Wanawake huwa wanapenda kitu gani kwa wanaume?

Kwahiyo hata kwa huyo uliyenaye kinachokupa ujasiri ni visenti vyako ?
Hata mkeo/mchumba wako hapa akiulizwa na mtu nini kinakufanya umpende MWALLA4REAL hatokuwa na jingine la kujivunia kwako zaidi ya visenti vyako?
nimeikumbuka hii nimebaki nafurahi tu
 
Back
Top Bottom