Wanawake Arumeru mashariki wampa onyo kali NAssari.

Namnukuu mama nagu ........mkichaguwa wapinzani serikali ya ccm haitawaletea maendeleo
 
Hao wamama wamejitambulisha kuwa ni wanaccm,wametota kabisa. Hawana jipya,si wamwambie JK naye atekeleze yake maana naye alihaidi na akashinda;si ndiye mkuu wa dola. Pia wakae chini wajue kuwa cdm huwa haigawi pesa, ccm ndio wanao gawa pesa
 
Nassari bado anakubalika na wengi wa wapiga kura jimboni mwake ukiondoa hao magamba wachache.
 
Dogo alikurupuka akajua "game" ya kutatua kero za wananchi ni nyepesi kama kumuomba mwanamke kahaba mchezo.

Game gumu na wanaojua kulicheza ni CCM pekee. Hakika kwa hali inavyoendela wananchi wapenzi wa chadema wataanza kupoteza imani kabla hata ya 2015.
 
Nimekaa nasoma siona hata hiyo kauli ya Nassary wanaoipinga, waandishi wa habari bana!
Mi mwenyewe nimeshangaa kuona mbunge wangu analalamikia kutoa kauli ambazo hazijaorodheshwa hapa, huu ni upumbavu wa waandishi makanjanja
 
Too general to be called News..........kauli zake zipi hizo?
 
Magamba at work. Wamekuwa wakiongoza majimbo for past 50 yrs hawakubadili chochote, lakini ajabu wanataka CDM wayabadili for seconds. Aibu ya kushindwa mbaya.
 
Ukiisoma hiyo tread haina haja ya hata kutumia nguvu nyingi kuipinga, mwanachama mmoja wa CCM kaongea wakageneralize kuwa wanawake wa meru mashariki, wakiti niliona picha mmoja humu jf nasar akifungua maji kutoka kisima kimojawapo ya vile alivyoahidi kuwachimbia wana meru na leo nimeona akiwa na waziri mkuu wakifungua Meru community bank, kijana hata mwaka ajamaliza. wajipange kuandika habari nyepesi kama hizi azisaidii
 
Bwana Mdogo Nassari Uliaminiwa ukachaguliwa chunga Mdomo wako. unatuangusha vijana. Kuongea maneno mengi yasiyo ya kisera unatia doa chama!
 
Hao kina mama ni wa chama gani?Mbona mm nakaa usa River sijasikia
hilo?Hatudanganyiki.

Unapoteza muda wako kuangaika na propaganda za kimagamba magamba? Eti wao huwa wanakopesha majimbo? (total insanity). Wajiulize kama wao kwa miaka hamsini walifanya nini? Vilaza ni vilaza tu, kwa sasa wanaishi kwa matumaini kama waathirika wa ukimwi.
 
Back
Top Bottom