Wanawake mbona mnamikasa sana kwenye mapenzi hamridhiki?

profesa.n.

Member
Apr 23, 2012
84
58
Mm nimezunguka nikichunguza kwakina nikagundua wanawake hawana utukabisa coz wapo kisalari,mm mwenyewe girlfriend wangu kasepa na alikua mvivu kitandani,sasa ninaona nimeondokewa na mzigo mm,nimeshukuru kwa kweli. Toeni wawazo yenu wanajamii.
 
useless profesa! huyo girlfriend wako ndiyo imekuwa wanawake wote??!!
 
Mshenga rutashobolwa mzima?nimewamiss Erickb52 kapotele wapi mpe hi?haya kijana hataki kuhudumia mpe somo
 
Duuuh! Muda mwingine sisi ndio tuna jiletea matatizo mtu unaona kabisa huyo bila kuwa na pesa simpati, unatumia pesa unampata akianza kuomba pesa tunalia

Hata hivyo mapenzi na pesa yanakwenda sambaba hili tuweze kutimiza majukumu kwa wenza wetu, pesa itasaidia msichana wako kupendeza kwani hakuna mtu anayependa awe namsichana asiye nadhifu.

Aisee pesa ni muhimu kwenye mapenzi.
Muda mwingine gia zetu zinatuponza, sasa kama tunaingia na gia ya kuhonga tunategemea nini wakati unajua pesa ni tamu.

Kwa swala la kitandani.
Sijui umemsaidieje kuondokana na hilo tatizo.

Hivi unajua hakuna aliyezaliwa anajua mapenzi lakini tuna funzana.
Pengine kuwa mvivu kitandani inaweza kuwa sababu ya kumuacha lakini umeshindwa kujiuliza unaweza kukutana na mwanamke mwingine mwenye tatizo kama hilo,je utafanya nini?
 
Lutashobolo,nime mfundisha mpaka nimechoka,sasa anaonekana hajawai kucheza hata mziki udogo wake kozi kiuno kigumu sana.
 
ruttashobolwa umenena vyema...........

Na wanaume mnasahau penzi hujengwa toka mnatongozana na jinsi mtakavyolijenga ndivyo litakavyokuwa......

La sivyo kaka zetu mtaishia na sizitaki mbichi hizi nyiiiiingi
 
Last edited by a moderator:
bwana wewe unatia kichefuchefu na habari yako,kwa salari gani mkia wa mbuzi,kama anataka mshara wako ni yeye sio wote tulivyo,huyo ulomchukua muogea mbuni mwenzio sio wote na jua kutafautisha......na wewe si mwanamme vile vile
mwanamme haongei upuuzi huo....
 
Mm nimezunguka nikichunguza kwakina nikagundua wanawake hawana utukabisa coz wapo kisalari,mm mwenyewe girlfriend wangu kasepa na alikua mvivu kitandani,sasa ninaona nimeondokewa na mzigo mm,nimeshukuru kwa kweli. Toeni wawazo yenu wanajamii.

Kuhudumia si tatizo mzee, ni wajibu wako hususan kama huyo mtu tayari mna uhusiano wa muda mrefu. Cha kulalamika tena siyo kulalamika, labda kitu cha kukitafutia ufumbuzi ni hiko cha uvivu wa kitandani. Nafikiri Bwn mdogo kilichokuwa kinakukera ni kumhudumia mtu wakati mtu mwenyewe ndo vile hashughuliki ipasavyo na hivyo ondoka yake kwako ukaitafsiri kama ahueni.
 
Lutashobolo,nime mfundisha mpaka nimechoka,sasa anaonekana hajawai kucheza hata mziki udogo wake kozi kiuno kigumu sana.

Kama hauna vitendea kazi hata darasani mwanafunzi hakuelewi.Inaonekana wewe ni mbahili ndo maana amesepa.Bila vivutio hata watalii hupati.Yaani mtoto wa watu kazoea raha halafu wewe unataka umpe shida?
 
Kaka hamna kitu cha bure duniani hata hii O2 tunayotumia ni mabadilishano na mimea tukiondoa mimea tu utaona kazi sasa hapo kenye hela usiogope kulipa bili ndio uanaume kaka .tunachozidiana ni kwamba una demu saizi gani we saizi yako demu wa buku tano kwa siku unataka wa laki shida kubwa
 
Lutashobolo,nime mfundisha mpaka nimechoka,sasa anaonekana hajawai kucheza hata mziki udogo wake kozi kiuno kigumu sana.

wewe kiuno chako laini? Au unadhani kukata kiuno ni jukumu la mwanamke? It seems hata wewe mapenzi hujui... Halafu umeumia sijui alikumwaga huyo binti? Maana umejaa 'sizitaki mbichi hizi' teeeeele
 
Mm nimezunguka nikichunguza kwakina nikagundua wanawake hawana utukabisa coz wapo kisalari,mm mwenyewe girlfriend wangu kasepa na alikua mvivu kitandani,sasa ninaona nimeondokewa na mzigo mm,nimeshukuru kwa kweli. Toeni wawazo yenu wanajamii.

Kama, hawaridhishwi wataridhikaje???? inawezekana wewe ndo chanzo cha uvivu wa huyo mwanamke wako, upojichunguza na kujirekebisha mwingine pia atakumwaga. Pole!
 
Mm nimezunguka nikichunguza kwakina nikagundua wanawake hawana utukabisa coz wapo kisalari,mm mwenyewe girlfriend wangu kasepa na alikua mvivu kitandani,sasa ninaona nimeondokewa na mzigo mm,nimeshukuru kwa kweli. Toeni wawazo yenu wanajamii.

Usione vyaelea ujue vimeundwa! Kumbe kanuni unazijua eeeeeh! Tumia tu formula kusolve the equation on the board
 
Mm nimezunguka nikichunguza kwakina nikagundua wanawake hawana utukabisa coz wapo kisalari,mm mwenyewe girlfriend wangu kasepa na alikua mvivu kitandani,sasa ninaona nimeondokewa na mzigo mm,nimeshukuru kwa kweli. Toeni wawazo yenu wanajamii.[/QUOTE

Hayo ni maneno ya mkosaji, yale yale ya sungura mjanja, "Sizitaki mbichi hizi" au ya katibu mwenezi wa chama fulani eti "hao wanaokimbia chama chetu ni oil chafu"
 
Back
Top Bottom