wanawake kuwanyima unyumba waume zao kama adhabu ni sahihi?

Iron Lady

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
4,071
1,363
wana jamvi,
nimekuwa nikisikia kwa wanawake wenzangu kuwa mara wakorofishanapo na waume zao huwanyima unyumba kwa wiki nzima ama siku kadhaa kama kuwaadhibu, na kujitapa kuwa bila kufanya hivyo basi hawabadiliki na hawahisi kuwa wanaadhabu nyingine itakayowaumiza waume zao hao kama hiyo,
ugomvi umekwisha na mmeyamaliza ila kuna mgomo baridi wa kutoa unyumba kwa mume,
swali je hii ni adhabu sahihi? na je ni haki kumnyima mwenzio unyumba kwa siku kadhaa kama sehemu ya adhabu hata kwa makosa na makoroshano ya kawaida sana?
 
Siyo adhabu sahihi. Huwezi kufanya sex na mtu hasemi, amenuna etc. Haya mambo ya sex yanafanyika kama roho inapenda na mapendo yapo. sasa kama umekorofishana moyo wa kufanya hivyo utatoka wapi?
 
Sio sahihi coz kufanya hivyo kutazua tatizo lingine "kusalitiwa"utamlaumu nani sasa??
 
Kwa hiyo ni sahihi kwa kauli yako!
 
unajua kusudi la adhabu ni kumfanya yule aelewe kuwa alichofanya sio kizuri na kuwa kisirudiwe tena.....pia adhabu inatakiwa ilingane na kosa plus 10%. hivyo basi kunyima unyumba ni moja wapo ya adhabu na kama kweli kumyima inamfanya asirudie hilo kosa basi ni adhabu sahihi
 
Ngoja nikwambie wanaume tulivyo. Wakati wewe unabana miguu, wenzio nje wanaifungua kama wana mashindano vile. Unamtia majaribuni mwenzako. Mbona kama voda fasta tu, atakwenda nje. Atalokuletea unalijua?
I like to call it lovemaking instead of sex, isiwe kama ni zawadi fulani. Akifanya vema unampa . Akikuudhi unabana miguu.
 
matokeo yake ni kumsababisha mwanamke kutoka nje ya ndoa, na kwa nini umuadhibu mkeo?njia nzuri ya kuondoa tofauti ni mazungumzo na si adhabu ya kunyimana unyumba
 
Kugombana tugombane na adhabu tupeane lakini si ya kunyimana vilivyotutoa kwa baba na mama, hata nikimfumania huko ntasubiri akimaliza ntamshika mkono na kuondoka naye home, huko ntampa kila haki yake na siku ya pili harudii kukosea.
 
Sio sahihi kwa sababu inachochea infidelity...usitegemee ukimnyima unyumba atavumilia!
 
Hivi kumbe kunyimwa unyumba huwa ni adhabu? Sisi wengine mwanamama akishanuna akakunja uso mpaka mdomo ukakaribia pua hata hiyo hamu ya ngono yenyewe inakuwa haipo. Ngono inanoga kama mhusika ana smile wakati wa shughuli ati.
 
Back
Top Bottom