Wanawake mambo bwana.!

Cremo joe joe

Member
Jun 5, 2011
53
7
Mapenz yanataka elimu but si wote wanaojielimisha na elimu hyo ya kuwafanya wenza wao wajione bora kwao.
Kushindwa kuipata elimu hii tumejikuta 2kitumia majivuno na kuendesha love pasipo maana. Wanawake wanapenda.
KUSIKILIZWA-wanawake wengi hutegemea wanapokuwa na wenzi wao watasaidiwa ktk matizo na migogoro ya kimaisha, kama ushaur,kulindwa,kusaidiwa na kuongozwa pale wanaposhindwa.
KUBEMBELEZWA-maneno matam hapa ni mahala pake yafaa kumsikiliza na kufaham nin chanzo cha huzun kwa mpenz kwa kumuliwaza kwa lugha mama, baby,hny,jaman unaumwa mamang, mbna usemi leo baby nn tatzo mpenz wang. Aim ya kube in lov iz 2 tamed faraja,aman na malez ya moyo.
AJIONE WA PEKEE-love journey aifik tamat kumpata mbeibe bt ndo unatakiwa kuanza upya kukata tket hyo. Kila mdada anaitaj kuwa #1 kwa mwenz wake na awapend kuitwa majina mabaya au kulinganishwa na wanawake wabaya.
 
Back
Top Bottom