Wanawake badilikeni

daaaa unajua lazima mtu uongee unalofikiria siku zote kweli hawa viumbe ni hatari sana tena sana .anaweza kuchukia kisa yeye mwenyewe ....jana nimetoka job so kurud room ina harufu mbaya kuchek kuna samaki sijui wa aina gan ila wapo kama chapati nikamuuliza wewe uliwahi kula izi akasema hapana why sasa ..mie nikazitoa nikampa watu wengine kumbuka na yeye hakuyala so nitoka kurud smell bado ipo kumuuliza akanuna ..

so nikatoa vyombo nikaosha ili smell itoke ...je kwa mtindo huuu kuchepuka nitaacha kweli ? no ili mwamke akili ije lazima uchepuke
.badilikeni wanawake (jamaaa mmoja alikuwa akiniambia haya sio mimi)
....mie nikazitoa nikawapa watu wengine....!
 
Kwa hiyo hiyo ndio sababu ya kuchepuka???

Unachepukq kwa kuwa kun harufu...na yeye achepuke kwa kuw hujala???

Kweli bado hisani ya watu wa marekani inahitajika
 
daaaa unajua lazima mtu uongee unalofikiria siku zote kweli hawa viumbe ni hatari sana tena sana .anaweza kuchukia kisa yeye mwenyewe ....jana nimetoka job so kurud room ina harufu mbaya kuchek kuna samaki sijui wa aina gan ila wapo kama chapati nikamuuliza wewe uliwahi kula izi akasema hapana why sasa ..mie nikazitoa nikampa watu wengine kumbuka na yeye hakuyala so nitoka kurud smell bado ipo kumuuliza akanuna ..

so nikatoa vyombo nikaosha ili smell itoke ...je kwa mtindo huuu kuchepuka nitaacha kweli ? no ili mwamke akili ije lazima uchepuke
.badilikeni wanawake (jamaaa mmoja alikuwa akiniambia haya sio mimi)

Kama ni mara ta kwanza kutokea kuwa mpole kipindi mnaanza mapenzi yako moto wala usingeona hilo changamoto kwasababu ushamchoka unaona solution ni mchepuko.
 
Ina maana utachepuka sana tuu kwani kwenye maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi.
 
Mfyuuuu!!
1472495397643.jpg
 
Back
Top Bottom