pauline
JF-Expert Member
- Dec 26, 2010
- 650
- 140
Nimekulia ktk suburbs za Ubungo,na naelewa majukumu ya nyumbani kama MWANAMKE yanavyochosha....nakumbuka 6.45 asubuhi tuko kisimani tunachota maji,lazima urudie ndoo kadhaa kujaza pipa!ufagie uwanja wa nje,upige deki nyumba utengeneze breakfast....nk
..........ukiwa na mtoto means majukumu yanaongezeka!....kumuangalia mtoto24/7 kufua, kupika at the end of the day...mwili unakuwa umechoka na hupati nafasi tena ya kujiangalia mwenyewe kimavazi na nywele ili mumeo akija akukute umependeza!ainkiller:ainkiller::target:.............cha kushangaza hapo ndipo wanaume wanatafuta nyumba ndogo kwa kisingizio kuwa wake zao wamepoteza mvuto,hawajipendi tena.....kwa muda tumekuwa tukinyooshewa vidole kuwa ni makosa yetu wao kutoka nje!!!!..........Jamani inauma mumeo kutoka nje...ila kuambiwa ni wewe umesababisha INAUMA ZAIDI!
.........i understand mnakuwa mmechoka mnaporudi nyumbani,ila jaribu kumsaidia mkeo uone km hatakupa attention?kwa mfano ukifika na kumkuta hajaoga,ukifika mchukue mtoto kutoka kwake umbembeleze ,mwambie wkt unabembeleza mtoto aende kuoga....uone kama hatatoka amevutia??LOLS...........au umkute anapika unamsaidia kukata vitunguu....ukakaa hapo jikoni mpk anamaliza kupika..................sie wanawake ni watu wa hisia zaidi unaweza ukawa unafanya vitu vidogo saana ila ukawa unasend ujumbe kuwa UNATUJALI...at the end of the day,lazima utapata attention unayotaka tu!........na sie wanawake ifike mahali tu-swallow pride zetu tukubali sometimes tunachoka!!!hivyo mtu(mwanaume) akijitolea kutusaidia tukubali!!!!......................
kwa wakaka km hupati ATTENTION kutoka kwa mkeo....solusheni sio kutafuta nyumba ndogo!,solusheni ni ku-DO SOMETHING....kuhakikisha unapata hio attention...........tulieni tulee watoto....dawa ya ukimwi bado haijapatikana besides all that progress....hivyo tusiongeze mayatima duniani kwa mambo ambayo tungeweza kuyazuia!!!
HAPPY NEW YEAR!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KM HAMTANIELEWA AM VERE SOREEEEEEE LEO NAKUNYWA KWA FUJO! 2010 HAS BEEN BAD YEAR FOR ME I SPENT ALMOST 6 MONTHS IN HOSPITAL......SO MIE LEO NINA RAHA SAAANA HUO MWAKA UMEISHA...LOLS!:rofl: