Wanawake hutumia saa 5 kwa umbea!?

Huu ulimwengu kila kitu wanachofanya wanawake tunaona kibaya!

kwanini badala ya umbeya tusitumie neno kupashana habari?

Naona wanawake kama ni wazuri sana kwenye kuspread information.

mimi nimetoa habari kama nilivyoisikia jamani, wala sina lengo la critises wanawake!

Filipo boy......

Umeanzisha vita, mi nasepa!

mkuu mimi nimewasilisha tu! Hoja ilishatolewa na imeungwa mkono. Sasa wanaosema ndio...,.!? Wanaosema sio....!?

hilo nalo ni neno. umeamua kuwaamkia leo.

mkuu usinitafutie ubaya na watu! Nimesikia hiyo habari nikaiwasilisha jamvini tujadili. Wala sijawaamkia dada zangu!

inabidi kwa kweli watoe maana ya umbea; maana yawezekana na hii mitandao ya siku hizi wengi tunaweza kuwa tunahusishwa humo. Jiulize tu unatumia muda kiasi gani kwenye MMU au FB

mkuu nimekusoma! Hatujui tu huo utafiti ulilenga upande gani. Kama ni kwenye mtandao basi kazi ipo!?

Kuna baadhi ya wanawake kwa kweli ni wambea ile mbaya ila na wanaume wambea wako tena wambea kwelikweli yn kwa mwanaume 1 aliyekomaa kwenye umbea ni sawa na wawake wambea 10

Hiyo ratio! Mmhh...

Mada hii ingekuwa zaidi kama ingeeleza na upande wa wanaume. Hivi hamjawahi kukutana na wanaume wambea kweli? ni desturi tu inmezoeleka kwamba wanawake huwa ni wambea, lakini kuna wanaume ambao ni wambea kuliko hata wanawake. Upo ukweli kuwa wanawake ambao umbea ni sehemu ya maisha yao, ila msisahau wanaume pi wapo tena wapo tele, so tuwe franky

Mada hii ingekuwa zaidi kama ingeeleza na upande wa wanaume. Hivi hamjawahi kukutana na wanaume wambea kweli? ni desturi tu inmezoeleka kwamba wanawake huwa ni wambea, lakini kuna wanaume ambao ni wambea kuliko hata wanawake. Upo ukweli kuwa wanawake ambao umbea ni sehemu ya maisha yao, ila msisahau wanaume pi wapo tena wapo tele, so tuwe franky

Sipingani kabisa na wewe, ila huu utafiti inaonekana ulifanywa kwa wanawake tu!

Ukitaka kujua wambea wa kiume, tutafute thread zilizoanzishwa na wanaume wakiongelea mambo binafsi ya watu ambayo hayatuhusu! nafikiri hii ni kazi ya watu wote (wanawake kwa wanaume).

Nilijua hoja hii isingepita bila Lizzy au preta kuchomekea, ila naona leo Preta ameamua ku 'mute'.

Utafiti uliofanywa nchini Uingereza umeonesha kwamba wa wanawake hutumia saa 5 kwa umbea, udaku na mambo kama hayo ndani ya siku 1.
Soure: tbc, uchambuzi wa magazeti.
My take: Kama hali ipo hivyo na muda wa kulala ni saa 8, basi wao hutumia nusu siku tu kufanya mambo ya maana!

Naaaaaaaaam!

Back
Top Bottom