Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Kwa mapenzi Elimu haimati kabisa. wasomi wengi kitandani ni failures hiyo nimetibitisha mara nyingi hata mahausi geli wamepindua ndoa za wasomi wenye PHD. Ila kwa kuoa Mke ni busara akawa asipishane sana kielimu na mumewe sababu hapa kuna mahusiano zaidi ya kitandani i.e. nje ya uwanja.
 
President, acha uongo wa kuwasingizia Dada zetu wa std 7 na nafikili huo ni mtazamo wako.Pia hao std 7 unaowazungumzia ni wale uliowakuta kule Loliondo au kijijini kwenu halafu unamlinganisha na std 7 wa Magomeni Bongo Dar salam?
 
99 % hawajui hii kitu. Uliza walio olewa wenye phd na wasio na shule kabisa. Cha msingi kama mwenzi ni mwaminifu, anakuelewa, mnaishi kwa furaha na amani , hapao umebahatika. Mapenzi si ugali hata ushindwe kuishi. Nenda kawaone Mapenzi addiction derpatement bpale muhimbilwakupe vidonge.

Unajua mtu mwenye upeo wa kweli hadharau wengine ila he/she is willing kujua na kuwajuza hao wadhaifu bila kuwadharau. usipo fanya bidii utaishi maisha ya shida maisha yako yote. mwenyewe hujui pengine huyo darasa la saba anakuona mzigo ila kwa hekima aliyo nayo hajaona umuhimu wa kukuanika hapa Jf.
 
Mmmmh mi sikubaliani na hilo kabisa,ingawa inawezekana na hy mwanamke labda hajatoka kabisa na kuujua ulimwengu na hajafundwa. Au Mr President ulitaka aanze kumwaga ung'eng'e ambao hata maana yake haijui? maana na wanaume wengine bila kudanganywa na maneno ya kiingereza anaona huyu dem hafai.
 
Nakubaliana na wote waliokupinga kwa kukuelimisha, ila naomba niongezee kidogo tu,
ACHA DHARAU KWA WATU WOTE ULIOWAZIDI ELIMU/ AU HICHO KIPATO CHAKO AU KWA NAMNA YOYOTE ILE.
ACHA KUJIKWEZA,
ELIMU ULIYONAYO ITUMIE KUWAELIMISHA WASIOELIMIKA NA SIYO KUWADHARAU,
MAKOSA KTK MAPENZI HUFANYWA NA MTU YOYOTE HAIJALISHI AMESOMA AU HAJASOMA.

TATIZO KUBWA ULILONALO NI DHARAU KWA WASIOSOMA, ACHA KABISA NDUGU,
WEWE KAMA UMEPATA FURSA YA KUSOMA NA UMEITUMIA VIZURI BASI MWAMBIE MUNGU ASANTE, NA JITAHIDI KUONESHA UMUHIMU NA UTHAMANI WA ELIMU YAKO KWA KUELIMISHA NA SIYO KUTOA DHARAU, HAITAKUSAIDIA SANA BALI ITAKUSHUSHIA HADHI MBELE YA JAMII YAKO.

Kwanza wasomi wengi hovyo kabisa! Unamkuta mtu ameshatoa mimba hadi 10 mwanamke gani huyo? Huyu jama hata haelewi tofauti ya mapenzi na ngono! Hiyo ndiyo elimu yake jamani. Ndoa ni kuelimishana sana zaidi kumwomba Mungu. Ila kama ni mambo ya mtaani yeyea endelee kutafuta na kuchakachua mwisho atakuja kukuta haya siyo mambo ya kusifia sana wala kumchosha akili, maana Babu, baba,mama, dada na ndg zake wanayafanya.
 
Back
Top Bottom