Wanawake katika siasa za Tanzania: up for the Highest Office?

Sasa kwa nini pasitoshe? Mimi nimenukuu maneno yake baada ya kusoma jina uwiano kwenye hii thread na kukumbuka kuwa mtu anayeitwa Uwaiano Maalum aliandika kuwa yeye ni kichwa na anafaa kuongoza Tanzania.
 
Hiyo quote nimeitoa kule kwenye thread ya JM.

Una hatari weye.....I like the way you put the pieces together. Ila kwa alivyo ashiria NN ni kwamba Uwiano anaye mtaja yeye siyo necessarily Uwiano Maalumu maana haya thibitisha hilo. Yetu macho na masikio.
 
Lakini umeona aliye tajwa na NN ni Uwiano siyo Uwiano Maalumu. Kwa hiyo NN ana weza kuja na kusema Uwiano aliyemtaja yeye siye huyo Uwiano Maalumu.
 
Una hatari weye.....I like the way you put the pieces together. Ila kwa alivyo ashiria NN ni kwamba Uwiano anaye mtaja yeye siyo necessarily Uwiano Maalumu maana haya thibitisha hilo. Yetu macho na masikio.

Tukirudi kwenye mada, kulikwua na thread humu wanamzungumzia Asha Rose Migiro kama mwanamama anayefaa kuongoza Tanzania.
 
Sasa kwa nini pasitoshe? Mimi nimenukuu maneno yake baada ya kusoma jina uwiano kwenye hii thread na kukumbuka kuwa mtu anayeitwa Uwaiano Maalum aliandika kuwa yeye ni kichwa na anafaa kuongoza Tanzania.

..kwa sababu sina hakika kama it's just me ama kwa jinsi UM anavyoandika posts zake hapa huwa napata picha ni wa kiumeni na nahisi haka kabaraza kamembadili jinsia....ambacho sio kitu kidogo sana mkuu...ngoja nilale bana,ni 02:18 hapa kwangu,nikiamka ntakuta majibu ya mashaka yangu..
 
Tukirudi kwenye mada, kulikwua na thread humu wanamzungumzia Asha Rose Migiro kama mwanamama anayefaa kuongoza Tanzania.

Je wewe una ona Mama Migiro anafaa? Mimi naona ni mchapa kazi hodari tu labda kama kuna member atakua na mawazo tofauti.
 
Una hatari weye.....I like the way you put the pieces together. Ila kwa alivyo ashiria NN ni kwamba Uwiano anaye mtaja yeye siyo necessarily Uwiano Maalumu maana haya thibitisha hilo. Yetu macho na masikio.

Kwa nini asiwe necessarily yeye?
 
Hiyo quote nimeitoa kule kwenye thread ya JM.

You had my words but in a wrong thread.

uwiano akiamka hapawezi kutosha hapa...

Napaache patoshe kwa sababu mwenyewe sitoshei humu.

...... UM anavyoandika posts zake hapa huwa napata picha ni wa kiumeni na nahisi haka kabaraza kamembadili jinsia..............

You are 111111% right, them haters wananibadili jinsia.
 
Hakuna mwanamke aanefaa kuongoza taifa la Tanzania…..hakuna si Migiro si sophia samba……Mama mongela alionekana anafaa kipindi Fulani kumbe nae fiisadi tu na kwenye bunge la Africa wanataka kumuondoa….

Ashakum si matusi wanawake ni watu weak lazima tukubali hatuwezi ku take risk kiurahisi kumpa u commender in cheif mwanamke never….kwa Tanzania kupata wakina Benazir Bhutto si rahisi kama hata tukianzia na humu JF wengi si watu wakujisimamia kwa hoja zao binafsi….
Pili kiimani wanawake mwenyezi Mungu hakuwaweka kuwa viongozi….wao wawe chini ya mwanaume always……

Hebu niambieni mwanamke gani katika hawa waliopewa uwaziri au ubunge wa sadaka anafaa?
 
safi Yo Yo,mi nilidhani ni mimi tu nnayeona,lakini kama tunataka kuwa wakweli hatuna wanawake strong hivyo kwenye siasa za Tanzania,ama tuseme bado hawajaonekana..tunachofanya ni kujaribu tu kuichezesha karata ya usawa wa jinsia twende sawa na 'wakubwa'..bado muda wetu,na nna imani hautafika tukiwa hai sisi,wajukuu zetu labda
 
Back
Top Bottom