Wanawake malaya

Huo umalaya mbele ya kadamnasi anaufanyaje pekeake?
Kama anafanya na mtu huyo nae tunamwitaje?
Suala la umalaya huwezi kumuhukumu mtu mmoja ukamwacha mwingine.
Au mnapenda tu kusema wanawake?
Muwe mnatafakari kabla ya kusema.
Wanaume waache tamaa,
wanawake waache tamaa na
TUHESHIMIANE.



maneno kuntu haya!
 
Awali ya yote napenda ujue tafsiri ya neno "malaya" au "uzinzi"

Ki-biblia, neno "Uzinzi" lina maana ......


KUTAMANI MTU ASIYE MUME/MKE WAKO.
Mathayo 5:27-28 inasema "Mmesikia kwamba imenenwa, usizini; lakini mimi nawaambia, kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake".

Kwa sisi waislam ambao ni minority humu jf nadhani tunafahamu nini Quraan inazungumzia kuhusu uzinzi/zinaa.

“…......... Na mmehalalishiwa (kuoa wanawake) mighairi ya hawa.
Muwatafute kwa mali zenu, kwa kuwaoa bila ya kufanya
zinaa….......” (4:24).
"Wala msiikurubie zinaa hakika hiyo ni uchafu na njia mbaya kabisa". Qur. 17:32.

“… Na (mmehalalishiwa kuwaoa) wanawake wema wa Kiislamu na
wanawake wema katika wale waliopewa kitabu kabla yenu. (Ni
halali kuwaoa) mtakapowapa mahari yao mkafanya nao ndoa bila
ya kufanya uzinzi wala kuwaweka vimada….” (5:5)



Sasa mleta mada utachambua mwenyewe hivyo vifungu na hoja zao kisha utueleze wewe unaona huo umalaya ni au mtu malaya ni yupi ilhal kwenye maelezo yako yamejitosheleza.


GT indid.
 
mpolee inaelekea hii dhambi ya zinaa unayoifanya inakutesa sasa unataka kuangalia kama na wasichana wenzio wanafanya? ili upunguze machungu uone ni jambo la kawaida kumbe na wengine wanafanya pia
kwa ushauri seriasly
personaly kwa age ya miaka chini ya 20 msichana kuanza zinaa sio jambo jema kabisa.
by that age upo shule ,wala huwezi kuwa na mahusiano ya ukweli ndo ivo tu unapalilia pepo la umalaya katika usichana wako
mimi smile naapa chini ya mbingu nimeanza zinaa juzi tu chuo mwaka wa mwisho na yakanishinda vilevile,wala sikuona faida zaidi ya machungu.kiukweli sidhani kama kuna faida katika kubadilisha wanaume ovyo.hata kama ashiki imekuzidi.kuna mbinu mbadala.
kuwa na mahusiano sio lazima usex.sex sio maisha.utatembea na wangapi wewe.? tuliza mwili wako mtoto.just imagin unalal;a na watu hata hawakupendi wanakubinua mara huku mara kule kisa?
craaaap
my body is not reachable to fek item
craaaaaaaaaaap


hiv kwa nn wote hapa mwajfanya ma bikra? Kwa nn kkbal kwang kua i sex nionkane natenda dhamb hali wote twafanya?
 
kwa mtizamo wangu,

mwanamke malaya ni mwanamke yeyote yule ambaye anafanya yafuatayo-
1. anaishi na boyfriend;
2. ana mwanaume/wanaume nje ya ndoa yake alioyoifunga kimila/kiserikali/kidini
3.anauza mwili wake kwa wanaume


sante.
 
Sasa hivi vigezo vyenye sura mbili ni vigumu sana. Kwa mwanamke anapaswa kujitunza, mwanaume anatakiwa kujifunza. Sasa anajifunzia wapi? Mwanamke anaweza kuhimili, mwanaume hawezi hata kukaa hata.... Umalaya na Uhuni ni mkanganyiko wa fikra zinazojegwa na jamii husika. Ila kisisitiza wanawake ndio malaya, yawezekana ni mawazo mgando, yanayoshidwa kupembua vigezo kandamizi dhidi ya jinsia mbili tofauti. Pili, tafsiri ya ngono inajipa maana kati ya mtendaji na jamii yake - haswa mwili unapotumika kupata faida ama kipato kutumia mwili na akili ikiwa na utambuzi wa nguvu ya mwili wa mwanamke na hivyo kuutumia kwa malengo. Umalaya sio bure, ama sivyo ungeitwa mteremko ama bonde - kicheche na mengine. Sasa, jitafsiri kwanza wewe halafu utaelewa nini maana ya umalaya.


had nimeskia kiu.
 
wanawake wengi kukubali kufanya uasherati na wanaume kabla ya kuolewa pia imesababisha umalaya na kuwakosesha kuolewa

ndoa zimekuwa adimu kwasababu
-mahusiano ya boyfriend/girlfriend, kama mtu anapata anachotaka na kwa wakati anaotaka kwanini ahangaike kukuoa;
-fikiria mtu hajakuoa, anakuita ukalale kwake/ukamfulie nguo au ukampikie na wewe unaenda kufanya haya, je unadhani atakuoa mapema, ndio maana wengine wamekaa katika uasherati zaidi ya miaka 7 akidai bado anampima, anakupima nini, kwani ww ni kisima cha maji/maji

wanawake amkeni acheni ulimbukeni



tunaonekana tumelala?
 
Lol! Huyu mpwa huyu anawezana na AshaDii tu, kha!
GP, sio wanawake wote tuna historia kama yako. Kubali ama ukatae, urs is a unique story na pengine unahitaji ushauri nasaha usije ukawaambia akili hiyo wanao manake dhambi inarithiwa ceteris paribus...



i lav Ashadii
 
Kwa ufahamu wangu mimi malaya ni mtu ambaye anafanya biashara ya kuuza mwili wake kwa lengo la kujipatia kipato
 
hiv kwa nn wote hapa mwajfanya ma bikra? Kwa nn kkbal kwang kua i sex nionkane natenda dhamb hali wote twafanya?

Mnafanya nyinyi,hakuna aliekubishia.
Hunijui,sikujui wala sina nachoogopa kwako hadi "nijifanye" bikira.
Unajuaje labda mimi halisi ni mwanaume au mama wa watoto wengi tu?
Hakuna anaekuogopa hapa as long hatujuani.
Unaambiwa ukweli tu binti.
USI GENERALIZE...
Sio kila mwanamke malaya kama unavyolazimisha kuamini.
 
Nitatoa hoja bonafsi iende Bungeni UMALAYA IWE KAZI HALALI YA KUJIPATIA KIPATO NA WALIPE KODI,
Germany na nchi kadhaa Europe ufuska is legalized, na kiwango cha tax inategemeana na hali ya kahaba sasa akiwa anajouza rasmi haitwi kahaba anaitwa MHUDUMU WA PRIVATE, kupunguza ukali wa lugha
So hii biashara kubwa sana we can legalize it.... Tena Bi Kidude ni speaker ataipitisha haraka maana yy hana mume ili kuwakomoa WANAWAKE WANAO ENJOY dudu...
Naomba katika hiyo hoja yako binafsi upendekeze pia wa-legalize wanaume kufanya hiyo biashara na walipe kodi. Maana wanaume wengi tu wana tabia kama pampu ya kujazia mafuta ya BP, wakichomoa humu wanachomeka mle!
 
Awe mwanaume, ama mwanamke, yeyote afanyae uz-inzi hata kwa mawazo, kwa maneno, au kwa matendo, hata mara moja, na sio kwa kubakwa, ni malaya.....! ieleweke kuwa sio lazima kuzini na mtu mwingine, bali hata waweza kuzini na nafsi yako....! Nayo ni umalaya....! Lakini hata kukesha usiku na mchana ukifanya ngono na mwenzi wako aliye halalishwa kimila, au kiserikali au kidini, sio umalaya, iwapo ngono hiyo inafanywa kwa viuongo halali, na wahusika hao ni wa jinsia mbili tofauti; yaani mwanaume na mwanamke....! Zaidi ya hapo ni laana...!
 
Now.... Now...... Lts be rationale. Hili ni jambo muhimu ambalo lina hitaji kujadiliwa rationaly bila ya kutusiana. By Deffinition kwenye Oxford Dictionary a PROSTITUTE is
A person typically a woman who engages in sex for payment.
Sidhani kama nyie madada mna engage kwenye a many fighting over ctivities kama hizi. I have come accross many fighting over nothing.

Present situation calls for a new deffinition. A girl or woman living with a man willingly and loving it even without a marriage certificate is a fair game. A woman loving a man and consenting for sex, without any material gain is a fair game. A woman advertising for sex willingly but for a payment is a protitute.
Mwili ni wako. Kama huko commited to love any man then you can sleep with any man ecxept Baba, kaka na wale ambao utavuka mipaka ya ubinadamu
I may be wrong lakini tuache kulumbana, italeta uhasama.
 
Back
Top Bottom