisayansi katika maeneo mbalimbali ambyo nimeishi ni si Tanzania bali ni nchi tofauti katika mabara tofauti.

Huenda wengine wakasema tatizo ni pesa la! si kweli huenda kwa baadhi, nasema hivyo kwa sababu mimi naishi kwenye mazingira ambayo watu wote wote wanaoishi hapa wanaume/wanawake wote wanapesa za kutosha kabisa lakini tabia ipo.

Kwakuongeza kuna dada mmoja mgeni alifika hapa na tukawa tunaongea kirefu kuhusu bwana mmoja mwenye tabia hiyo, na huyu dada anaonekana yupo decent, ana elimu ya juu sana na senio staff, chakushangaza wakati narudi toka likizo nikakuta yeye ana mahsiano ya mapenzi na huyo jamaa aliyekuwa akimkandia siku moja. Si yeye tu bali ni wengi, wsomi na wanapesa, why? Kama wasingekuwa wanakubali huyu jamaa asingepewa jina la play-boy, ni kwa sababu tu anawapanga na anaendelea kufana hivyo kwa kila anayekuja. Huyu jamaa, nimetolea mfano tu si kwamba yeye tu ali wengi waliokama eye ni rahisi kukubalwa na wanawake.

Wana jf ebu nielezeni, ni kwanini hii inatokea sana?
 
Sema sikumbuki tu, ila madam AshaDi alishalongelea hili. Natamani ningekuwa na uwezo wa kukuletea ule mchango wa madam AD. Pengine akiuona huu uzi wako atakuja kukupa full madataz
 
Mti wenye ma2nda ndo unapgwa mawe!Sehem yeny raslimal kokote dunian ndo pana migogoro ming xana!Playboy ni kwel hata vacity wapo hvo,mwanaume mstaarab anapata m'mke kawaida tu ama misbehavd!Psychologcal issue, sam women prefer litle thngz to biger ones!
 
Play boys are yummy on bed, katika nyanja zoote.

Lakini pia kuna play girls.

Kwanini wanawake walio wengi (sio wote) wanakubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume walio na huruka ya kulala na wanawake walio tofautitofauti (play-boys) ingawa wanawake hao wakifahamu fika juu ya tabia za play-boys hao? Nataka kujua kitu gani kinawasukuma kufanya hivyo? Nasema haya baada ya tafiti nilizozifanya za kimazingira si za kisayansi katika maeneo mbalimbali ambyo nimeishi ni si Tanzania bali ni nchi tofauti katika mabara tofauti.
 
Kawaida tu ya wanyama kupenda wanyama wenzao....Ooops malaya wa kike kupenda malaya wa kiume.
 
1. Na wenyewe husema nasikia ulikuwaga na fulani na fulani.......................................Looooong list I mean wengi hujua kwamba jamaa ni play boy

2. Wengi wa play boys hawana karaha, matusi, kejeli na madharau kwa wanawake n are gud sympathizers......na haya si ndo mnayoyapendaga khaswa nyie ambao hela ya kula haiwasumbui

3. Nani anamjua playboy mchovu kiuchumi...not presentable???? Hapo ni kumchosha adui kabla ya kukutana naye

4. Mnayoyaota kutwa kucha dada zetu play boys ndo wanahakikisha wanayo.......
 
He knows how to handle his business, dont hate bro

Kuna movie moja niliangalia nadhani ni "HITCH" ya Will Smith kuna point Will alisema kwamba kuna baadhi ya wanaume wao wanajikuta wapo karibu sana na ulimwengu wa wanawake wana connect kirahisi.

Si ajabu wewe una malengo mazuri na binti amekuvutia ukamsalimia asikujibu lakini akija expert anajibiwa na anaondoka nae on the spot...
 
hata wanawake wanatamani mkuu...wao pi huongozwa na hisia kama tu ilivyo kwa wanaume.
tumezoea kuona wanaume wakware hawaachi demu mkali anayekatiza mbele yake. watajifaragua hata kwa kupiga mluzi au kukata shingo.
hata wasichana au wanawake nao wana hizo hisia ingawa huwa zimejificha...so playboys walikubuhu huzijua hizo signs na hujitwaalia pasipo rabsha yoyote...

"playboys will always be playboys"
 
Ni kweli kuna play girls. Wanaume tutamchezo wa kuambiana kuwa ebwana yule mtoto malaya lakini mali zake si zakawaida, sasa ukishasikia watu kama kadhaa hivi na wewe unataka kutesti zali, ndivyo wanavyofanya wanaume. Lakini tofauti na wanaweke, mwanaume akisha testi zali anaondoka, kinadada wao wanang'ang'ana na wanaweza hata kupigana kwa ajili ya jamaa. Inanishangaza sana. Nkweli kwamba mwalimu wao kipofu au nini, samahani lakini kina dada mnaofanya hivyo sio wote.

Play boys are yummy on bed, katika nyanja zoote.

Lakini pia kuna play girls.
 
Ni kweli huwa inatokea lakini ni mara chache sana. Wanaume tutamchezo wa kuambiana kuwa ebwana yule mtoto malaya lakini mali zake si zakawaida, sasa ukishasikia watu kama kadhaa hivi na wewe waingiwa na tamaa ya kutesti zali, ndivyo wanavyofanya wanaume. Lakini tofauti na wanaweke, mwanaume akisha testi zali anaondoka, kinadada wao wanang'ang'ana na wanaweza hata kupigana kwa ajili ya jamaa. Inanishangaza sana. Nkweli kwamba mwalimu wao kipofu au nini, samahani lakini kina dada mnaofanya hivyo sio wote.


This issue goes vice versa also.
 
Nakubalina na wewe. Tatizo langu ni kwamba mwanamke kabisa mwenye ufahamu mkubwa (ingawa mambo haya hayana ufahamu) kwakujua kwake kuwa huyu mwanaume ni ****** mefanya hivi na hivi na hivi na kina fulani bado yeye (mwanamke) ata the end of the day anakuja analala na huyo jamaa. Chakushangaza mwanamke huyu ni miongoni mwa waliokuwa wakimsagia huyu jamaa kwa nguvu zote na kuwaponda wanawake wenzake waliokuwa kwenye list lakini yeye naye yupo sasa. What goes wrong? Je huwa wanataka kujaribu kuona kitu special ambacho jamaa anacho kinachokimbiliwa na wengine?

hata wanawake wanatamani mkuu...wao pi huongozwa na hisia kama tu ilivyo kwa wanaume.
tumezoea kuona wanaume wakware hawaachi demu mkali anayekatiza mbele yake. watajifaragua hata kwa kupiga mluzi au kukata shingo.
hata wasichana au wanawake nao wana hizo hisia ingawa huwa zimejificha...so playboys walikubuhu huzijua hizo signs na hujitwaalia pasipo rabsha yoyote...

"playboys will always be playboys"
 
Back
Top Bottom