Wanawake LIVE EATV na DOWANS

thats great, naomba mtujuze mambo yameendaje na msimamo wa hawa biwakubwa wetu upoje?
 
Nimeamini kuwa kuna wanawake vichwa,serious wabunge viti maalum chadema wanaonyesha ni kwa kiasi gani wanastahili.
sio siri ccm viti maalum wanapeana kama zawadi tu.

Wadau nisaidieni "NI KWA NAMNA GANI GETRUD RWAKATARE ANASTAHILI KUWA KATIKA VITI MAALUM MJENGONI"
 
Nimeamini kuwa kuna wanawake vichwa,serious wabunge viti maalum chadema wanaonyesha ni kwa kiasi gani wanastahili.
sio siri ccm viti maalum wanapeana kama zawadi tu.

Wadau nisaidieni "NI KWA NAMNA GANI GETRUD RWAKATARE ANASTAHILI KUWA KATIKA VITI MAALUM MJENGONI"

Jibu la swali lako ungepata kama ungesikiliza mada ya Jenerali Ulimwengu wakati wa mchango wake kuhusu katiba pale chuoni. Jamaa hachikumumunya wala hachikumeza bali chilitema na safari hii chile jamaa chenye nchale chimeingia mitini.
 
Hongera Regia! big up! Ingawa nimechoka na habari za Dowans, zinakera masikioni.
 
Kweli DOWANS imekuwa DOWANS maana hadi imewafanya watanzania wasahau kama kuna mgao wa umeme CCM are just playing their cards hope mwisho wa siku hawatakuja kulamba JOKER
 
MBINU MPYA CCM KUJILIPA MARA 3 SHEA WANAYOISUBIRIA DOWANS KWA KUWAUZIA WANANCHI JOTO JINGI NA GIZA NENE KWA MAVUNO MANONO ZAIDI KARIAKOO:

Jamani zaidi ya mara tatu ya hilo deni geresha CCM wameshaikusanya kwa kuleta mbinu chafu hiyo hapo ya kukata umeme. Kama huamini hili hebu waulize wanamahesabu watakuambia.

Wanachokifanya CCM kwa kuzima umeme masaa mengi ni kwamba wanaenda kwa wahindi Kariakoo kila jioni kukusanya kitenesi chao kwa kutoa mwanya wa kuuza zaidi mi-jenereta feki za kichina kwa bei za juu ajabu.

Katika hii mbinu mpya ni kwamba CCM inaokoa garama ya kuendesha mitambo kibao ya umeme inayotumia mafuta / diesel lakini bado wanapata faida mara tatu zaidi kwa mkondo mwingine wa biashara haramu kwa kuwauzia tu wananchi giza na joto jingi.

Sie huku wana-Mafinga, aaka ni giza tu jeto tunalisikia tu redioni. Wananchi tukomeshe hii biashara haramu ya CCM kutuchuuzia giza na joto kali kwa mavuno manono kuliko ya Dowans kule Kariakoo.
 
Back
Top Bottom