Wanawake huwa wanapenda kitu gani kwa wanaume?

mkuu usipoteze muda kujiuliza hilo swali as u'll neva get the answer sababu hata wao mabinti hawajielewi wanataka nini kwa wanaume pia hata wao kwa wao hawaelewani...... Mi sipendi kuwalaumu kwa ujumla wao ila nakubali tu kwa ujumla wetu kama binadamu ni watata sana... Siku utakapo pata mwanamke anayekupenda saana ndo utakuwa mwisho wa hilo swali coz honestly wala tusidanganyane mapenzi hayana formular, heartbroken zinatufanya tujiulize maswali mengi sana..... Calm down mzazi


With the above post.... Glad you are back...
 
aso na huwezo wa kuwa na mwanamke wa ku call his owm utamjua tu. Wanakuwaga wakali! Vibuti vinauma jamani msichezee.
 
Nyumba kubwa na Eiyer.... mnatuchanganya wajameni....
 
Nadhani wanapenda zaidi mwanaume anayemfikisha pale pahala vizuri,anaye mpenda na mwenye uwezo wa kumlinda.
 
Kama mnarushiana vidongo vile @Eiyer
Hahahaa wanapenda ngono eeh! @Safety
 
Nimeona Chapaa, maana wanaongelea vibuti
 
Si ndo maana tumewaomba watusaidie kufahamu @Crisis
 
Mapenzi yako kwa wenye nazo ndipo kuna maneno kama hny,dia,switi,etc
 
Back
Top Bottom