Wanawake mmekuwaje skuhizi??????????????

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Msinishambulie,naongelea baadhi ya wanawake na vitabia hivi.

Hivi ni utandawazi,maisha magumu,au ni nini?Yani mtu mmejuana siku 2 tu tayari upo tayari aku do?Sio mfano ni kweli imenitokea mimi nimeenda sehemu flani kikazi nilikuwa mgeni eneo hilo nikatafuta lodge nikapata nika ji regester fresh kama kawaida.Sasa kuna kina dada wazuri tu kwa sura figure etc wanahudumia hapo.Asubuhi ya kwanza salamu niliyouliyoambiwa ni pole kwa kulala peke yako na ilitoka kwa one of those girls,nikampotezea tu sikumjibu.Mara kapiga simu yangu nikiwa hapo na kweli ikaita akacheka kaniambia atanitafuta.

Usiku uliofuata nilisumbuliwa sana simu yangu na huyo dada mpaka nikazima simu eti anataka kuja kulala kwangu.Asubuhi yake nilimkuta amenuna balaa mpaka nikahisi sasa hapa naweza kufanyiwa kitu kibaya ikanibidi nihame pale nilipofikia na kwenda another lodge.Huko ilinilazimu niandike namba za uongo.Lakini balaa nahisi bado linanifuata kuna dada mwingine ameng'ang'ania nimpe namba yangu ya simu tena.

Haya mambo mbona hayakuwezo zamani jamani,tatizo ni nini hasa?
 
Alipataje namba yako ya simu ya mkononi??hebu nifafanulie kidogo ndio tuendelee
 
Dah ndugu Mungu awe nawe daima, epuka vishawishi vya namna hii. Mabinti wengi these days wamekuwa so cheap! mdudu wa ngono katawala sana vichwani, ukishindwa kabisa tumia condoms...ni ushauri wangu tu!!
 
Umesema kweli kabisa mtoa mada. Mimi yameshawahi kunikuta kama hayo hayo. I had a friend tulikutana naye kwenye hizi social networks, akaniomba namba nikijua ni mtu serious. Cku moja akaniambia yuko Dar kama vipi tuonane, akaja nikamkaribisha kwangu, jamani huyo mdada alivyovaa niliishiwa nguvu, kufika tuu kawahi kitandani, tumepiga stori kidogo akaniomba CD za movies nikawa nina za nyimbo za dini tuu na movies za kawaida akawa bored. Kidogo akaanza uchokozi, cha msingi zana zilikuwepo na baada ya pale ikabidi nimmwage tuu the same day she daparted. Hovyo Hovyoo kabisa. Utaendaje kwa mtu humfahamu, then the same day unataka akudo? Nilipomwambia ukweli baadaye akaniambia eti alidhani asiponipa sitamuoa. Jamani just in one day? Ajabu
 
hiyo namba ulimpa au uliandika kwenye kitabu cha wageni?

alikwambia shida yake ni nini au ulizima simu tu kwa kuhisi mambo flani/
 
Umesema kweli kabisa mtoa mada. Mimi yameshawahi kunikuta kama hayo hayo. I had a friend tulikutana naye kwenye hizi social networks, akaniomba namba nikijua ni mtu serious. Cku moja akaniambia yuko Dar kama vipi tuonane, akaja nikamkaribisha kwangu, jamani huyo mdada alivyovaa niliishiwa nguvu, kufika tuu kawahi kitandani, tumepiga stori kidogo akaniomba CD za movies nikawa nina za nyimbo za dini tuu na movies za kawaida akawa bored. Kidogo akaanza uchokozi, cha msingi zana zilikuwepo na baada ya pale ikabidi nimmwage tuu the same day she daparted. Hovyo Hovyoo kabisa. Utaendaje kwa mtu humfahamu, then the same day unataka akudo? Nilipomwambia ukweli baadaye akaniambia eti alidhani asiponipa sitamuoa. Jamani just in one day? Ajabu

hii ya kwako ni tofauti na mada hapo juu...huyu wako ulikuwa unawasilina nae..na hapo umetaja neno kuoa maana yake katika mazungumzo yenu umewahi kutaja kitu hiki kwake........mambo mengine mnayajenga wenyewe wakati wa maongezi....na kingine kichokufanya ummwage siku hiyo ni kuwa kulikuwa na picha tofauti ndani ya kichwa chako kuhusu huyu dada..ndio maana alivyokuja tu pale ukaona vitu havimetch ukagaili japo ulimridhisha kwa kumtia kwa ndomu
 
WW Edson, hatujawahi ongea mambo ya marriage hata siku moja, utaongeaje kuoana wakati hata hamjuani wala hamjawahi kuonana? Mii nilijua ni urafiki tuu, ila nilichogundua yule mdada alikuwa na pepo wa ngono. Off course the next day akawa anasema her x-boyfriend alikuwa hajampa for a long time na alipompa tuu ndo aliachika. akadhani aliachwa coz alivyomnyima muda mrefu. But the fact hiyo siyo sababu, mtu kama unampenda hata usipompa bado atakupenda tuuuu.
 
Sio wanawake wengi wenye tabia hiyo nawatetea dada zetu inategemea na mtu alivyo kama ni changu hutegemei
umtokee anaweza kukutokea na pia sio changu tuu kuna ambao wana tamaa binafsi maybe ya hela au tamaa tu
za kufanya hayo mambo sasa inategemea wewe mhusika msimamo wako kama una tamaa lazima utadanganyika
ila kama una msimamo hutaingia kwenye majaribu ALWAYS THINK AFTER KUDO WHAT COMES BUT DONT THINK BEFORE
KUDO WHAT WILL HAPPEN sababu wengi huwa tunajilaumu baada ya kudo sio kabla put it that way sasa.
 
U r a good person endelea hivyo ivyo mke utayemuoa au ambayo unaye she is so lucky ...........amshukuru Mungu siku zote kwa kweli maana sis wakaguzi tunayaona huku mikoani kwa kweli ukimwi hautoisha...........
 
hiyo namba ulimpa au uliandika kwenye kitabu cha wageni?alikwambia shida yake ni nini au ulizima simu tu kwa kuhisi mambo flani/
Lodge ya kwanza niliandika namba yangu but hiyo ya pili sikuandika namba yangu mkuu
 
Sio wanawake wengi wenye tabia hiyo nawatetea dada zetu inategemea na mtu alivyo kama ni changu hutegemei
umtokee anaweza kukutokea na pia sio changu tuu kuna ambao wana tamaa binafsi maybe ya hela au tamaa tu
za kufanya hayo mambo sasa inategemea wewe mhusika msimamo wako kama una tamaa lazima utadanganyika
ila kama una msimamo hutaingia kwenye majaribu ALWAYS THINK AFTER KUDO WHAT COMES BUT DONT THINK BEFORE
KUDO WHAT WILL HAPPEN sababu wengi huwa tunajilaumu baada ya kudo sio kabla put it that way sasa.

Shoshte unafikiri ni machangu tu,mtu usimwangalie kwa macho tu nimeshakubwa na mikasa mingi mwingine hata huwezi kumdhania mpaka nahisi labda kuna kitu huwa nakifanya bila kuelewa kinawavutia hawa watu.
 
U r a good person endelea hivyo ivyo mke utayemuoa au ambayo unaye she is so lucky ...........amshukuru Mungu siku zote kwa kweli maana sis wakaguzi tunayaona huku mikoani kwa kweli ukimwi hautoisha...........
Evelyn acha wachina ni balaa mhh! Unaonaga nini huko tuambie bwana labda itatusaidia na sisi
 
Bro charger sio wote wanaofanya hivyo wanataka penzi la hasha, wengine wapo kikazi zaidi sa we ungekubali tu ungeshangaa kukuta wallet iko empty kama si kudisappear kabisa!! Alaf usijidanganye hata siku moja ukamdharau mwanamke uliekutana nae kwa siku 1 akakubali u-do nae, ukamuona ye ndo mjinga pasipo kujiangalia wewe kwanza pengine we ndo utakae okotwa!! Tunapaswa wote tuchukue tahadhali na si kuquestion upande mmoja tu.
 
orait orait huyo dada nae kimeo jamani lol ..pole ..
kila siku mambo yanaendelea kuwa mabaya tu..
Go confidently in the direction of your dreams.
Live the life you have imagined.....hahaha haa hii iko poa
 
Kama ilikuwa Lodge (na ni kina dada ninaowajua mimi....) basi siku mbili ni nyingi sana zamani ilikuwa ukifika tu Lodge sekunde mnakubaliana, ingekuwa mmekutana kanisani ningeshangaa, na hizo lodge unazoenda mkuu....!!!!!!
 
Bro charger sio wote wanaofanya hivyo wanataka penzi la hasha, wengine wapo kikazi zaidi sa we ungekubali tu ungeshangaa kukuta wallet iko empty kama si kudisappear kabisa!! Alaf usijidanganye hata siku moja ukamdharau mwanamke uliekutana nae kwa siku 1 akakubali u-do nae, ukamuona ye ndo mjinga pasipo kujiangalia wewe kwanza pengine we ndo utakae okotwa!! Tunapaswa wote tuchukue tahadhali na si kuquestion upande mmoja tu.

Kipipi umeongea kweli hapa bwana lazima kuangalia pande zote mbili,kuna jamaa mmoja namfahamu nilishawahi kupost stori yake hapa yeye nae alistukia deal kachukua mzigo machale yakamcheza akasogeza kitanda mlangoni but haikusaidia alikuwa almost amelizwa ni mungu tu alimsaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom