Wanawake bongo na time......

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,837
Vitu viwili kuhusu wanawake wengi wa kitanzania
vinavyoniudhi.............
1.time...........wengi mkipanga kukutana sehemu labda
saa kumi basi atakuja saa kumi na moja na nusu,,,,
sijui kwa nini wako hivi?????
2.kingine ni mtu kuja kwenye date na shosti wake bila
hata kukufahamisha,anakwambia nakuja unastukia wako wawili?? Hawajui two is company....three is crowd....
 
The Boss inaelekea una date kizamani sana. You have to set pre-conditions to save time and money. Kukutana na mwanamke hata kama ni nani, anabaki kuwa binadamu, muda una umuhimu wake na zaidi nyongeza ni gharama ambazo haziko kwenye bajeti. Kama hamuwezi kukubaliana hayo hata huko mnakokwenda hamtafika salama... adios dating njema
 
ha ha ha ungenifahamu vizuri,,,,,,but mi naona wote wako hivyo...
walionda shule,wasioenda shule ,the same.
 
ha ha ha ungenifahamu vizuri,,,,,,but mi naona wote wako hivyo...
walionda shule,wasioenda shule ,the same.
Mkuu sema unaowapenda wote 'watoto wa miembeni' lol ndio maana unaoana wote wako hivyo. Mimi najua mademu kibao, wako makini sana na wakati. Wakati mwingine wananitoa nishai, demu anakupa 'academic 15' nisipotokea analala mbele. Ndio maana najua inawezekana. Achana na watoto wa minywele bandia, miwanja na milipustiki, inaficha maovu kibao mkuu
 
may be mkuu,,,but si unajua haya mambo huamui ni yupi????inatokea
tu unavutiwa na kitu kumbe si kitu.
 
may be mkuu,,,but si unajua haya mambo huamui ni yupi????inatokea
tu unavutiwa na kitu kumbe si kitu.

Wewe Boss hujatulia. Thread zako karibu zote unasakama mademu, kulikoni? Fanyia utafiti rasmi maana inaonekana una data nyingi sana za mademu. Amua sasa ni yupi, acha kabisa and vaa buti, hali ya hewa imechafuka sana mkuu
 
i am a womaniologist ha ha ha ha,i love women too much i guess.
 
Sasa Boss ina maana wewe una date wanawake wengi? Kwa nini bana? si dini zinakataza philandering? na ya ushost mazee ukipenda boga unapenda na ua lake,vumilia tu ndo utaratibi.
 
sasa boss ina maana wewe una date wanawake wengi? Kwa nini bana? Si dini zinakataza philandering? Na ya ushost mazee ukipenda boga unapenda na ua lake,vumilia tu ndo utaratibi.

dini ipi?wengine zinaruhusu mpaka wanne.
 
Vitu viwili kuhusu wanawake wengi wa kitanzania
vinavyoniudhi.............
1.time...........wengi mkipanga kukutana sehemu labda
saa kumi basi atakuja saa kumi na moja na nusu,,,,
sijui kwa nini wako hivi?????
2.kingine ni mtu kuja kwenye date na shosti wake bila
hata kukufahamisha,anakwambia nakuja unastukia wako wawili?? Hawajui two is company....three is crowd....

Boss unasubiri kwa 15 mins tu hajatokea unashika 50 zako. Mlipanga mkutane wenyewe wawili anakuja na shosti wake unamwambia tulipanga date yetu wawili kwa hiyo hii ya watatu mimi sikuifahamu...C U Bye bye unayeya zako siku nyingine harudii tena.

Zipo na njemba pia zimekukuta sehemu umekaa na mlibwende wako mahali mnapunga upepo mwanana na kula nyama choma na vinywaji basi na yenyewe inahamia hapo halafu inataka kuanza kuzungumza kama imetakiwa funguo vile :( wewe na mlimbwende wako mnakuwa hamna nafasi ya kuzungumza 'yenu' aahhhhh! mlimbwende anaweza akakuangalia ukaelewa tu anauliza huyu njemba vipi tena!? Basi unamtolea uvivu tu. Aisee tuna mazungumzo muhimu hapa naomba utupe faragha kidogo ha ha ha ha njemba inaweza kuondoka huku imenuna ile mbaya :)
 
Dear Boss,

> Hawajui two is company....three is crowd....>

Mkataa wengi mchawi!!!
 
ha ha ha ungenifahamu vizuri,,,,,,but mi naona wote wako hivyo...
walionda shule,wasioenda shule ,the same.
Kaka naona una ishu sana na wanawake hadi una generalise.Hebu weka mambo bayana ushauriwe basi ndugu yangu.
Kama wanawake wawili au watatu wamekuudhi usione wanawake wote wana hizo tabia hasi.Jitahidi zaidi kutafiti kabla huja date mwanamke.
Baadhi ya hizo tabia ulizokutana nazo ni kiashiria tosha kuwa mwanamke hakutaki ila kwa namna moja ama nyingine hataki kukutolea nje live.Kama ni mke anakufanyia hivyo basi ujue something is terribly wrong somewhere.
 
Kuna wakati nilipataga demu wa hivyo, tukipanga date anakuja na shogake. Siku ya siku shogake yule akanianza na zile za 'wajua huyu shogangu hakutaki, sijui kwa nini hakuambii ukweli'. She finally became a replacement, and I never regretted. Na namshukuru yule demu kuwa ingawa alikuwa hanitaki, angalau alijitahidi kunitafutia replacement. Sio mbaya.
 
Vitu viwili kuhusu wanawake wengi wa kitanzania
vinavyoniudhi.............
1.time...........wengi mkipanga kukutana sehemu labda
saa kumi basi atakuja saa kumi na moja na nusu,,,,
sijui kwa nini wako hivi?????
2.kingine ni mtu kuja kwenye date na shosti wake bila
hata kukufahamisha,anakwambia nakuja unastukia wako wawili?? Hawajui two is company....three is crowd....

Kuhusu time - hiyo ni issue ya kitaifa, haina jinsia. Watanzania wengi ni wabovu wa ku-keep time (waswahili). Mikutano mingi haianzagi on time. Ukiwasingizia wanawake unawaonea au research yako inakuwa haijaenda shule.

Hilo la kuja kwenye date na shosti wake - anakuwa hajajua anachojia. Au kama anakijua basi anakwepesha; anakuogopa au anakuonea aibu. Hivyo kuwa na mtu wa tatu pembeni anahakika hamtaweza kuizungumzia hiyo ajenda. Wanajua kabisa kuwa three is crowd and they do it for a purpose!
 
Back
Top Bottom