Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 507
Kuna jambo linanishangaza sana kwa kushindwa kulielewa ni hili suala la wanawake huwa wanapenda au kutaka nini wawapo katika mahusiano kwani nafikiri huwa hapa ndipo pasipoeleweka na ni chanzo kikubwa cha migogoro katika mathalan ndoa. Ukifikiri tatizo ni mali na starehe utapotea kwani wanawake walio na pesa na wenye fursa ya kwenda starehe utakuta kingine si waaminifu. Ukisema wanawake wanataka mwanaume msikivu basi atamdharau na kumfanya ajikie like a crap. Ukisema mwanaume anayewahi nyumbani basi yeye atakuja saa kumi asubuhi, kusema kitchen party ee bwana ee sielewi kabisa.
Na muda wote wanawake hawakiri kuwa na mahusiano mazuri na waume zao hata kwa senti moja, kwa tathmini utasikia 99% hawako happy. Sasa sijui tuwarudishe kwa wazazi wao. Na hata wazazi utakuta baba anamwambia mtoto wa kiume kuwa uyaone wanawake ni soo. Sasa mimi naona mwanamke poa kwangu ni mama yangu na almost kila mtu anaona hivyo but ukimwuliza baba ni vipi hapo kwa demu wako? Atakwambia mama yako kikwazo sana. Sasa nisadieni kwanza swali lenyewe ni noma kwani point za-flow kama wese vile.
Maongezi ya wanawake wengi katika ndoa ni ya ku-reposition mwanaume mfano aaa uniniambie bwana, acha hizo, nk yaani akilinganisha na wanawake wengine.
In contrary, wanaume hufikiria wakistruggle na kupata mali basi maisha yao ni poa. You see here they always aim high but keeping expectations low; which is a life principle. But wanawake wengi ni day dreamers etc. To me I see a lot of double standards in women and all that they advocate. Wakati wanaume wan standard moja duniani kote why ya wanawake haijulikani na hata wao wenyewe? I sometimes think its a demonic thing since creation.
Sasa swali wanawake wanataka nini katika mahusiano? Ili waache kulalamika kila kukicha kwani hata wapigania haki za wanawake hawajui wanawake wanataka nini na wao wenyewe hawajui kwanza kwa sababu wengi hawajaolewa au walishindwa kuelewa wanahitaji na kutaka ni katika mahusiano waka-break. Na still hadi sasa hawajui wanataka nini.
Karibuni and lets share experience and knowledge