Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini?

Biblia inasema hivi: enyi wanaume muishi na wanawake kwa akili;hapa ni habari tosha kuwa tangu kale wanawake ni complicated,lakini hii ni kwa wanao amini aya za Biblia.
 
Biblia inasema hivi: enyi wanaume muishi na wanawake kwa akili;hapa ni habari tosha kuwa tangu kale wanawake ni complicated,lakini hii ni kwa wanao amini aya za Biblia.

Thanks malila, nikweli waume waishi na wanawake kwa akili, na hiyo akili yenyewe ni kwamba Men should use there brain to read what the need and wants of a woman.
 
Thanks malila, nikweli waume waishi na wanawake kwa akili, na hiyo akili yenyewe ni kwamba Men should use there brain to read what the need and wants of a woman.

Kama hata biblia imetambua kua yataka mtu mwenye kutumia akili ndo aishi vyema na mkewe,im doughting juu ya akili zao hao wanawake!
 
jAMANI,tatizo ni kwamba when does mwanamke turns to be Jimwanamke?simply because most of those Jimwanamkes have been good wanamkes before,eventualy,wakaanza kua mijanamke,hairiziki,haitosheki,hata ukifanya kama lorain hapo juu anavyosema,mwisho wasiku they will end being mijanamke,sasa suala hapa,je what makes them turns to mijanamke?na lini wanarudi kua wanawake?au ni mpaka wazeeke?kwakua shetani akizeeka hugeuka malaika!

ha ha haa! shetani akizeeka hugeuka kuwa malaika!! yaani leo nimecheka mpaka machozi yamenitoka
 
sasa niwakati wanaridhika,maana mnavyobadilika kama vinyonga,na mnavyopretande,hapo ndo mwaniacha hooi!

Lione,

Wanawake ni msitu mzito sana, na sote tunafahamu ndani ya msitu mzito pana nini. Kuna mchanganyiko wa wanyama, wadudu, ndege na kadhalika. Sasa basi ndani ya msitu wanawake kuna sungura, hawa wanakuwa ni wajanja sana ktk ndoa, pia kuna simba, hawa ndo balaa kwenye ndoa kitu kidogo tu atkuparura mpaka ukome.Hali kadhalika kuna punda, fisi, kinyonga, chui, nyati na kadhalika. Ukibahatika ukapata tausi basi we mke wako atakuwa mzuri sana na mpole. Sasa hapo angalia na upime we mkeo anaangukia wapi katika species hizo hapo juu, halafu njoo tujadili
 
Nina sikitika kusema wangu yuko kama siafu anaweza kukuuma,hata kama hujamkanyaga!
 
Lione,

Wanawake ni msitu mzito sana, na sote tunafahamu ndani ya msitu mzito pana nini. Kuna mchanganyiko wa wanyama, wadudu, ndege na kadhalika. Sasa basi ndani ya msitu wanawake kuna sungura, hawa wanakuwa ni wajanja sana ktk ndoa, pia kuna simba, hawa ndo balaa kwenye ndoa kitu kidogo tu atkuparura mpaka ukome.Hali kadhalika kuna punda, fisi, kinyonga, chui, nyati na kadhalika. Ukibahatika ukapata tausi basi we mke wako atakuwa mzuri sana na mpole. Sasa hapo angalia na upime we mkeo anaangukia wapi katika species hizo hapo juu, halafu njoo tujadili

Kuna mbinu zozote za kubaini kabla ya kumuoa kuwa huyo mkeo ni species gani? au unasubiri abadilikie huko kwako kuwa simba, kinyonga, tausi n.k?
Ni juu yako uchague kabla.. au umbadilishe from Tausi to Simba! Unao uwezo huo endapo utaishi naye kwa akili kama ilivyoagizwa na maandiko kwa wale waaminio.
 
Kuna mbinu zozote za kubaini kabla ya kumuoa kuwa huyo mkeo ni species gani? au unasubiri abadilikie huko kwako kuwa simba, kinyonga, tausi n.k?Ni juu yako uchague kabla.. au umbadilishe from Tausi to Simba! Unao uwezo huo endapo utaishi naye kwa akili kama ilivyoagizwa na maandiko kwa wale waaminio.

Hata simba utkapomkuta karelax unaweza ukadhani ni ng'ombe, maneno ni pale utapomkuta yuko mawindoni.
Kwa wake zetu pia si rahisi kungundua tabia za ndani zilizo fichika hasa ikizingatiwa kama uhusiano wenu haukuwa wa muda mrefu
 
Biblia inasema hivi: enyi wanaume muishi na wanawake kwa akili;hapa ni habari tosha kuwa tangu kale wanawake ni complicated,lakini hii ni kwa wanao amini aya za Biblia.

Na bible yangu inaniambia kuwa ...enyi waume wapendeni wake zenu..... enyi wake waheshimuni waume zenu....

Mume yeyote awe mwenye elimu, tajiri, maskini anastahili heshima, na hii ni kwa wanaume wote hata kama angekuwa mbilikimo. Hiyo attribute kwa wanaume ndiyo dominant.

Mke yeyote anahitaji kupendwa kwa dhati kwa kuonyesha kwa vitendo (practically) na si theories. Upendo utasababisha mke ajione ni salama (secured), assured, etc. Ndivyo walivyo wanawake na kama mume akitenda tofauti na hapo fahamu tatizo litatokea tu.

Sasa basi kama unampenda mkeo kwa dhati basi uaminifu utakuwepo katika maisha yenu ya ndoa. Pia penda kudumisha traditions zenu za urafiki na uchumba, zawadi (cards, love letters), special days, day out, etc. Na kubwa mshirikishe shughuli zako ajione yuko part of her husband plans and achievements.

Kinachoua mahusiano au ndoa nyingi ni ubinafsi wa kutotaka kutoa heshima au upendo wako kwa mwenzio. Jimwage jamani na nyumba au relationship utaiona inalipa na ni ya manufaa.

Zingatia pia kuwa ndoa au relationship changa zinahitaji special care and treatment. Wakati huu ni mgumu sana maana ndipo the true colours zinaonyeshwa toka pande zote mbili. Muda huu pia wapenzi huwa wanaogopa kuambiana ukweli wa misimamo maana anaogopa kumuumiza mwenzake. Hili ni kosa kubwa sana. Kama at the infancy stage hasa ya ndoa mwenzi anaonyesha tabia ambayo ni ngumu kuichukulia then immediately muaanze kuyaweka mambo wazi na kutaka kueleza ukweli wa jinsi ambavyo hupendi tabia hiyo. Ukiogopa kumrudi mapema ujue kabisa unapalilia kichuguu cha moto hapo baadaye mtakapozoeana bila kurekebisha ya nyuma ndipo mabomu ya hasira za muda mrefu yanalipuka na huwezi kuyahimili. Mwishowe basi either ndoa isambaratike, kutengana, kuishi ndani kama paka na mbwa au mwishowe suicide.

Nina ndoa ya miaka kumi na kui maintain hadi hapa nilipo si kazi ndogo. Najitahidi wakati wote kumheshimu hubby wangu regardless of my education level, employment status (vyeo). When it comes hubby issues my friend I forget office business. At the same time my hubby shows care and love constantly hadi wakati mwingine naona he is doing too much for me. In those 10 years, no matusi, kupigwa kugombezwa, etc. Na si kwamba wakati mwingine sikosei la hasa, huwa ana namna ya ku solve problem tukiwa pamoja na tunafikia muafaka. Same to me kama kuna jambo ambalo sikulifurahia hata kama ni dogo basi tunalizungumza na linamalizika tena kwa style ile......... hapo kila kitu unasahau naanza life upya. Hivyo basi, kutoelewana hata kwa jambo ndogo please usilale bila kuli clear.

Last but not the least, try to do little extras to each other (e.g tengeneza ka speacial meal when at home for hubby, hubby takes care ya kazi za mama kidogo nyumbani hata kumtengenezea kichai). Unajua little extras ni nyingi na ndizo ninaamsha ari ya mapenzi kwa mume na mke na hamtachokana.

All the Best to waume na wake and the aspirants into the club welcome!!1
 
You can not and should not bank your happiness on someone else.
Wewe uwe na amani na furaha yako binafsi, mwenzi wako atacomplement tu.
Kama mwanamke au mwanaume anategemea apate mwenzi wake ndo ampe hayo, atakuwa dissapointed tu.

Mapenzi ni kutoa, na kutoa na kutoa, sio give and take kama tunavyodanganyana siku hizi.
Kwa mantiki hii ni muhimu kuchagua mtu alielelewa katika mazingira ambayo wewe unaweza kujiingiza humo. Ndio sababu wazee wetu walisaidia katika kuchunguza familia nzima unayotaka kuoa au kuolewa kujua mazoea yao ili mtoto wao asipate shida.

Mfano ndio haya makabila wanayojulikana ya wachoyo, wabahili, wanaotesa wanawake, wavivu, wachapa kazi, waongo, wezi, wazinifu nk.
Naona enzi za kutafutiana wachumba zimerudi kwa kasi sana, wengi wameshagundua jicho lako pekee haliwezi kuona mke/mume mzuri, bora ushirikishe wengine wakusaidie.
Tuliomo ndani ndio basi tena tunavuna tulichopanda.

Mwanamke ni simple sana, tunataka tuwe queen of our universes. Basi.
We jitahidi umpende mkeo, (kumuelewa sio rahisi sana kama walivyosema hapo juu) Mpende, mpende mpende na mpende tuuuuu.
Jinsi ya kumpende utajifunza kwake na kwa marafiki zake na ndugu zake.
Hivyo tu.
 
Maane umenifurahisha sana kwa kutupa uzoefu wako. Nakushukuru pia Malila kwa neno hilo la "wanaume kukaa na wanawake kwa akili"
Mimi nilibahatika kuingia porini au msituni nikajitafutia chui(leopard) wangu miaka 6 iliopita. Kachui kangu nimekaa nako kwa akili mno miaka yote hii and all is going well. Wengi wenu mnajua tabia za chui. Ni mkali mno na anweza akaleta madhara makubwa sana. Imebidi mimi niwe tembo ili kutoleta mtafaruku kati yetu. Heshima ipo na ndoa ni tamu!!!
Usahuri wangu ni kwamba ikiwa wewe hujaingia msituni kuchagua basi jua kwanza wewe ni nani na ni yupi ambaye utawezana nae. Kuoa si kuingia umefunga macho bwana!! Tumia akili yako na ya kuzaliwa pia. Be strategic la sivyo utayaona makubwa. Kwa wale waliopo ndani ya ndoa muishi na wake zenu kwa akili kama alivyosema Malila. Kama mkeo ni simba basi wewe uwe chui sio unakuwa simba mwenzake mtagombea territory afu itakuwa balaa, kama ni nyoka basi unakuwa mjusi, hapo hakuwezi and so on and so forth. Ukishindwa to handle your wife basi you are a great failure. Ndoa ni akili tu bwana asikudanganye mtu!!!
 
Bado sijapata muafaka kabisa wa thread hii. Mnajaribu na wengine mnanipeleka offroad. Swali ni kipi tuki-identify kama hitaji msingi la wanawake ili waume zetu au wake zetu waelewe na kuishi nasi raha mstarehe na sii haki za wanawake kila kukicha na wakati hwajui exactly nini wanataka; kama ni elimu ukiangalia wanawake walosoma sana si wanawake wazuri kwenye ndoa, kama ni mali wanawake matajiri si wanawake bora kwenye ndoa, na kadhalika na kadhalika. Katika ndoa sasa wanawake ndio wapiga kelele na waanzisha kelele ni mivurugano wakiwa wanatafuta au kuhutaji kitu wasokijua!

Sasa kwa wanajamvi JF NI NINI WANAWAKE HUHITAJI/KUPENDA KATIKA NDOA AMBACHO NI STANDARD KAMA WANAUME?
 
Hakuna kitu kimoja ambacho wanawake wote wanataka.
saidi ya kupendwa na kuwa secure.
wewe ndio ujue unataka nini na ujue kama unayemfuata anacho. hala utajua anachotaka (yeye) ndio ujue kama uko tayari kumpa. Kama unaona ni too demanding, bora uanze mapema manake gubu si rahisi kuishi nalo.
 
Mie nionavyo,narudia tena,nionavyo,unatakiwa kua na akili za kiwendawazimu kuweza kuwamudu hawa viumbe,maana nawao hawatabiriki,kama vimbunga vya USA,maana waweza sema mie wife wangu bwana tuliiiiivu,kumbe we!kicheche mbaya!msikilize vyema Mwana FA katika bado niponipo ndo labda you can get a hint of them,lakini cha msingi,hakuna ajuaye wanataka nini,maana hata wao hawana uhakika na wakitakacho!
 
Bado sijapata muafaka kabisa wa thread hii. Mnajaribu na wengine mnanipeleka offroad. Swali ni kipi tuki-identify kama hitaji msingi la wanawake ili waume zetu au wake zetu waelewe na kuishi nasi raha mstarehe na sii haki za wanawake kila kukicha na wakati hwajui exactly nini wanataka; kama ni elimu ukiangalia wanawake walosoma sana si wanawake wazuri kwenye ndoa, kama ni mali wanawake matajiri si wanawake bora kwenye ndoa, na kadhalika na kadhalika. Katika ndoa sasa wanawake ndio wapiga kelele na waanzisha kelele ni mivurugano wakiwa wanatafuta au kuhutaji kitu wasokijua!

Sasa kwa wanajamvi JF NI NINI WANAWAKE HUHITAJI/KUPENDA KATIKA NDOA AMBACHO NI STANDARD KAMA WANAUME?

HICHO STANDARD KWA WANAUME WOTE NI KIPI?
mimi sikijui na wala sijawahi kukisikia!
 
HICHO STANDARD KWA WANAUME WOTE NI KIPI?
mimi sikijui na wala sijawahi kukisikia!

Standard kwa wanaume ni kutafuta pesa/mali na ku-establish nyumbani, kuhakikisha wanaomtegemea wanapata mahitaji yao yote, kuwa tayari kurespond financially therefore to any problem that needs money.......simply standard wants and need for all men under the sun is SUCCESS!
 
mshiiri, sasa kigumu ni nini, mwanamke anataka security, soul mate au best friend. that is general. tumesema mara kubao hapo juu.
Mbona mgiumu kuelewa au huzisomi posts? au huamini? au hutaki?
si wote 100% walio hivyo, kama ambavyo utakuta wanaume wasiojali familia wengi tu, wasiojali maendeleo wengi tu.
muhimu kutafuta utakae cope nae,
Mfano kama mimi nataka security ni kuwa najifungua france, na wewe huwezi, basi huwezi kuniridhisha bila maneno malaini ya kueleweka (ya ukweli) kinyume chake ni gubu.
Wengi wa wanauume mnataka turespond kwa stimulus za kiume.
Haiwezekani.
kama unataka mwanamke afurahi mfanyie kama mwanamke anavyotaka.
Hiyo ni art ambayo inawatia uvivu kujifunza, wala siwashangai. ndio maana mnalalamika sana.
Sie wenzenu tunaendelea kujifunza na kuzingatia mafunzo na uzoefu wa namna ya kuwahandle ndiomaana kidogo inakuwa hakuna la kushangaza, japo pia mnachosha
 
halafu wala hutakiwi kuwajua wanawake wanahitaji nini.

Wewe mjue mkeo tu anatosha.
 
Standard kwa wanaume ni kutafuta pesa/mali na ku-establish nyumbani, kuhakikisha wanaomtegemea wanapata mahitaji yao yote, kuwa tayari kurespond financially therefore to any problem that needs money.......simply standard wants and need for all men under the sun is SUCCESS!

Interesting!
Na kwa wale ambao hawafanyi kitu..kutwa kushinda vijiweni wakicheza bao na kunywa kahawa inakuwaje hii standard of universal application kwa wanaume wote??
 
Back
Top Bottom