Wanawake angalieni hili

Gaijin na Chamoto asante kwa posts zenu zimenifumbua macho na kunipa mwanga mpya! Hili suala kwa kiasi linafanana na zile huduma mpya kwenye saloon za kiume!

Sote tuwe makini for the sake of our families.
 
Kuna hii biashara mpya ya vijana wapaka rangi kuongeza huduma. Zamani ilikuwa ni kupaka kucha rangi tu. Sasa hivi wanapakata miguu ya wanawake zetu eti wanaiosha kwanza. Safari moja huanzisha nyingine. Hawa vijana watafungua vibanda kama wamasai na yatakayoendelea huko Mungu atajua. Kwa ninavyoelewa udhaifu wa wanawake na mahitaji yao ambayo hawatimiziwi ipasavyo, patachimbika. Wanaume anzeni kuwakataza wenza wenu kusuguliwa miguu na hawa vijana kwani hatua itakayofuata hamtaipenda. Hajashindwa kujisugua mwenyewe

yale yale ''nahisi nahisi naibiwa,nachanganyikiwa nahisi naibiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................''
 
Kwa hiyo dadaangu Gai uko tayari kucheat pakiwa na mazingira muafaka? Au ndo unaendeleza kucheat?

mimi ni katika wanaotumia nguvu za ziada kukimbia mazingira tatanishi ili nisije kucheat,.................

kuchezewa nyayo na wanaume ni no.........kusukwa na mmasai ni big no, ...................
 
na vidume vinavyopakatwa vichwa kwenye manyonyo....!!!kweli mkuki kwa nguruwe!!
 
Siku moja nimepita pale Mwenge nikakuta mama mmoja katika hatua za kukamilisha pedicure anafanyiwa massage ya miguu. Dogo anamshika shika anapanda mpaka mapajani mama wa watu katulia tuliii!!
 
Siku moja nimepita pale Mwenge nikakuta mama mmoja katika hatua za kukamilisha pedicure anafanyiwa massage ya miguu. Dogo anamshika shika anapanda mpaka mapajani mama wa watu katulia tuliii!!

Ndo ukute ni shangazi yako sasa...................dah!
 
mimi ni katika wanaotumia nguvu za ziada kukimbia mazingira tatanishi ili nisije kucheat,.................

kuchezewa nyayo na wanaume ni no.........kusukwa na mmasai ni big no, ...................

natamani iwe kweli maana ukweli unaujua wewe
 
Kupakwa rangi kwa wanawake na kuchezewa sijui visigino naona sawa tu na siye wanaume tunapoenda kwenye masaluni yetu yaleeeee ya kufanyiwa mavitu na wadada tofauti ni kwamba wapaka rangi hujitembeza kuwapata wapakwa rangi ila tuendako ni kweli watafungu visaluni vyao vya kupaka rangi hapo ndo visigino vitachezewa haswaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom