Wanawake mmekuwaje skuhizi??????????????

Dunia kweli imeharibika. Sisi tulioolewa inabidi tuwaombee sana waume zetu. Kila mahali ni mitego. Tena wakikuona unaendesha gari zuri ndio kila mtu anataka awe anakutania tania ili uingie line. Mi ndo nishasema mtu akileta utani wa kupitiliza kwa Mr. NAMTOA NISHAI LIVE whether wanafanya kazi pamoja au walisoma wote. Lazima niprotect mali zangu.

Mimi mbona nafanya kazi na simtanii mume wa mtu na wala sitaniwi??? Heshima kitu cha bure cheating zinaanziaga humo humo kwenye matani. Nina hasira na hawa vibaka.

Kipipi umeongea kweli hapa bwana lazima kuangalia pande zote mbili,kuna jamaa mmoja namfahamu nilishawahi kupost stori yake hapa yeye nae alistukia deal kachukua mzigo machale yakamcheza akasogeza kitanda mlangoni but haikusaidia alikuwa almost amelizwa ni mungu tu alimsaidia.[/QUOTE
 
Ndo hivyo tena issue ya kuvua pant imerahisishwa sana sijui tunaenda wapi? Tulikaa baa fulani akaja mdingi kama early 50 hivi akakaa kwenye meza vikaja vitoto possibly vya chuo viwili ver cute, in minutes mwingine anarekebisha tai, mwingine anamkuna kidevu yaani kama babu yao hivi yule mdingi, with my friend wote ladies tuliona aibu balaa, mdingi was ver unconfortable coz tulikuwa tunashamngaa kwa nguvu zote lakini vile vitoto wala burudani! aliondoka navyo sijui walienda wote....
 
Utakuta mzee alienda kupata threesome kama sio four. Wapuuzi kabisa. Lakini naamini wazazi wanachangia. Watu tunajua kuzaa tu tumemaliza. Watoto wanatakiwa malezi ili hata wanapopewa uhuru kama wakiwa vyuoni wasishindwe kuutumia.

Ndo hivyo tena issue ya kuvua pant imerahisishwa sana sijui tunaenda wapi? Tulikaa baa fulani akaja mdingi kama early 50 hivi akakaa kwenye meza vikaja vitoto possibly vya chuo viwili ver cute, in minutes mwingine anarekebisha tai, mwingine anamkuna kidevu yaani kama babu yao hivi yule mdingi, with my friend wote ladies tuliona aibu balaa, mdingi was ver unconfortable coz tulikuwa tunashamngaa kwa nguvu zote lakini vile vitoto wala burudani! aliondoka navyo sijui walienda wote....
 
Hayo mambo yapo kaka, niliwahi kugongewa mlango saa tano usiku na muhudumu akaniambia nimeleta oda yako kutoka receiption tulibishana kidogo baadae nikafungua mlango, Waaaoo lilikuwa kosa! ni rahisi kukimbia majaribu lakini si kuyashinda kaka...
 
Dunia kweli imeharibika. Sisi tulioolewa inabidi tuwaombee sana waume zetu. Kila mahali ni mitego. Tena wakikuona unaendesha gari zuri ndio kila mtu anataka awe anakutania tania ili uingie line. Mi ndo nishasema mtu akileta utani wa kupitiliza kwa Mr. NAMTOA NISHAI LIVE whether wanafanya kazi pamoja au walisoma wote. Lazima niprotect mali zangu.

Mimi mbona nafanya kazi na simtanii mume wa mtu na wala sitaniwi??? Heshima kitu cha bure cheating zinaanziaga humo humo kwenye matani. Nina hasira na hawa vibaka.

Aaah nyumba kubwa punguza hasira bana,unakaba mpaka penati?kweli we ni nyumba kubwa hakuna masihara kwenye utani,ila hivi vinyumba ndogo vibunifu sana vina njia lukuki kuiba inabidi uwe una jiupdate daily vinginevo..........
 
Hayo mambo yapo kaka, niliwahi kugongewa mlango saa tano usiku na muhudumu akaniambia nimeleta oda yako kutoka receiption tulibishana kidogo baadae nikafungua mlango, Waaaoo lilikuwa kosa! ni rahisi kukimbia majaribu lakini si kuyashinda kaka...

Hizo roses ndio zilikuponza mkuu alidhani ni zake
 
Ndo hivyo tena issue ya kuvua pant imerahisishwa sana sijui tunaenda wapi? Tulikaa baa fulani akaja mdingi kama early 50 hivi akakaa kwenye meza vikaja vitoto possibly vya chuo viwili ver cute, in minutes mwingine anarekebisha tai, mwingine anamkuna kidevu yaani kama babu yao hivi yule mdingi, with my friend wote ladies tuliona aibu balaa, mdingi was ver unconfortable coz tulikuwa tunashamngaa kwa nguvu zote lakini vile vitoto wala burudani! aliondoka navyo sijui walienda wote....

Mkuu mario acha tena vident vya chuo ndio balaa zaidi,waolewaji mbona wanakazi ya ziada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom