Wanawake Hawajiamin kwa nin?

MJ1,msemo huo unaaply kwa mwanamke kulingana na majukumu na nguvu ya mwanamke katika ushawishi.Mwanamke akiwa wa hovyo,hata mume afanye nini familia itakua na matatizo tu,huo ndio ukweli!
 
Huyo dada yako anawakilisha wanawake wengi ambao baada ya kuolewa wanasahau wajibu wao.

Kwa nini usimwamini mwanaume wako kama kweli unatimiza majukumu yako ya chumbani vizuri? bila shaka hofu aliyonayo inatokana na anayoyafanya nyuma ya pazia. Kwa taarifa tu, ni kwamba kama hutimizi majukumu yako hata kama akileta sura mbaya haisaidii, mwanaume akishikika hajali ubaya wa sura kikubwa kufika kileleni tu.

Baadhi ya wasichana siku hizi wanavamia ndoa bila kufundishwa na wakinamama wenye uzoefu, ama mnafundishwa ila mnapuuzia mafundisho baada yakuingia kwenye ndoa.. Badilikeni wabadilike.

Nitarudi baadaye.
 
Hata kama akiwa na sura kama Masudi, haisaidii kitu kwa wanawake kama hao wanaowaachia beki tatu wafue nguo zote za baba, waandae chakula cha familia, wapeleke maji ya kuoga ya baba bafuni halafu watandike kitanda cha baba na mama, sasa hapo unategemea nini, kama sio ukengeufu mwingine wanawake wanaulazimisha.

Kwanza hao mabeki tatu wengi siku hizi ni wajasiliamali, wanapeana ujinga mitaani na wenzao kwamba ukitaka kutoka siku jitahidi kuwa karibu na baba (father hose).
 
Muhimu nikujiamini na kujua majukumu yako wewe ukiwa kama mama mwenye nyumba,la utamuachia kila kitu H/G kupika kufua mpaka boxer ya mumeo na kukutandikia kitanda unacholalia na mume sidhani kama kimebaki kitu ambacho hawezi
fanya huyo House Girl.
 
kwakweli kumleta msichana mrembo zaidi yako ndani ya nyumba eti awe ndo housegirl. Ipo siku itakula kwako na utakuja kujuta. Ni her umchague msichana wa kawaida tu but si mrembo sana.
 
kwakweli kumleta msichana mrembo zaidi yako ndani ya nyumba eti awe ndo housegirl. Ipo siku itakula kwako na utakuja kujuta. Ni her umchague msichana wa kawaida tu but si mrembo sana.

mbaya sana atatishia watoto
 
wanaume ndo hawaaminiki...,tht's y.

Nadhani na kinadada pia hawaaminiki nikiwa na maana ya kuwa viumbe dhaifu sijui kama kweli maana wadada wengi utasikia wanaume baba yao na mama yao ni mmoja anaweza kumtokea mpaka rafiki yako. Kwa kauli hii maana yake kwamba wanawake wakitokewa na wanaume chances ya kushawishi ni kubwa hivyo naweza kumalizia kwa kusema wanawake pia hawaaminiki kikubwa kinachotakiwa ni kujenga uhusiano mzuri usio na shaka baina ya pande mbili ili kama mtu ataingia kwenye vishawishi anakuwa ajifikiria mara mbilimbili hivi mke wangu akishitukia itakuaje maana usipoonesha kumwamini mumeo/mkeo ipo siku ataingia vishawishi na kumalizia na kauli kama ya Pinda ya LIWALO NA LIWE maana nisipofanya bado haniamini acha sasa nifanye unaona mtu huyo anaingia ktk mahusiano yasiyofaa.
 
kwakweli kumleta msichana mrembo zaidi yako ndani ya nyumba eti awe ndo housegirl. Ipo siku itakula kwako na utakuja kujuta. Ni her umchague msichana wa kawaida tu but si mrembo sana.

mbaya sana atatishia watoto
 
hahahahaaa,,,hiyo hulka ya watu bhana,,,,,unaweza ukabeba mbaya,,,halafu jamaa akamchukua huyohuyo,,,,ushahidi nnao mimi

Hivi na mie najiuliza, ina maana kigezo kikuu cha kumchagua mke au mpenzi ni urembo tu? maana kuna vitu vingi ambavyo mtu anaangalia japokuwa umeleta beki tatu mbaya bado atapitia tu kutokana na sababu zake mwenyewe maana mwanaume mwingine anaweza mpanda anavyocheka ili sauti yake au akimtengea chakula akishamaliza kula anamuuliza kama kipo vizuri. Kinachotakiwa kila mtu awajibike kama mume/mke ndani ya familia pamoja na kuaminiana tu na sio kila kazi ya ndani anaachiwa house girl mama yupo kwenye mishemishe akirudi amechoka au baba nae yupo kwenye mishemishe akirudi amechoka mkionana na usiku mwingi mnalala mwisho wa siku unaona baba amekuwa tempted kwa beki tatu au mama amekuwa tempted kwa shamba boy
 
kwakweli kumleta msichana mrembo zaidi yako ndani ya nyumba eti awe ndo housegirl. Ipo siku itakula kwako na utakuja kujuta. Ni her umchague msichana wa kawaida tu but si mrembo sana.

mbaya sana atatishia watoto
 
Hivi hapo msemo wa uzuri mwanamke sio sura ni tabia hatuaaply?

Hapo sasa CATHELINE maana watu wakiwa kwenye kundi la watu utasikia uzuri wa mke tabia kumbe wanaichukulia kama sehemu ya sizitaki mbichi hizi kwa kuwa hajabahatika kuwa na binti mrembo. Haya mambo ni mapana kuna watu wanaangalia mpaka mambo ya chumbani utasikia mtu anasema yule demu mrembo lakini nimetoka nae yupo..........na vitu vingine vingi.
 
Last edited by a moderator:

Utakuta mkeo kawaagiza mashosti na ndugu zake anatafuta binti wa kazi wa ndani wakiletwa zaidi ya mmoja anachagua asiye na mvuto kuliko wengine eti ili asije akamuibia mumewe.Yaan hawa viumbe hawajiamini kabisa hii nimeona kwa dada yangu alipoletewa wasaidiz zaidi ya watatu

usitujumuishe wooote kuwa hatujiamini... uzoefu unaonyesha hata kama ukiletewa wa vijijini utawaona wabayaaa lakini wakipigwa soapsoap la mjini wanakuja kuwa warembo, lkn bado hiyo sio sababu ya maana ya kufanya eti uchaguuue, labda huyo ana matatizo yake mengine ya kutokujiamini.
 
kila kazi ina type zake bwana.

Tuheshimu kazi zao, mbona kwenye muvi majambazi wana sura fulani za kazi yet sexy?

Aaa bwana kwenye movie sometime zinapigwa make up ili mtu afanane na wadhifa wa ujambazi kwan hujawahi kuona yule aliyezoeleka kucheza staring anaweza akacheza jambazi?
 
utakuta mkeo kawaagiza mashosti na ndugu zake anatafuta binti wa kazi wa ndani wakiletwa zaidi ya mmoja anachagua asiye na mvuto kuliko wengine eti ili asije akamuibia mumewe.yaan hawa viumbe hawajiamini kabisa hii nimeona kwa dada yangu alipoletewa wasaidiz zaidi ya watatu

waume zao ndo wanaoyasababisha
 
Back
Top Bottom