Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Straight to the point.... Wanawake walioishia darasa la saba hawajui mapenzi kabisa, kitandani hata kimaongezi wengi wao washamba, they almost don't know themselves wapo wapo tu, najua luv doesn't depend much on academic level, ila luv expression does, in love making, expressing they are vihiyo, iam sorry jaribu kutoka mmoja wao. I am done if ur standard seven sitongozi. leta at least O-level certificate, huna sitongozi, std VII waste of
time

duh!!yaani upupu mtup
 
Ulivyowakilisha mada yako ndo vibaya!Ukweli ni kwamba kuna waliosoma ila uelewa wao ni mdogo ajabu...na ambao hawajasoma ila wanajua wanachokiongea!Nawajua wadada wamemaliza chuo ila hamna ya maana yanayoendelea kwenye bongo zao kwahiyo ukisema kila msichana utakae kua nae utataka cheti jua kwamba siku ya siku utarudi kusema "wasomi wengine hovyo".Pima upeo wa mtu kwa maongezi na sio madarasa aliyopitia...
 
Huyu binadamu kaniput off kabisa. Mimi marehemu bibi yangu hakuwa kujua kuandika hata "a" lakini watoto wake wote PhD holder mwenye elimu ndogo ni masters. Kwa nini umeamua kututusi kiasi hiki? Una uhakika kwamba wanaojua mapenzi ni walioonda shule? Shule gani ina mchepuo wa Ngono? Wewe una grade gani kwenye mapenzi? Tangu umejua mapenzi umefaidika nini cha kutufanya tujue umeenda shule?

Nahisi ulipokuwa unaandika hii mada yako hukutumia hekima, busara. Next time ebu jaribu kuwa polite with evidence. Wafikiirie ndug zako walio kijijini darasa la saba, wakose wenza wao kwa sababu ni washamba.

Maneno haya yaliyokutoka mdomoni bila break, mwambie Mungu kwamba ni bahati mbaya you didnt mean that. Vinginevyo utalaaniwa, kila utakayekutana nae atakuwa darasa la saba, au ukutane na PhD holder mwenye tabia za kidarasa la 7.
 
Frankly speaking, with all due respect, sidhani kama ninaweza kuolewa na mwanaume aliyeishia form six (unless awe na extra ordinary understanding au pengine alikosa tu opportunity ya kwenda univ au alifukuzwa univ or college).

Bora wewe umesema ukweli. You are one in a million.
 
Aliye toa mada ni mbumbu Wa maisha si mlaumu kwani malezi ya mama yamemwaribu na asije fikiri elimu kwenye mapenzi. Ina apply inawezekana alitaka kumgeuza mwenzie kakataa kamwona mshamba
 
Mwenyezi Mungu amewaumba Binadamu wote na akili nyingi sana.

Na Mwenyezi Mungu anajua ulimwenguni ni mahali pagumu sana, ndo maana akamuumba binadamu na akili nyingi.

Ulimwenguni ni mahali pagumu ndo maana kila Binadamu anatoa machozi akihuzunika sana. We we jiulize ni kwa nini ukiamka unakuta tongo tongo kwenye macho.

Watu wa Darasa la Saba wana akili pia na ndo maana wanaweza kukabiliana na maisha magumu na kati yao wamekuwa matajiri kuliko wasomi wa PHD.

Mazingira na umasikini tu ndo yana sababisha mtu anaishia Darasa la saba.

Nina mifano. Kuna mwanamke aliishia form form, akaenda certificate teaching na akaendelea kujiendeleza mpaka sasa ni professor.

haya kuna mwanafunzi aliishia la saba, kwa sababu ya mis understanding ya wazazi, hakupelekwa secondary. Alikaa mtaani miaka 2 na akawa chokoraa kabisa. Ikaja kutokea mfadhili mmoja akampeleka secondari na sasa amemaliza form 6.

Pia elimu ya darasa la saba sio ya kubeza.... miaka saba ni mingi
 
Mwenye La Cairo Hotel Mwanza kaishia la saba na ni tajiri mkubwa na sasa kaingia bungeni kutoa maoni ya kukuongoza wote wenye akili
 
mimi, nina masters na mwakani Mungu akiridhia naanza PhD, lakini sio siri, kwenye mapenzi ni mshamba mshamba, mshamba!!!!
 
Bibi/babu zako waliokuzalia wazazi wako wameishia darasa la ngapi ? Acha upuuzi.

wazee wa zamani wengine hata darasa moja hawajaenda na walimudumu katika mahusiano yao.
Huyu nae wa wapi sijui.
 
Mr President...ningekua wewe thread yangu ambayo ningeianzisha baada ya hii ni ya kuwaomba radhi mama,dada,bibi,mabint na wanawake wote kwa kada zao kwa kuwavunjia heshima...hivi una huna habari? nani mwenye PHD ya ujanja! mimi mwenyewe sina mwezi mjini hapa ila GPA yangu ya ujanja nadhani ni upper class! Do it for the sake of our dadaz! P'se!
 
Kwa niaba ya wanaume ningependa niwaombe radhi wanawake wote juu ya mada hii. Huyu jamaa huenda alipata bahati ya kuhudhulia darasani bila kuelimika na upeo wake wa kutafiti mambo ni mfinyu sana. Amewadhalilisha mama zetu, bibi zetu na hata dada zetu wasiopata bahati ya kusoma. Namfahamisha tu kwamba kina mama na kina bibi wa zama hizo kupitia mafunzo maalum ya unyago na mikole walikuwa wakitoa mafunzo mbadala juu ya sex, kumhenzi mume, familia, usafi, heshima kwa wazazi a mume na mambo mengi yanayohusu mapenzi/ndoa kwa jumla mambo ambayo huenda hata watoto wa sasa hivi hawayapati. Makungwi wengi hata wa kwenye kitchen party za sasa hivi ni haohao kina mama wa Kipwani ambao hawakweda shule. Mwanaume anapolala na mwanamke halali na degree, wala hamu yake ya kufanya tendo la ndoa hailetwi na PHD aliyonayo mwanamke. Kuna wanawake wamekwenda shule lakini hawana kitu kitandani ujanja mwingi tu lakini hamna kitu. Mtoa mada tafadhali waombe radhi wanawake
 
aisee! We ndio mwanaume wa kuoa. Una mabusara laki 9.
Mtotoa mada katuzalilisha sana. Hapa nina mihasira hadi najickia kutapika.
 
me naona mtoa mada kazungumzia swala ili kihisia na kijaziba zaidi,ninahisi ajalifanyia uchunguzi wa kina , limemkuta tu kwa mpenzi wake na kutuo kauli bila kuangalia ni idadi kubwa wako hivyo au laa
 
Mtoa mada msameheni bure,hajui asemalo! By the way mchagua K,kum@#*^@...ye zake!
 
Naona wanaume tumecharuka...tumechoka kuonea...yafaa sasa wanaume tusiofungamana na upande wowote (onevu) tuunde Chama chetu cha kutetea haki za mama/dada zetu wanaoshambuliwa na malimbukeni wa elimu kila kukicha! Na kwa kua nilitoa mwongozo na Mwanalumango akaufuata kwa kuomba msamaha wenye degree badala ya mjumbe aliyekiuka maadili ya Chama nichukue fursa hii kumteua bwana Mwanalumango kua Katibu wa muda wa kamati ya maadili kwenye sekretariati ya Chama Chetu! Wajumbe wengine mtaingia kwa utaratibu tutakaoutangaza baadae!
 
Back
Top Bottom