Wanawake hupende mwenye Ndevu au Asiye na Ndevu?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Eti kwa aina hii ya ndevu wengine huvutiwa zaidi! Wanaume wamekuwa wakijiuliza je, ni vizuri kunyoa ndevu kipara kabisa au kuziacha zikue na kuwa mzee madevu?.
Je, nitaonekana navutia nikiwa nimenyoa ndevu au sijanyoa ndevu?

Utafiti huko Uingereza unaonesha kwamba wanawake wengi (si wote) huvutiwa sana na wanaume wenye videvu vyenye ndevu kidogo (Stubble) kuliko wale wasio na ndevu kabisa (clean shaved) au wenye vichaka vya ndevu (full beards) kwa ajili ya sex, mapenzi na ndoa.
... Njia rahisi ya kuvutia wanawake ni mwanaume kuwa na kidevu chenye ndevundevu na si kuwa kipara au nyingi kama akina Osama.

Kuwa na ndevu (kwa mwonekano wa aina hiyo) hudhihirisha uwezo kinguvu, uimara, ukomavu kijamii na mvuto (best romantic partners)
Kuwa na ndevu ni kiungo cha nguvu kijamii na kimapenzi kwani ni alama ya kuonesha ukomavu kibaolojia.
Wale wasio na ndevu kabisa huonekana hawajakomaa na wale wenye vichaka vya ndevu huwa na sura inayotisha mno au kuonekana wababe na hawavutii sana.
Je, huu utafiti una ukweli wowote? labda wanawake wanaweza kutoa maoni!

AMEN......
 
dwuh.. emh ngoja waje ila nadhani ni kweli ndo mana ata ninii bado anang'ang'ania na utu tundev twangu twakishkaji
 
dwuh.. emh ngoja waje ila nadhani ni kweli ndo mana ata ninii bado anang'ang'ania na utu tundev twangu twakishkaji

eeeeh ngoja waje wafunguke kabisaa, kama watapenda wenye ndevu tujiandae kutafuta za kichana sasa......
 
dwuh.. emh ngoja waje ila nadhani ni kweli ndo mana ata ninii bado anang'ang'ania na utu tundev twangu twakishkaji

Mim beibe nasty my jg anaachaga stubble n anjua huwa navifanyiaga nin na ofcoz zinamvuto bt zikikua tu namwambiaga bby u av to shave n maisha ni briiiiiiii na cocacola
 
Mim beibe nasty my jg anaachaga stubble n anjua huwa navifanyiaga nin na ofcoz zinamvuto bt zikikua tu namwambiaga bby u av to shave n maisha ni briiiiiiii na cocacola

Kumbe zina kazi yake eeeh, zinakuna kuna..........
 
Mim beibe nasty my jg anaachaga stubble n anjua huwa navifanyiaga nin na ofcoz zinamvuto bt zikikua tu namwambiaga bby u av to shave n maisha ni briiiiiiii na cocacola

nazile ndevu zake ka stilwire afu zimefunika mashav yote hayo lazima uote sugu
 
nazile ndevu zake ka stilwire afu zimefunika mashav yote hayo lazima uote sugu

Ajira sikuhiz hakuna so afadhali unavojikeep biz kujisugulisha kichwaa juu ya mwanaume mwenzio shauriro halaf ni sawa wewe somalia unanjaa halafu waleta kibur kwa FAO utalala njaa
 
uzalendo umenishinda leo niseme!!
kwakweli unaniacha hoi na unapomalizia sentensi "AMEN" khaaa Kimbweka
 
Last edited by a moderator:
poa wangu Kimbweka
yani ilinifanya nifatilie kila tundiko lako asee and:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom