Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,834
16,693
Straight to the point.... Wanawake walioishia darasa la saba hawajui mapenzi kabisa, kitandani hata kimaongezi wengi wao washamba, they almost don't know themselves wapo wapo tu, najua luv doesn't depend much on academic level, ila luv expression does, in love making, expressing they are vihiyo, iam sorry jaribu kutoka mmoja wao. I am done if ur standard seven sitongozi. leta at least O-level certificate, huna sitongozi, std VII waste of
time
 
Pole wapo walio na upeo ingawa wa elimu dunia ukikaa nao utadhani wamesoma kumbe wanasoma sana magazeti hiyo isikukatishe tamaa Mr President
 
Pole wapo walio na upeo ingawa wa elimu dunia ukikaa nao utadhani wamesoma kumbe wanasoma sana magazeti hiyo isikukatishe tamaa Mr President
Kuna vitu vingine vinashangaza, yaaani ni sawa na kumwambia mtoto wa kindergarten akuandikie thesis ya PHD,
Leo nasikia eti kuna uhusiana wa elimu na kitandani huh!!
 
Mkuu hujawatendea haki hili kundi la wanawake ambalo umelishutumu. Kumbuka mapenzi yalikuwepo hata kabla ya elimu hivyo huwezi kutumia kigezo cha elimu kupima ufanisi wa mapenzi. Mepenzi ni mahitaji ya mtu binafsi kulingana na matakwa ya moyo wake, ndio maana kila mwanadamu ana haki ya kumchagua aliyeridhika naye. Wewe kama huwezi kupenda darasa la saba ni haki yako kabisa lakini wapo wengine wanao wapenda na ni haki yao ndio maana hao darasa la saba nao wana wapenzi wao. Kumbuka hakuna mwanadamu anayependa kuishia darasa la saba bali ni mfumo wa maisha ndani ya dunia hii unaowafanya waishie hapo walipo. Jaribu kuthamini kila mwanadamu kwa jinsi alivyo na mahitaji yako binafsi hayawezi kuwa mahitaji ya kila mwanadamu hapa dunia.
 
Labda bt cna hakika na maneno yako. Mdogo wangu wa kiume nae aliwah kunambia unachosema, alikuwa na mahusiano na bnt wa std 7 leaver, cjajua alimkwaza wapi, wakakorofshana, toka siku hyo alijiapiza kutokuwa na mahusiano na watu wa aina hiyo. Anasema at least awe O'level, sikumtilia maanani coz niliona hayanihusu sana ila na wewe leo umenshitua tena na maneno yale yale. Wana shida gani?? Hata kama kuna shida sidhani kama ni kwa wote, iko kibinafsi zaidi. Au ngoja tusikilize na wakuu wengine wanasemaje!
Straight to the point.... Wanawake walioishia darasa la saba hawajui mapenzi kabisa, kitandani hata kimaongezi wengi wao washamba, they almost don't know themselves wapo wapo tu, najua luv doesn't depend much on academic level, ila luv expression does, in love making, expressing they are vihiyo, iam sorry jaribu kutoka mmoja wao. I am done if ur standard seven sitongozi. leta at least O-level certificate, huna sitongozi, std VII waste of
time
 
au labda huyo wake aliweka viatu kwenye fridge??? Au vp! Mr. President uko wap? Njoo utuambie amekutenda nini huyo bint wa std7.
 
Mtoa mada mama yako ana elimu gani?
Bibi yako je ni profesa?
Mapenzi na madarasa ya kitaaluma kuna uhusiano gani? Mbona wanawake tunadhalilishwa hivi?
 
Ufundi wa kitandani hauna elimu ya PhD. Inaonekana elimu yako umeipata kwa mbinde sana.

Mi nina wasiwasi kwanza na elimu yake ambayo imempa upeo wa kuleta mada kama hii . . . nahisi aliishia standard 5 then akaenda English Kozi pale Mwenge Academy
 
we c unaona anajiita psezda inaonyesha mgen kwenye madem ww mfundishe kama vp mapenz hayana elimu
 
Back
Top Bottom