Wanawake mna mambo jamani!

Tunasema kwa sababu yapo mnayoyafanya na tunayaona sasa mnataka tunyamaze?Na ninyi kama yapo ya kwetu c mseme???
 
Siku hiz hakuna kutongozana, siku hiz kuna sera ya sema shida yako, kwanin tusumbuane??
Ni kweli mkuu, hata vijana wenyewe siku hizi kutongoza hawajui kabisaaa, imebaki kujiumauma tu. Kwa kweli hata sikumbuki mara ya mwisho mimi nilitongozwa lini nikajisikia nimetongozeka!
 
kwani hela inatoka kwenye kiungo chochote mwilini? Ila papuchi ni kiungo cha mwili kwa hiyo umakini zaid utahusika hapo.
Ukimtongoza mwanamke akakubali na baada ya muda kidogo ukachomekea yako kutaka yaleeeee mambo yetu basi utamsikia mwanamke akija juu, oooooh bado sijakujua, juzi tu tayari ushaomba, unaelekea wewe shida yako ni hiyo tu na huna mapenzi na mimi. Kinachonishangazaga ni kuwa linapokuja suala la kupiga mizinga lenyewe halina muda mfupi sikufahamu, sasa iweje tunda lenyewe hadi unifahamu lakini mizinga ya ooooh nina shida ya laki 1 yenyewe nayo isisubili hadi mfahamiane?????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom