Wanawake badilikeni

malivawan10

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
541
310
daaaa unajua lazima mtu uongee unalofikiria siku zote kweli hawa viumbe ni hatari sana tena sana .anaweza kuchukia kisa yeye mwenyewe ....jana nimetoka job so kurud room ina harufu mbaya kuchek kuna samaki sijui wa aina gan ila wapo kama chapati nikamuuliza wewe uliwahi kula izi akasema hapana why sasa ..mie nikazitoa nikampa watu wengine kumbuka na yeye hakuyala so nitoka kurud smell bado ipo kumuuliza akanuna ..

so nikatoa vyombo nikaosha ili smell itoke ...je kwa mtindo huuu kuchepuka nitaacha kweli ? no ili mwamke akili ije lazima uchepuke
.badilikeni wanawake (jamaaa mmoja alikuwa akiniambia haya sio mimi)
 
hahahah yan kaswala kadogo hako ndo kakuchepue kweli? hebu uliza wenzio mambo yanayowakumba kwnye ndoa ndo urudi hapa tena utuambia kama utachepuka ama lah. shwain
 
Nani
kakutuma Uoe mchafu, wakati unajua mchepuko ndio msafi.?
Siku nyingine oa mchepuko, hutakuta shombo tena.
 
daaaa unajua lazima mtu uongee unalofikiria siku zote kweli hawa viumbe ni hatari sana tena sana .anaweza kuchukia kisa yeye mwenyewe ....jana nimetoka job so kurud room ina harufu mbaya kuchek kuna samaki sijui wa aina gan ila wapo kama chapati nikamuuliza wewe uliwahi kula izi akasema hapana why sasa ..mie nikazitoa nikampa watu wengine kumbuka na yeye hakuyala so nitoka kurud smell bado ipo kumuuliza akanuna ..

so nikatoa vyombo nikaosha ili smell itoke ...je kwa mtindo huuu kuchepuka nitaacha kweli ? no ili mwamke akili ije lazima uchepuke
.badilikeni wanawake (jamaaa mmoja alikuwa akiniambia haya sio mimi)
Koma ku generalize. ..ni hilo limwanamke lako tu...
 
Back
Top Bottom