Wanawake hili lina maana gani

Anataka kukupga juju huyo.

Jamani....Ushauri mwingine ni kama nguvu za giza. Hivi huyo IGWE mnataka apendweje? Mwanamke akiwa simpo mnasema anataka kumroga, akiwa anapenda shopping na vitu vya anasa mnasema ana tamaa. Lipi jema?

Mimi naona hiyo ni GESTURE yake tu kwako kwamba anakuwa na amani zaidi moyoni mwake pale anapoona chako ni chake na chake ni chako! Na je wewe unaweza kwenda kwake au bado anaishi na wazazi wake? Ungekuwa na uwezo wa kwenda kwake ungeweza kujua vitu anavyochukua kwako anavithamini kiasi gani!
 
couldnt agree more on this Masaki...
 
Bado anaishi na wazazi wake mkuu,
 
nadhani ni mapenzi tu na hayuko material! kuna mtu unakuta kamnunulia bf wake dodoki ya kuoshea vyombo,sabuni na vitaulo vya jikoni anatunza risiti ya shoprite utadhani mhasibu wa halmashauri ya kwimba! shukuru mungu kaka,mahusiano ya siku hizi ya ajabu sana!
 
dah angalia vizuri anaweza kuwa anachukua hata nyele na nyayo zako anapeleka kwa babu, hapo hutoki tena.... usimuulize kubali matokeo
 
sasa hiyo si dharau.... anakudharau huyo..Mie ningeona ni matusi..

duu kuwaw na mpz km wewe mwenye inferiority cmplx ni tabu sana

simpo ye kapenda culture yako ya elfu moja na akakuachia chen yake ya laki 5 ..asi poa tu..mahaba tu ..sasa wewe iweje udhan anakudharau?
dharau ndo angevaa iyo culture yako?
au ujui awatu wenye dharau wew..yaan unasema dharau kukuachia chen yake na kuchukua kacha yako?
dah ..hauna shukran wewe....wala hujui mahaba kila ktu unajishtukia tu utakuwa wewe..na tabu sana kuish na watu wenye kujishtukia kdg tu anadhan unamdharau..kdg tu anadhan unamchukulia poa..mawan yao ni ya dharau so kila kitu anakiona kwa kupitia dharau..so ni dhdarau
 
dah angalia vizuri anaweza kuwa anachukua hata nyele na nyayo zako anapeleka kwa babu, hapo hutoki tena.... usimuulize kubali matokeo

du ...we av a longgg way to go...izo ni mahaba tu nyiny mbona mnakuwa wafup na wanyimi wa shukran..mshirikina angefanya bila kificho ivyo?
 
Back
Top Bottom