mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,966
Wadau Salam,
Kuna msemo wa zamani japo sio wa kistaarabu kidogo(Ashakum si matusi) kwamba zamani ukimtaka mwanamke,ilikuwepo kazi kuitafuta nguo ya ndani(chupi) na ilikuwa vigumu mpaka kuliona ****ko.Msemo huu ulilenga kudhihirisha kuwa wanawake walijua kujistri kwa kiasi kikubwa.Tukubaliane kwa jambo moja kubwa kuwa kwa wale waliosoma biolojia wanajua hisia jinsi zinavyofanya kazi mwilini(Coordination and Response).Ukijiwekea utaratibu wa kula wali kila siku,itafikia hatua wali huo utakuwa si lolote,ukijiwekea utaratibu wa kwamba ifikapo saa fulani ntafanya kitu fulani,yatakuwa ni mazoea na utakuwa ni utaratibu wa kawaida tu.
Sasa kurudi kwenye mada,tuambiane ukweli ni wanaume wangapi ambao ni wavumilivu wanapowaona wanawake au wasichana wamevaa vichupi?,wengine ushindwa kujizuia na kukuta wanalowa suruali.Mvuto wa hisia kwa mtazamo wangu na ndio ukweli wenyewe hauko kwenye consumation(love making) tu.Ndo maana watu wanavutiwa na ******ko makubwa,maziwa madogo n.k.Vitu hivi ni muhimu katika kuleta mshawasho wa mapenzi,ndio maana linakuja suala la mwanamke kujisetri ili kutoamsha tamaa za ajabu.Umeamka asubuhi umepanda daladala unashuhudia chupi ya mwanamke,umeshikilia bomba na mdada kifua kiko wazi,mdada anashuka suruali limeshuka usawa wa magoti,si kifua,si mgogo,si *****ko,si kiuno na wala si matiti wala tumbo kisichoonekana.Umerudi nyumbani uko na mwanao au dadako kwenye kochi amevaaa siketi fupi kabisa,mkeo pia vilevile.Mazoea haya ya kuona vitu hivi kila siku hayawezi hata kujenga taswira ya muwasho,hamu,mhemko wala hisia kali(deep feeling).
Kinachotokea ni kwamba,kwa sababu ya kuona vitu hivyo kila wakati na kila saa,wakati mwingine ubongo hujiambia,haya ni mambo ya kawaida,hamna catalyst yenye kukupa msahawasho wa kuona jambo jipya,kila kitu ni kilekile.Kumbuka kama wewe ni mlaji wa ugali kila siku na labda umejipangia kula kilo moja kila siku,haiwezekani ukamantain kiasi kilekile,utakula kilo moja leo,kesho robo tatu,kesho kutwa nusu na mtondogoo utaishia kula robo.Kwa jinsi hata katika mapenzi kujituma hupungua hakuna jipya...........Tafakari!!!!!!!!!