wanawake eleweni

jobseeker

Member
Feb 25, 2012
70
7
Kuonyesha too much cleavage sio sexy hata kidogo na inapunguza mvuto.
Kuonyesha kidogo tu ndio yenyewe, kwani tunahitaji kuanza kutumia imagination
yetu!!!!!!!!
 
Wacha watembee uchi kabisa tukamatane kama kuku...................!!!
 
Bora nlivokua mshamba baibui na hijab yangu imetosha...wacha tu nionekane wa zamanii

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Jobseeker I do not believe in showing too much cleavage, let alone in showing at all. Ila ukweli unabaki what maybe bad/good to you is vice versa to others. Mie naona kila mmoja bora kutongoza na kuwa na type ambayo unaikubali na kuipenda.
 
Bora nlivokua mshamba baibui na hijab yangu imetosha...wacha tu nionekane wa zamanii

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

na ukiwa na tabia nzuri mahari nje nje! Tena wanajileta wenyewe kukuoa! Si mpaka kisingizio cha mimba.....big up sana mamii kama upo hivyo
 
na ukiwa na tabia nzuri mahari nje nje! Tena wanajileta wenyewe kukuoa! Si mpaka kisingizio cha mimba.....big up sana mamii kama upo hivyo

Tnx dear....mahari tayari mbona alhamdulillah now am somebody's wife

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
infact any lady that does not show skin in this day and age is denying us men our fundamental ryt ya kuona all that is beautiful abt a woman
 
wanataka kuwa kama wanyama maana hawavai nguo ila Mbwa wa WEMA sepetu anavaa hii kweli ni tofauti lakini hii yote ni kuiga tu hizi tv zimewaharibu sana watu effects of technology when used in a wrong way
 
wt about wakaka wanaotuonesha boxer zao chafu nje nje na suruali zao ambazo hazifai kuitwa tena kata k... labda iwe kata paja......lol
 
show skin please!!! :) tafadhali usipunguze kitu :) :)

black-girls11.jpg

hahahahahaha lol funny, so is all about you .
 
Kwani we ndo mhusika wa wanawake wote?? Anayekuhusu atakuelewa na pengine labda atafanya utakavyo, mengine yaache kama yalivyo!
 
...Nitakuwa na blanketi ukiaanza kusikia baridi basi nitakufunika...najua wewe na baridi mbali mbali :)

muhiimu ngoja jua liwake vizuri na maji yawe ya moto hahahahaha lol
sasa hivi sijaribu ng'oooo lol :redface:
 
mungu azidi kukuongoa dada!wasojuwa thamani ya miili yao daima watahaha,ila kizuri chajiuza,kibaya chajhembeza.yani km wale MAKAHABA wa bongo muvi yani wanatia kinyaaa.
Bora nlivokua mshamba baibui na hijab yangu imetosha...wacha tu nionekane wa zamanii

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom