Wanawake malaya

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
572
206
Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua umetembea na wanaume km 50 hivi?

Hivi mwanamke anaejiuza na ni 1st class hooker aka anatembea na watu wakubwa tu na kulipwa pesa kwa $ na kufanya maendeleo na yule ambae kila wk ana boyfriend mpya, kila wanaume wakimmega wanamtelekeza yupi bora?

Nataka nijue mwanamke malaya ana vigezo gani?

Golden Mpoleee.
 
Hakuna malaya wa kike wala wa kiume, yote ni human nature na growing technology. Kama muumini fuata maandiko yanasemaje kama unaweza, kinyume cha hapo malaya. Kwa tusioamini mambo ya maandiko hatuoni malaya yupi na yupi si malaya wote ni watu anamegwa, tunamega.
 
umesomeka!
 
Umesema tumekua malaya bila kujijua..
HALAFU
unataka vigezo vya mwanamke malaya

kama ulishakua malaya naamini jibu unalijua.
 
Neno umalaya lina maana nyingi,kuna wale wanaofanya mapenzi kwa ajili ya kujipatia kipato na kuna wale ambao yeye si kwa ajili ya pesa bali anapenda kubadili wanaume kila mara hawa nijuavyo mimi ndio huitwa malaya..

Ila kwa sisi wanaume ukiwa hivyo mara nyingi huitwi malaya bali ni mhuni,sharp,kiwembe nk,usiniulize kwanini.
 
Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua umetembea na wanaume km 50 hivi? hivi mwanamke anaejiuza na ni 1st class hooker aka anatembea na watu wakubwa tu na kulipwa pesa kwa $ na kufanya maendeleo na yule ambae kila wk ana boyfriend mpya, kila wanaume wakimmega wanamtelekeza yupi bora? nataka nijue mwanamke malaya ana vigezo gani?

MALAYA maana yake nini kwa unavyo elewe wewe?
 
Neno umalaya lina maana nyingi,kuna wale wanaofanya mapenzi kwa ajili ya kujipatia kipato na kuna wale ambao yeye si kwa ajili ya pesa bali anapenda kubadili wanaume kila mara hawa nijuavyo mimi ndio huitwa malaya..

Ila kwa sisi wanaume ukiwa hivyo mara nyingi huitwi malaya bali ni mhuni,sharp,kiwembe nk,usiniulize kwanini.

Kaka hapo utawajengea hoja ya kuwatumbukiza wanaume kwenye huu mjadala wacha waelewane wenyewe.
Wajadiliane ndani ya mada mpaka wafikie valid conclusion.
 
kweli mpolee ulianza uchakachuzi wa k yako mapema
mimi nimeanza juzijuzi tu
ila kuna msemo niliusikia mahali eti mwanamke hadi kufikia kuolewa/kupata maendeleo lazima apitie uma...........ya
 
kweli mpolee ulianza uchakachuzi wa k yako mapema
mimi nimeanza juzijuzi tu
ila kuna msemo niliusikia mahali eti mwanamke hadi kufikia kuolewa/kupata maendeleo lazima apitie uma...........ya
huku niliko ingia leo!!!!sijui kama nitatoka kama nilivyo ingia!!!acheni kuchafua hali ya hewa jamani!!!
 
Back
Top Bottom