Wanawake huwa wanapenda kitu gani kwa wanaume?

Ukitaka mwanamke akupende we mpe hela tu mpe kila siku mkulu hapo tembo card inahusika sana na ukitaka kujua anapenda hela ngoja salio likate ndio utazisoma nyodo za mwenza wako. Dawa ya penz ni pesa baaaaaaaas
 
wanawake wanapenda kurudhizishwq on bed hata uwe maskin na yeye tajiri but ukimkaza vyema he must fall in love kinoma noma
mens weng hawana uwezo wa sex so silaha yao ni pesa
Kuna tofauti kubwa kati ya kupendwa na kufanywa mtumwa
 
"Evey woman has her taste to a man " kuna nwingine anapenda mwanaume msafi, anaeongea vizuri ,anae vaa vizuri, mwenye muondoko mzuri, famous, mcheshi, mkali, mpole, mfupi, mrefu, skinny, bonge, kijana, mzee, mwenye uume mkubwa / mdogo, mwenye nywele ndefu /Fupi /kipara / ndevu / mustache / mwenye kifua kikubwa, mwenye hela, na mengine kede wa kede.... Kwa vigezo hivi tuna kuja ku hitimisha sasa kwamba " you will never make a woman satisfied at all not matter how much a man does to her" If a woman doesn't like you because of who you are.. usiwaze kuna mwanamke mwingine huko nje anapenda hizo sifa ulizo nazo balaa.... Ipe muda tu.... ****Kikubwa zaidi ***** vitu pekee vitakavyo mfanya mwanamke a stick au kukaa na wewe kwa muda mrefu ni viwili tu. 1. Pesa 2. Good sex....... Wanasema wataalamu wa mahusioano " when money is not in the family, love goes through the window " kubali ukatae oa mwanamke then pesa ikate uone balaa lake humo ndani amani hakuna tena, migogoro daily... 2. Good sex, hakuna mwanamke asie taman kufika kilele wengi wao hapa mjini wana sikiaga tu lakin ukimfanya mwanamke afike huko... Believe me hata azunguke vp.. atakumbuka jembe alikua ana piga sana kazi.. na hata akiolewa usi shangae mara moja moja anakuletea una chapa... #am done!!!!
 
Wanapenda jinsi tulivyo
Kumkubali mtu jinsi alivyo
kumheshimu
kusamehe
kumsitiri,kutohesabu mabaya
Huu ndio upendo na kuna watu wanapractise bado ukipenda kwelii lakini mbaya sana unapompenda mtu kwa kiasi hiki hathamini kile unachokitoa kwake anatake advantage ya upendo wako kwake mbaya sanaa unaanza kuonekana mtumwa wa mapenzi
 
Kuna kitabu kiliuzwa sana Amazon titled "how to understand women "
But kilipofikia watu kilikuwa na 1000 blank pages😳
 
kumkubali mtu jinsi alivyo
kumheshimu
kusamehe
kumsitiri,kutohesabu mabaya
huu ndio upendo na kuna watu wanapractise bado ukipenda kwelii lakini mbaya sana unapompenda mtu kwa kiasi hiki hathamini kile unachokitoa kwake anatake advantage ya upendo wako kwake mbaya sanaa unaanza kuonekana mtumwa wa mapenzi

shkamoo kelele.. Pesa heshima..
 
Kumkubali mtu jinsi alivyo
kumheshimu
kusamehe
kumsitiri,kutohesabu mabaya
Huu ndio upendo na kuna watu wanapractise bado ukipenda kwelii lakini mbaya sana unapompenda mtu kwa kiasi hiki hathamini kile unachokitoa kwake anatake advantage ya upendo wako kwake mbaya sanaa unaanza kuonekana mtumwa wa mapenzi

hakika
 
najitahidi kweli kulinda heshima ya visenti vyangu maana ndo vinanilindia heshma hata ww tukikutana aaaah utaniheshim tu

Kwahiyo hata kwa huyo uliyenaye kinachokupa ujasiri ni visenti vyako ?
Hata mkeo/mchumba wako hapa akiulizwa na mtu nini kinakufanya umpende MWALLA4REAL hatokuwa na jingine la kujivunia kwako zaidi ya visenti vyako?
 
Wanawake wanapenda vitu viwili tu kwa mwanaume
1. KUPENDWA
2.KUTIWA VIZURI

akikikosa kimoja kati ya hivyo atatafuta namna ya kukicompliment kwingine.
 
Kwahiyo hata kwa huyo uliyenaye kinachokupa ujasiri ni visenti vyako ?
Hata mkeo/mchumba wako hapa akiulizwa na mtu nini kinakufanya umpende MWALLA4REAL hatokuwa na jingine la kujivunia kwako zaidi ya visenti vyako?

habanduki tena anawivu balaaa... ndo mana nasema nalinda vijisent visipukutike. ndo vinanipa heshma
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom