Wanawake mna nini na wanaume hawa?

wacha kabissaaaa embu nianze na john dumelo, kwanza mwanaume mweusi anavutia saaana Pili ni gentle, tatu ni mrefu NNE body lake hakuna mfano, tano john ana sifa moja inayofanana na ya levy yaan akiwa anaongea kitu serious anakunjaga USO kidogo afu anaachia bonge La smile acha kabisa .

wilium levy nae ana body zuri sana ni gentle ni mrefu daaa ila ana sifa pekee akiiigiza deep love utamtaka yaan Mara nyingu utazama kiupande afu ukunja USO kuinama na kuinua vimachi vyake utoa machozi yaan sijui nisemeje. afu akivaa shat la mikono mirefu akaikunja Weweeee huku amechomekea loh acha kabisa na smile lake loh,

N.b kwenye soka sifa zikumimimikie Ronaldinho gaucho, no matter what meno yako 2002_2006 ahaaaaaaa hapo Niko ndogoo ndo secondary ahaaaaaa kila gazeti nilinunua so long as Lina picha yako,

RIP the great kanumba.
 
Nampenda Willy Levy mimi jamani uuuuwiiiiii!!!
Mkuu umemsahau na mtu mmoja mtanzania anaitwa DAXX CRUZ Ni model yupo south Africa

Mwingine ni Diamondplatnumz.....licha la umbile lake dogo lakini wadada wengi wanamzimikia saaaana
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
 
Itakuwa Le Mbebez huyo
 
kila MTU shoga ana vionjo vyake yaan pamoja na sifa hizo zoote mm ugonjwa wangu ni mwanaume msafiiii loh hapa uwa sinaga ujanja
 
.Wanawake mna siri gani ya kuwapenda wanaume hawa achana na umaarufu wao maana kuna tukio liliwahi kutokea la kupigwa mwanamke mmoja kwa kisa cha kumpenda huyo JOHN DUMELO mpaka akaachana na mume wake.
Huyo mmoja ndio ujumuishe wote?

Anyway, labda wana jini mahaba dume linalovuta wanawake.
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
Ha ha ha NIfah mtaje bana asije akachukuliwa na wengine
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
hahaha huyo atakuwa si mwingine ila ni mchawi #mshana jr#
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
Le mutuz, le akili kubwaz , le mbebez, le niffah, le anakuzimiaga le sana
 
Back
Top Bottom