Wanawake bana

kwa hili, je nikweli mapenzi yana run dunia au pesa ndo ina run?

kwa upande wangu i believe in money, ukiwa na pesa hata kama unasura mbaya, you will get them
 
Mlengeshe kwangu. Nina pesa ila nimekosa mapenzi. Nipatie contact zake.
 
wajua vijana msikatae ukweli. na ukweli ni kwamba hakuna binadamu anataka shida. unfortunately/fortunately depending on wether u have money or not money offers life's comfort and in essence it offers security. sasa ni swa kwa mwanamke/mwanaume kujua jinsi ulivyo economicaly becoz it is an important part of life na ukizingatia pesa or the lack thereof is the cause of many in marriages/relations it will be prudent to put due consideration on the matter wen choosing a partner.
cha msingi ni kwamba heshimu pesa na mambao ambayo inaweza kukufanyia...ila usipende pesa maana unaweza ua!!!
money ndio itamfanya mke wako apate cream za kujiremba so aonekane anadai bado...ndizo zitakazo kukusaidia wewe kumpa burudani apendazo...so henshimu umihimu na mchango wa pesa katika relationshi na maisha kiujumla

bora umweleze!
 
Unashangaa tena wakati nyie ni wanaume na wamiliki kama sredi inavyosema,so demu hapo anatafuta potential mate ambaye atampa financial security
 
we mbandue tu huyo dada na ulifanya makosa kumpeleka kwako,siku nyingine mwambie mkutane guest kwasababu my wife wako amerudi,ila kama wewe ni zoba basi endelea naye huku ukijua ya kuwa ni mtu wa aina gani.Nalog off
Ahahaa haya mkuuu
 
kwa hili, je nikweli mapenzi yana run dunia au pesa ndo ina run?

kwa upande wangu i believe in money, ukiwa na pesa hata kama unasura mbaya, you will get them[/QUApendwi kinapendwa kile alicho nacho
 
Yani wanawake wa sasa hivi,pesa ndo inayofanya mahamuzi,kitu kingine if you want to live without heart break,DONT trust a woman.
 
endelea nae alafu cku huna kazi-kipato, atakuchomea ndani arifu! umeshajua hii ni sumu alafu unataka kuonja! may be kama ime-expire!
 
Back
Top Bottom