Wanawake mkoje nyie? Mnataka mpendwe kwa namna ipi?

Peter Rabachi

Member
Nov 11, 2011
9
3
Tabia hii inistaajabishwa kwa wanawake, wanataka kudanganywa na kuingizwa mjini.
Mwanaume akikupenda wala hana nia ya kukutongoza wala kutaka mchezo mchafu
mbio kumfukiria mambo mabaya. Hivi mnaona kama wanaume wote ni wakuchezea mwanamke. Punguzeni maringo sio wote tuna tabia chafu.
 
430247_317365724994594_157077341023434_910030_50552294_n.jpg
 
Tabia hii inistaajabishwa kwa wanawake, wanataka kudanganywa na kuingizwa mjini.
Mwanaume akikupenda wala hana nia ya kukutongoza wala kutaka mchezo mchafu
mbio kumfukiria mambo mabaya. Hivi mnaona kama wanaume wote ni wakuchezea mwanamke. Punguzeni maringo sio wote tuna tabia chafu.

Atajuaje kama wewe huna tabia chafu WAKATI wanaume karibia wote wana tabia chafu
 
Tabia hii inistaajabishwa kwa wanawake, wanataka kudanganywa na kuingizwa mjini.
Mwanaume akikupenda wala hana nia ya kukutongoza wala kutaka mchezo mchafu
mbio kumfukiria mambo mabaya. Hivi mnaona kama wanaume wote ni wakuchezea mwanamke. Punguzeni maringo sio wote tuna tabia chafu.

PR kama hakuamini na hakupendi, mtafutie limbwata atakupenda na kukuamini kupita kiasi, yani hata ukimwambia 1+1=11 atakubali!
 
Mkuu wengi sana wako hivyo, yaani unamfuata for real kwa hiyo hamna mambo ya acting wala nini, hamna kubembeleza kupita kiasi, kulia machozi ya uwongo ila kumweleza ukweli tu, lakini unashangaa demu anakataa ila akija player akatoa machozi, sms 50 kila siku, vijizawadi vya ajabu na vitu vingine vingi vya uwongo uwongo na vya kinafiki anakubalia. Kwa sababu badala ya kufanya reasoning kutoa uamuzi yeye anaangalia hisia zake zaidi. Ukifika muda akajitambua na kuanza kufanya reasoning mara nyingi anakuwa ameshachuja machoni pa wengi na kwako, hana tena options nyingi na tayari anakuwa already wasted by players na yeye kuanza kujipendekeza upya.
 
Wanawake wote, I mean all of them ukiwaambia ukweli inakula kwako. kama wewe ni tajiri mwambie masiki and vice versa, kama umeoa mwambia hujaoa and vice versa, maana ndivyo walivyoumbwa. Ukweli unakuja baada ya kumchakachua, na inabidi akubali tu.
 
" Kweli mkuu ukiingia na gia ya nina nyumba 5 boko then nina mpango wa kujenga shule, na ile land rover yangu 109 pale home nina mpango wa kuifufua itakula kwako mkuu, we ingia na gia kubwa tu mi nitakuoa then reception itafanyika mars yani hapo inaanza kuvuka yenyewe nguo ya kwanza kualiwa na mwisho kuvuliwa we acha tu, ile kitu sio mchezo.
 
kwa mtindo huu wanaume mtalizwa sana kwa kudaganywa kwa sababu mmezoea kudanganya kwa upande wangu nimepevuka enough kumjua who is a real man.mwanaume akija kwangu ooh sijui nina magari nina nyumba unajifagi nakupiga out and a real woman doesn't care material things.wanaume badilikeni huo mtindo wenu wa kutongoza mnaodanganyana humu umepitwa na wakati na hau apply kwa wanawake wote kuweni makini ndo maana mwenzenu analialia humu kakataliwa haiwezekani kukubaliwa kila umtakapo mtu hata kama ana mwenza halafu baadaye umwite kicheche
 
Kaoge maji ya baharini yani umekataliwa na demu kweli,haaa aiseee una gundu la kufa kaoge maji ya baharini fastaaaaa!!
 
Baadhi yao ukiwaambia ukweli wanadhani ni uongo na wengi wao ukiwaambia uongo wanadhani ndio ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom